Rose health care

Rose health care PATA USHAURI NA TIBA YA MATATIZO MBALIMBALI YA KIAFYA KAMA VILE
•SHIDA YA UZAZI
•SHIDA YA MIFUPA

Wasiliana nami nikuhudumie 0719989754
17/05/2022

Wasiliana nami nikuhudumie 0719989754

Je bado unawaza juu ya upasuaji? Je! Unaonaje nikakuelekeza njia mbadala itakayo kufanya uachane na upasuaji na ukawa sa...
08/05/2022

Je bado unawaza juu ya upasuaji?
Je! Unaonaje nikakuelekeza njia mbadala itakayo kufanya uachane na upasuaji na ukawa sawa kabsa??
Nipigie nikusaidie 0719989754

Je unamaumivu ya mgogo?? WhatsApp 0719989754
05/05/2022

Je unamaumivu ya mgogo?? WhatsApp 0719989754

DALILI ZA KUWEZA KUKUJULISHA KUWA VIUNGO VINASAGANA NI K**A IFUATAYO*0719989754          *KWENYE MAGOTI*✔️magoti kushind...
23/04/2022

DALILI ZA KUWEZA KUKUJULISHA KUWA VIUNGO VINASAGANA NI K**A IFUATAYO*
0719989754

          *KWENYE MAGOTI*
✔️magoti kushindwa kujikunja
✔️Maumivu kwenye magoti
✔️kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
✔️kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti

       *KWENYE MGONGO/UTI WA MGONGO*
✔️maumivu kwenye mgongo
✔️kushindwa kuinama
✔️kusikia maumivu makali wakati wa kuinama
Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni.
  
    KWENYE BEGA(SHOULDER JOINT)
✔️kushindwa kunyanyua mkono
✔️kusikia maumivu makali kwenye bega
TATIZO LA MIGUU AU MIKONO KUUMA/KUFA GANZI AU KUWAKA MOTO

Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi).

DALILI ZA TATIZO

>>Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi
>>Maumivu au kuhisi k**a vile moto unawaka miguuni au mikononi
>>Kuhisi k**a vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa
>>Kuhisi k**a vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole

HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO
>>Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex

>>Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV

>>Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli/uzito wa mwili na hivyo kusababisha Neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake unaanza kuhisi maumivu au miguu/mikono kufa ganzi.

>>ugonjwa wa kisukari
>>shinikizo la damu
Hizi ndizo sababu za tatizo hilo, hivyo tusitegemee kwenye mambo ya kishirikina kabisa!!!!

PIGA/WHATSAPP 0719989754

20/04/2022
Kupata suluhisho la kudumu Dm 0719989754
19/04/2022

Dm 0719989754
19/04/2022

Dm 0719989754

Kuna wakati unahisi hali k**a hii nitafute hapa 0719989754
19/04/2022

Kuna wakati unahisi hali k**a hii nitafute hapa 0719989754

TATUA MATATIZO YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA KUFANYIWA UPASUAJI .          *KWENYE MAGOTI*✔️magoti kushindwa kujikunja✔️Maum...
18/04/2022

TATUA MATATIZO YA MIFUPA NA MAUNGIO BILA KUFANYIWA UPASUAJI .

          *KWENYE MAGOTI*
✔️magoti kushindwa kujikunja
✔️Maumivu kwenye magoti
✔️kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
✔️kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti

       *KWENYE MGONGO/UTI WA MGONGO*
✔️maumivu kwenye mgongo
✔️kushindwa kuinama
✔️kusikia maumivu makali wakati wa kuinama
Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni.
  
    KWENYE BEGA(SHOULDER JOINT)
✔️kushindwa kunyanyua mkono
✔️kusikia maumivu makali kwenye bega
TATIZO LA MIGUU AU MIKONO KUUMA/KUFA GANZI AU KUWAKA MOTO

Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi).

DALILI ZA TATIZO

>>Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi
>>Maumivu au kuhisi k**a vile moto unawaka miguuni au mikononi
>>Kuhisi k**a vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa
>>Kuhisi k**a vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole

HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO
>>Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex

>>Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV

>>Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli/uzito wa mwili na hivyo kusababisha Neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake unaanza kuhisi maumivu au miguu/mikono kufa ganzi.

>>ugonjwa wa kisukari
>>shinikizo la damu
Hizi ndizo sababu za tatizo hilo, hivyo tusitegemee kwenye mambo ya kishirikina kabisa!!!!

PIGA/WHATSAPP 0719989754

TIBU MATATIZO YA MIFUPA BILA UPASUAJI0719989754          *KWENYE MAGOTI*✔️magoti kushindwa kujikunja✔️Maumivu kwenye mag...
16/04/2022

TIBU MATATIZO YA MIFUPA BILA UPASUAJI
0719989754

          *KWENYE MAGOTI*
✔️magoti kushindwa kujikunja
✔️Maumivu kwenye magoti
✔️kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
✔️kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti

       *KWENYE MGONGO/UTI WA MGONGO*
✔️maumivu kwenye mgongo
✔️kushindwa kuinama
✔️kusikia maumivu makali wakati wa kuinama
Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni.
  
    KWENYE BEGA(SHOULDER JOINT)
✔️kushindwa kunyanyua mkono
✔️kusikia maumivu makali kwenye bega
TATIZO LA MIGUU AU MIKONO KUUMA/KUFA GANZI AU KUWAKA MOTO

Matatizo ya miguu/mikono kuhisi ganzi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa Neva za pembezoni mwa mwili (peripheral neuropathy), hivyo kusababisha kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika eneo husika (miguuni au mikononi).

DALILI ZA TATIZO

>>Mtu kuhisi miguu/mikono kufa ganzi
>>Maumivu au kuhisi k**a vile moto unawaka miguuni au mikononi
>>Kuhisi k**a vile umevaa soksi au gloves wakati hujavaa
>>Kuhisi k**a vile kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole

HIZI NDIZO SABABU ZA KUDHOOFIKA KWA NEVA HIZO
>>Kupungua kwa virutubisho mwilini. Hapa tunamaanisha mwili kutokuwa na Vitamin za kutosha hasa mkusanyiko wa Vitamini B Complex

>>Matumizi ya dawa fulani kwa muda mrefu mfano TB na ARV

>>Uzito mkubwa wa mwili. Hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo huonekana tofauti na ilivyo kawaida. Kubadilika huku husababisha baadhi ya Neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli/uzito wa mwili na hivyo kusababisha Neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake unaanza kuhisi maumivu au miguu/mikono kufa ganzi.

Wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo kipata matababu bila upasuaji

PIGA/WHATSAPP 0719989754

Linatatulika usikae kimya Dm 0719989754
15/04/2022

Linatatulika usikae kimya Dm 0719989754

Address

Arusha-Moshi Road
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rose health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram