Twaib & Madina Herbal Products

Twaib & Madina Herbal Products Twaib Herbs ni wazalishaji na wasambazaji wa dawa za asili zinazotokana na miti,magome,majani,mizizi,mbegu/arabic medicines na virutubisho asili.

Dawa zetu hazina kemikali yoyote. Karibu upate huduma bora kwa jumla na rejareja
๐ˆ๐ง๐ฌ๐ก๐š'๐€๐ฅ๐ฅ๐š๐ก๐Ÿ™

๐ŸŒณ๐‚๐‡๐”๐Œ๐•๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐–๐„ ๐๐€ ๐”๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐–๐€๐Š๐„.Wajukuu zangu kwanini nisitumie hekima zangu kuwagusia na nyie kile nilichojaaliwa na Mu...
30/08/2025

๐ŸŒณ๐‚๐‡๐”๐Œ๐•๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐–๐„ ๐๐€ ๐”๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐–๐€๐Š๐„.
Wajukuu zangu kwanini nisitumie hekima zangu kuwagusia na nyie kile nilichojaaliwa na Mungu ili nanyi mpate faida.
Dunia kwa sasa imebadilika wengi tunakumbana na tabu,chuki,vifungo na kila aina ya matatizo na haya yanasababishwa na sisi wenyewe wanadamu.

Tuanze na somo la leo ambalo linahusu matumizi ya chumvi ya mawe.๐Ÿ‘‡
1.Tumia chumvi ya mawe puje 14 kuweka chini ya mto unaolalia mjukuu wangu utakachokiota kesho njoo inbox unisimulie nikwambie nini tatizo na suluhisho lake.
2.Tumia kuoga asubuhi na jioni ndani ya siku 7 mfululizo kwa uwezo wa Mungu itakuondosha nuksi na mikosi mwilini.
3.Ukioga siku 7 usafisha nyota yako.
4.Weka kila kona ya pembe ni kinga kwa wachawi.
5.Ukichanganya na unyayo wa mpenzi wako itasaidia kusambaratisha mchepuko wake.
6.Tia katika maji kisha uwe unapaka k**a mafuta itakupa mvuto wa mwili,muonekano na pesa.
7.Ikiwa mpenzi wako humuelewi basi mchomee siku 7 kwa manuizi,mjukuu wangu utanirejeshea majibu๐Ÿคฃ
8.Ukichanganya kivumbasi na chumvi ya mawe kisha ukadekia ndani hukimbiza uchawi na majini wachafu.Katika baishara tumia kufanyia usafi na kunyunyiza maji hayo Inshaallah biashara itafunguka.
9.Chumvi ya mawe ni hatari kwani inaweza kumuhamisha adui.
10.Saga chumvi ya mawe na pilipili ndefu nyembamba zile nyekundu kisha funga katika kitambaa cheupe weka mfukoni au katika begi nakwambia hivi:
โœฆUkienda kuomba kazi au msaada popote inajibu kirahisi
โœฆUkimfuata unaemdai basi hatokuchenga k**a anacho ni muda huo huo anakulipa.
โœฆYani utakumbukwa na kuthaminiwa hata wale waliokuwa wamekusahau.


(sms/piga/whatsAp)
0767 607 724

โœ๏ธ๐—ž๐—จ๐—ก๐—จ๐—ž๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—ช๐—”๐—ฃ๐—”  ๐‰๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐ข๐›๐ฎ:1.Twanga majani ya limao,sugua kwapa kwa wa dk5.2.Njia ya pili ni kata limao kisha s...
30/08/2025

โœ๏ธ๐—ž๐—จ๐—ก๐—จ๐—ž๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—ช๐—”๐—ฃ๐—”
๐‰๐ข๐ง๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐ข๐›๐ฎ:
1.Twanga majani ya limao,sugua kwapa kwa wa dk5.
2.Njia ya pili ni kata limao kisha sugua katika kwapa zako kabla ya kuoga au baadaya acha kwa dakika 3 kisha osha/oga na ujifute vyema.
๐Œ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š
Tumia njia moja wapo kwa siku 7 au mpaka harufu iishe.
Twaib & Madina Herbal Products
๐’๐ก๐š๐ซ๐ž ๐ฆ๐š๐ฌ๐จ๐ฆ๐จ ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ง๐š ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐š๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐›๐š๐ซ๐ข๐ค๐ข๐Ÿ™

โ‡๐—๐—œ๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐—™๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—จ๐— ๐—”๐ŸŒฟ    โ—พChukua punje 3 za vitunguu thaum(swaum) na madonge 3 ya chumvi ya mawe.Ponda ponda mpaka vil...
29/08/2025

โ‡๐—๐—œ๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐—™๐—œ๐—ญ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—ก๐—”๐—ญ๐—ข๐—จ๐— ๐—”๐ŸŒฟ
โ—พChukua punje 3 za vitunguu thaum(swaum) na madonge 3 ya chumvi ya mawe.Ponda ponda mpaka vilainike kisha tia maji kidogo na usubiri chumvi iyeyuke.

