
30/08/2025
๐ณ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
Wajukuu zangu kwanini nisitumie hekima zangu kuwagusia na nyie kile nilichojaaliwa na Mungu ili nanyi mpate faida.
Dunia kwa sasa imebadilika wengi tunakumbana na tabu,chuki,vifungo na kila aina ya matatizo na haya yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu.
Tuanze na somo la leo ambalo linahusu matumizi ya chumvi ya mawe.๐
1.Tumia chumvi ya mawe puje 14 kuweka chini ya mto unaolalia mjukuu wangu utakachokiota kesho njoo inbox unisimulie nikwambie nini tatizo na suluhisho lake.
2.Tumia kuoga asubuhi na jioni ndani ya siku 7 mfululizo kwa uwezo wa Mungu itakuondosha nuksi na mikosi mwilini.
3.Ukioga siku 7 usafisha nyota yako.
4.Weka kila kona ya pembe ni kinga kwa wachawi.
5.Ukichanganya na unyayo wa mpenzi wako itasaidia kusambaratisha mchepuko wake.
6.Tia katika maji kisha uwe unapaka k**a mafuta itakupa mvuto wa mwili,muonekano na pesa.
7.Ikiwa mpenzi wako humuelewi basi mchomee siku 7 kwa manuizi,mjukuu wangu utanirejeshea majibu๐คฃ
8.Ukichanganya kivumbasi na chumvi ya mawe kisha ukadekia ndani hukimbiza uchawi na majini wachafu.Katika baishara tumia kufanyia usafi na kunyunyiza maji hayo Inshaallah biashara itafunguka.
9.Chumvi ya mawe ni hatari kwani inaweza kumuhamisha adui.
10.Saga chumvi ya mawe na pilipili ndefu nyembamba zile nyekundu kisha funga katika kitambaa cheupe weka mfukoni au katika begi nakwambia hivi:
โฆUkienda kuomba kazi au msaada popote inajibu kirahisi
โฆUkimfuata unaemdai basi hatokuchenga k**a anacho ni muda huo huo anakulipa.
โฆYani utakumbukwa na kuthaminiwa hata wale waliokuwa wamekusahau.
(sms/piga/whatsAp)
0767 607 724