09/12/2021
Moyo ni kiungo cha mwili, kinacho sambaza damu mwilini yenye hewa ya oxygen na kupeleka kwa mapafu ile isiokuwa na oxygen, hivyo basi nikiungo muhimu, kinachofanya kazi ya ziada mwilini. Kwa muktadha huu, kinahitaji kutunzwa na kuangaliwa mara kwa mara. Kiungo hiki hupatwa na maradhi mbalimbali, kumuweka mtu katika hali ya hatari, na mtu kujipata hospitali mara kwa mara.
Hapa Safekems Healthcare tumeweza kuweka picha maalum za kukagua moyo,k**a vile ECG, Echocardiography, Doppler na zenginezo. Picha hizi zikiwa niza bei ya kuweza kumudu kwa mtu wa mashinani pia, lengo letu likiwa kuwezesha watu wa kaliba mbalimbali kupata huduma hizi. Ivyo basi niwajibu wako kuhakikisha unatumia fursa hii kupata huduma hizi iwapo unatatizo la moyo.
Iwapo una swali lolote tutembelee pale bamburi ama tupugie simu kwa nambari 0115 388078/0740761236 upate maelezo zaidi