21/07/2023
*Je nimewahi kufundisha kwamba ni lazima kukandwa maji ya moto sana baada ya kujifungua??*
✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
*Mama aliejifungua anahitaji vitu vikuu vifuatavyo*
1: mapumziko na kuepuka stress+ mazoezi mepesi ya kuuset mwili.
2: mlo kamili wa kuujenga mwili pamoja na vyakula na vinywaji laini na vyenye kuongeza damu.
Narudia: VYAKULA NA VINYWAJI LAINI✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
3: USAFI WA MWILI NA VYAKULA, ni rahisi kupata magonjwa(sepsis) k**a usafi hautazingatiwa baada ya kujifungua,///Jilinde Ili kujihakikishia usalama wako,epuka mazngira hatarishi.
4: ZINGATIA UNYONYESHAJI, USAFI NA USALAMA WA MTOTO,
😡😡😡😡😡Sasa unajifungua unakwenda ukweni,yote hayo, hakuna unachokipata zaidi ya kuchemshiwa maji ya kusongea ugali unabandikiwa sehemu za Siri, wengine wanaungua Mali zao,wengine wanavuja damu na matatizo MENGINEYO,
Wengine wanalalamika kwamba nalifunga tumbo lakini limelainika sana, kumbe Kuna uzazi ulikandwa sana na maji ya moto matokeo ni kulainika Kwa nyama za tumbo,👇👇👇👇 zingatia hayo yatakusaidia sana,
NB, kukandwa kunasaidia kupunguza maumivu ya mgongo yaliyotokana na kusukuma, lakini sio Kwa maji ya moto kiasi hicho, ni manyanyaso mnapewa tuu, hatahivyo k**a mtu atazingatia ulaji wa vyakula laini na vinywaji(soft drinks) na pia kunamuda anapata vitu vya moto k**a supu,chai,uji nk, anaweza akapona maumivu yake haraka kuliko hata aliyebandikiwa maji ya ugali,
Unaumizwa na uchungu leba, unarudi nyumbani huendi kupata Raha unaenda kupata maumivu ya maji moto,😡😡😡😡😡
Onyo, aliejifungua Kwa upasuaji haruhusiwi kukandwa hata kidogo,
hakuna Cha sehemu za Siri Wala mgongoni, asiesikia la mkuu huvunjika guu😡😡😡😡
Aliejifungua Kwa upasuaji SI kwamba amekuwa mlemavu kiasi kwamba Kuna vyakula ndo Hali maishayake yote, 👉👉👉👉👉utanifata inbox muhitaji wa maelekezo ya vyakula,🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂👂