Hekima herbal clinic.jelly poul

Hekima herbal clinic.jelly poul Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hekima herbal clinic.jelly poul, Medical and health, Mama john, Dubai.

Afya kwanza
21/09/2024

Afya kwanza

21/05/2022
Kwa huduma bora
21/05/2022

Kwa huduma bora

Kwa wele wenye matatizo ya vidonda vya tumbo sasa basi suruhisho ni hekima herbal medicine clinic karibu uhudumiwe
14/03/2022

Kwa wele wenye matatizo ya vidonda vya tumbo sasa basi suruhisho ni hekima herbal medicine clinic karibu uhudumiwe

Kwa wale wenye matatizo ya Uzazi kwakina mama suluisho ni hii dawa inapatikana Hekima herbal clinic karibu
10/03/2022

Kwa wale wenye matatizo ya Uzazi kwakina mama suluisho ni hii dawa inapatikana Hekima herbal clinic karibu

Kutana nasi tukudumie
09/03/2022

Kutana nasi tukudumie

HABARI NDUGU MFUATILIAJI WA PAGE YETU.HEKIMA HERBAL CLINIC LEO TUTAZUNGUMZIA JUU YA UGONJWA WA P.I.D. yaan pelvic inflam...
26/02/2022

HABARI NDUGU MFUATILIAJI WA PAGE YETU.HEKIMA HERBAL CLINIC

LEO TUTAZUNGUMZIA JUU YA UGONJWA WA P.I.D. yaan pelvic inflammatory desease.kwa kiswahili maambukizi katika njia ya Uzazi wa mwanamke tutaangalia.dalili na namna ugonjwa unaweza kuenea Visababishi na tiba kwa ujumla
Karibu sana.

MAANA

PID ni Pelvic Inflamatory Disease Kwa kiswaili ni Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke,

Pid ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

PID husababishwa na nini?

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

Je mwanamke hupataje PID?

Kwa Njia hizi hapa chini ni rahsi sana kwa mwanamke kupata maambukizi katika via vyake vya Uzazi.

(1) Kufanya mapenzi au ngono isiyo salama

(2) Kupata maambukizi katika via vya uzazi mara baada ya mama tu Kujifungua ambapo kitaalam huitwa “POSTPARTUM INFECTION”

(3) Maambukizi ambayo mwanamke huweza kuyapata mara tu baada kutoa mimba kwa Njia zisizo salama kitaalam huitwa Post abortion infection au baada ya mimba kutoka yenyewe ambapo kitaalam huitwa post miscarrage infection

(4) Matumizi ya baadhi ya Njia za Uzazi wa mpango k**a lupu au(IUCD) ambapo mwanamke kuweza kupata PID wakati wa uwekaji n.k

(5) Maambukizi kwa Njia ya damu kutoka kwa Mtu mwenye maambukizi katika via vya Uzazi

Dalili za PID ni zipi?

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni

Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

Kupata maumivu ya mgongo

Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi

Kupata homa

Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na

Pia kutapika

MADHARA YA PID(MAAMBUKIZI KATIKA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE)

1.Mwanamke kushindwa kabsa kubeba Mimba au Ujauzito

2- Ujauzito kutoka hasa katika miezi 3 ya mwanzoni

3- Kutokwa na uchafu unaombatana na harafu kali hata kukukosesha raha,hasa hasa k**a Upo kwenye mahusiano ya kimapenzi

4- Kupata maumivu makali chini ya Kitovu wakati wa Tendo la Ndoa

5- Kupata maumivu wakati wa period huku ikiambatana na damu nyeusi,yenye mabonge mabonge na wakati mwingine kutoka nyama k**a Vipande vya maini.

6-Hali ya kichefuchefu na kutapika kutokea

7-Uke kuwa Mkavu hata kuleta maumivu wakati wa Tendo la Ndoa.

NB PId unaweza kupelekea kupata Hormone Imbalance ,Uvimbe kwa Uzazi ,Ugumba na nk kwa ushauri na tiba sahihi usisite kuliza

Tiba zetu ni Bei nafuu Sana.
zipo kwa watao hitaji
Tunadawa inaitwa
# super woman
# pia ipo mama afya hizi no tiba kwa wanao sumbuliwa na P.I.D.

Tunapatika mbeya mtaa wa mama John barabara ya zaman au njia ya mgwasi hotel

WASILIANA NA HEKIMA KWA NAMBA

CALL 0753192518
WHATSAP 0753192518
@

Address

Mama John
Dubai

Telephone

+255753192518

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hekima herbal clinic.jelly poul posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram