DR ISSA KWEYU

  • Home
  • DR ISSA KWEYU

DR ISSA KWEYU I sing secular music and am also a comedian

10/10/2023

Mazuri yanakaribia,,,birthday loading, ngoma mpya nitawachilia moro mapema mazee

11/01/2023

Kazi ni bidii mazeeee

15/12/2022

Mocking me will never change your life mazeee,,

14/12/2022

Kuna wasani wenye naheshim sana pande za western,,,,,mzee sukuma bin ongaro,,Harry Richie,wanyonyi,Ali akeko luseno,onebob, Ben wanyenje,,musungu,.obwora ,,hawa waimbaji hawananga maringo mbarikiwe na tusidi kuinuwa jamii ya mulembe kupitia wimbaji na kufanya kazi pamoja asanteni sana kwa kukubali kufanya kazi pamoja na mimi ,,,,next song itakuwa na fida,,,,,kitu mwaaaaaaaa

14/12/2022

Hello fans hii mwezi kuna form Kali sana mazee,,,,,,next week kuna song mpya ,,,,,sema kitu tamuuuuuu,,,,26th Dec tukutane kibra mazze lily bub

15/09/2022

Next week tutakuwa na vida ya rosilidah mazeee keep supporting me plzzzz yutube dr issa kweyu '''dr issa wanga

15/09/2022

Tarehe kumi na nne mwezi wa kumi tukutane mumias santana club mazee ''
Kiingilio 200
Mpaka cheeeeee''''karibuni nyote dr issa kweyu mtoto wa mama ''''''''''

Unadai nifanye collobo na nani?
15/07/2022

Unadai nifanye collobo na nani?

06/05/2022

We are moving on well in our music industry next song olumbe is loading mazzzz

Address


Telephone

+254711693112

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR ISSA KWEYU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram