
14/07/2022
DALILI 6 ZA MTU ALIFUNGWA KICHAWI HASIFANIKIWE.
1 ANAFANYA JITIHADA LAKINI HAFIKI MALENGO.
Mtu anajitahidi kusoma usiku na mchana na anashika vizuri akifika darasani tu vyote vimeondoka. Au anajithidi na kazi mwisho huwa hasara bila sababu za msingi.
2 AKIFIKA KWENYE ENEO LA KAZI ANAJIHISI VIBAYA.
Unawahi kazini vizuri ila ukifika tu kazini unaanza kuhisi uoga au moyo unakwenda mbio na kujisikia tafarani unachoumwa hakijulikani mara kizunguzungu ila ukitoka eneo hilo upo sawa.
3 WATU WAKO WA MAANA WANAKUKIMBIA.
Kila mtu unaetaka kufanya nae jambo la manufaa unajikuta anakukimbia au anakwazika na wewe kwa jambo dogo mwisho hakutaki tena.
4 KILA KAZI UNAYOOMBA HUKUBALIWI.
Kibinadamu lazima uwe na shaka haiwezekani vigezo unavyo lakini sehemu zote kumi ulizoomba kazi unakataliwa hapo ipo shida.
5 HELA UNAPATA LAKINI MUDA MCHACHE TU ULICHOTUMIA HUKIJUI.
Kuna watu kushika milioni kumi kwa mwezi ni jambo la kawaida lakini huwa zinapotea kwenye mazingira ya ajabu hajui hata alichofanyia. Ukiona hivyo hiyo shida.
6 MIPANGO YA NDOA KUVURUGIKA BILA SABABU.
Unapanga na mwenza wako vizuri kuhusu ndoa lakini muda ukikaribia anakataa na kuanza sababu zisizokuwa na kichwa. Hilo hutokea kila unaetaka kufunga nae ndoa basi ipo shida.
Kwa msaada na ushahuri piga +254 737 658788