13/04/2026
Tuambiane ukweli kidogo… 👀
Unapitia gani kati ya hizi?
• Kuchoka kila siku bila sababu 😓
• Back pain ama maumivu ya mgongo
• Kukaa sana kwa kazi / biashara 🪑
• Usingizi mbaya—unalala lakini haupumziki 😴
• Stress iko juu kuliko kawaida
• Magoti, joints ama misuli kuuma
• Miguu kuishiwa nguvu ama numbness
• Mwili kuhisi heavy all the time
• Kuamka umechoka kuliko ulivyolala 😩
• Headaches za mara kwa mara
etc.
Hii yote si “normal”… ni mwili wako unalia for help.
Catch Power tunasaidia kurestore mwili naturally 💯
👉 Be honest… ni ngapi ume-tick? (1, 2, 3 ama zote?) Comment chini 👇”