07/09/2023
๐๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฉ๐ข๐ฆ๐ ๐ฉ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ง๐ข ๐ง๐ข ๐ง๐ฃ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐ข๐ง๐ข๐ค๐ ๐ง๐ ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฌ๐ก๐๐ฎ๐ซ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ณ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐๐ฌ๐ญ๐๐ง๐ข ๐ก๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฉ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐๐ค๐จ
Kwanini wastani? Fahamu zaidi.
Nafahamu unajiuliza, kwani vipimo vya hospitali havitoshi? Kuna utofauti gani ya presha yangu nikiwa nyumbani na ile ya hospitali?
๐Tafiti zinaonesha kwamba sasa watu 3 kati ya 10 wenye umri wa miaka 30 na zaidi wana presha.
๐๐๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐ ๐ฉ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ก๐ข๐ข ๐ก๐ฎ๐ฃ๐ข๐๐ข๐๐ก๐ (masked hypertension). Yani wanakuwa na presha ya kawaida wanapopimwa hospitali lakini wakiwa nje ya hospitali presha yao hupanda.
Na wakati mwengine huwa ๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ก๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ๐ข na hurudi katika ๐ก๐๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฐ๐๐ข๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐จ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ง๐ข.
๐๐ฒ๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐
๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐. ๐ฑ๐, ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐๐๐?) ๐๐ ๐๐
๐๐๐ (๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐) ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐?
Je ikiwa ninajipima shinikizo la dam nyumbani? Na je unajua uwiano wako? Tuambie hapo chini tafadhali
Picha kwa hisani ya Getty