20/05/2025
LEO TUNAANGAZI VIFUNGO VYA NDOTO NA KUJIFUNGUA:
TUNAANZA NA SWALI...
a) Nani humu anaota wazazi au mmoja wa wazazi alifariki
a) Nani anaota ndugu zake waliokufa ambao anawajua
C) Nani alikuwa anaota NDOTO za kweli, ila sasa haoti tena;
D) Nani alikuwa anaota NDOTO kisha anakumbuka vizuri akiamka, ila sasa hawezi hivyo;;
; .........
DARASA;
: Ndoto ni maisha yako wewe mwenyewe katika aina ya pili ya maisha yako, kwa lugha ya kitaalamu tunaita " KIVULI;
: Kivuli ndio ufalme wako ambao majini wanaweza kuungana na wewe na mkawa mnasikilizana na kuelewana na mkanufaishana katika biashara za maisha :
: Hivyo basi, ...
Unapokuwa mchana wa jua, hapa unakuwa unaishi kutumia aina moja ya mwili wako, ambao Nyama na damu:
: NA Unapokuwa usiku wa mwezi, unakuwa unaishi ulimwengu wako wa Aina ya pili ya mwili ( KIVULI)
: Hapa sasa ndio mwenyezi mungu akaumba kitu au neno NURU AU UCHAWI;
Na vikawa mtihani kwako;
: : Mchawi ana uwezo wa kukuroga Kivuli tu na sio mwili wa Nyama na damu:
Na akishafanikiwa kukuroga Kivuli, ndio mwili wa Nyama unaanza kuchoka, sababu maradhi ya kisheitwaini uambukiza mwili :
::: KIVULI NDIO KINABEBA KUOTA NDOTO:
Na k**a una tatizo la Ndoto ujue Kivuli chako kina matatizo Ima
1) Ushatekwa tayari
AU
2) Unachezewa wakuchukue wakufunge.