Tumia kusukutua kwa dakika 5 kisha tema fanya hivyo kutwa mara 3(1x3)
โ—พTUMIA DOZI YAKO KWA SIKU3 AU 5.
kwa ushauri na maelezo

โšซ 0767 607 724

ku like na ku share ili kusaidia wengine na Mungu atakubariki.
Fuatilia huduma za Twaib & Madina Herbal Products zaidi

๐—˜๐—ถ๐—ฑ ๐—”๐—น ๐—๐˜‚๐—บ'๐˜‚๐—ฎ๐—ต๐Ÿค Mwenyezi Mungu afungue riziki kubwa kubwa.๐€๐ฆ๐ข๐ง๐š(๐€๐ฆ๐ž๐ž๐ง)๐Ÿ™
29/08/2025

๐—˜๐—ถ๐—ฑ ๐—”๐—น ๐—๐˜‚๐—บ'๐˜‚๐—ฎ๐—ต๐Ÿค
Mwenyezi Mungu afungue riziki kubwa kubwa.
๐€๐ฆ๐ข๐ง๐š(๐€๐ฆ๐ž๐ž๐ง)๐Ÿ™

โœ๏ธ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ(๐— ๐—ง๐—จ) ๐—จ๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—”๐—˜ ๐—ก๐—” ๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—ข ๐—ช๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”.LEO NAWAPA SOMO HILI BURE KABISA.Tafuta dawa hizi:โœฆKasera B...
28/08/2025

โœ๏ธ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ(๐— ๐—ง๐—จ) ๐—จ๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—”๐—˜ ๐—ก๐—” ๐— ๐—ฉ๐—จ๐—ง๐—ข ๐—ช๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”.

LEO NAWAPA SOMO HILI BURE KABISA.
Tafuta dawa hizi:
โœฆKasera Bara
โœฆItinginya
โœฆChababila
โœฆKasuku
โœฆMsalansi
โœฆKitachamwa
Dawa hizo zote ziwe za unga.Na hakikisha unaponunua wakupe halisi(orginal) maana wapo wasio na uwaminifu huo.

โœฆJinsi ya kufanya maana kuna muda,manuizi na muundo wa matumizi yake.

โ™ฅ๏ธŽPiga 0767 607 724 upate maelezo kwa lile unalokusudia ili ujue jinsi ya matumizi yake.
๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ,๐ฅ๐ข๐ค๐ž ๐ง๐š ๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐ž๐Ÿค.

๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ป๐—ท๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐Ÿ™
28/08/2025

๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ป๐—ท๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐Ÿ™

27/08/2025

Big shout out to my newest top fans! Elijah Munene, Rach Kvy

๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—˜๐—จ๐— ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ก๐—ก'๐—š๐—˜(๐˜€๐—ฐ๐—ผ๐—ฟ๐—ฝ๐—ถ๐—ผ๐—ป). Tumia baadhi ya tiba hizi kwa kutibu maumivu na sumu ya Nng'e. ๐— ๐—ž๐—”๐—”Saga mkaa uwe u...
27/08/2025

๐—ง๐—œ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—˜๐—จ๐— ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ก๐—ก'๐—š๐—˜(๐˜€๐—ฐ๐—ผ๐—ฟ๐—ฝ๐—ถ๐—ผ๐—ป).
Tumia baadhi ya tiba hizi kwa kutibu maumivu na sumu ya Nng'e.
๐— ๐—ž๐—”๐—”
Saga mkaa uwe unga kisha changanya kidogo na maji ya vuguvugu au maziwa kutengeneza rojo.Pakaa sehemu husika.
๐Š๐ˆ๐“๐”๐๐†๐”๐” ๐Œ๐€๐‰๐ˆ
Kata kitunguu maji na sugulia sehemu husika.
๐ˆ๐ง๐ฌ๐ก๐š'๐€๐ฅ๐ฅ๐š๐ก maumivu yatatoweka๐Ÿ™
Endelea kufollow na share makala zetu za elimu.

Ukiloweka maharage na limao..huondoa gesi iliopo katika maharage!!!. Hii huwafaa wale ambao husumbuliwa na gesi baada ya...
26/08/2025

Ukiloweka maharage na limao..huondoa gesi iliopo katika maharage!!!. Hii huwafaa wale ambao husumbuliwa na gesi baada ya kula maharage!!..
๐’๐ก๐š๐ซ๐ž ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐š๐ข๐๐ข๐š ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž
๐Š๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ฎ๐ซ๐ข ๐ณ๐š๐ข๐๐ข

โœฆWHATSAP BUSSNESS CATALOGUE
https://wa.me/c/255767607724

โœฆInstagram:
https://www.instagram.com/twaibherbs

โœฆFacebook:
https://www.facebook.com/twaibherbs

โœฆGoogle/blog.
https://www.twaibherbs.blogspot.com

Twaib & Madina Herbs Arusha  (Wazalishaji na wauzaji wa dawa za Kisunna/Kiarabu/Asili) na virutubisho.Ni dawa zisizo na ...
25/08/2025

Twaib & Madina Herbs Arusha
(Wazalishaji na wauzaji wa dawa za Kisunna/Kiarabu/Asili) na virutubisho.
Ni dawa zisizo na madhara kabisa kwani pia hazina kemikali ya aina yoyote.

Tunatoa huduma ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomsumbua binadamu.Na kwa idhini ya Allah hakika wengi wanapata uponyaji kupitia tiba zetu.Tuangalie baadhi ya magonjwa tunayotoa tiba zake japo kwa uchache tutayataja hapa ila ni zaidi ya hayo utakayoyasikia na kuyaona.Inshaalah
YAFUATAYO TUNATOA TIBA ZAKE
1.U.T.I Sugu,Malaria na Typhoid
2.Vidonda vya Tumbo Sugu
3.Ngiri(Hernia) za aina zote
4.Upungufu wa Nguvu za kiume,k**a vile (i)Kukosa hamu,kushindwa kurudia tendo na kusinyaa,kuwahi kufika kileleni na kwa uume katika tendo
5.Tiba kwa waathirika wa punyeto na wenye maumbile madogo ya uume (dhakar) au jina maarufu vibamia.
6.TUMBO LA UZAZI KWA MWANAMKE,k**a vile
(i)Uvimbe,kuziba kwa mirija ya uzazi na ugumba
(ii)Mvurugiko wa tarehe katika siku za hedhi na kukosa uwiano sahihi wa homoni (Hormone Imbalance).
(iii)Chango na maumivu makali kabla na wakati wa hedhi)
(P.I.D) na fangasi za sehemu za siri.
7.KISUKARI NA PRESHA za aina zote.
8.MATATIZO YA VIUNGO k**a vile
(i)Maradhi ya ganzi,kutetemeka,maumivu ya misuli na baridi yabisi
(ii)mgongo,kiuno na miguu na n.k
9.BAWASIRI/MGORO za aina zote.Haya ni maradhi ya kinyama kinachotoka au kuota katika tupu kubwa(sehemu ya haja kubwa)
10.KUPUNGUZA UNENE,UZITO na TUMBO(Kitambi)
11.Kuondoa Sumu mwilini na mchafuko wa damu(Mzio/Allegy)
12.KUPOOZA (STROKE),KIFAFA NA PUMU
13.CHUNUSI,MM'BA NA FANGASI ZA AINA ZOTE
14.TATIZO LA KUKOSA HAJA KUBWA (Constipation),Minyoo na maradhi ya tumbo k**a vile miungurumo na tumbo kujaa gesi au kiungulia.
15.KIPANDA USO
16.MAGONJWA YA ZINAA
17.KINGA ZA MWILI (CD4)
18.DAWA ZA BIASHARA,KUSAFISHA NYOTA.
19.Udi,Ubani,Marashi,misk aina zote,Dawa aina zote za Unga,mbegu na majani.

โœฆWHATSAP BUSSNESS CATALOGUE
https://wa.me/c/255767607724

โœฆInstagram:
https://www.instagram.com/twaibherbs

โœฆFacebook:
https://www.facebook.com/twaibherbs

โœฆGoogle/blog.
https://www.twaibherbs.blogspot.com
"Ukimtanguliza Mungu kila jambo litakwenda.Inshaalah na Mungu awabariki kila anaezifuata huduma zetu.๐Ÿ™

๐—ž๐—œ๐——๐—จ๐— ๐—˜   ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—” (๐™ƒ๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™–)  ๐™Ž๐™š๐™ญ๐™ช๐™–๐™ก ๐™€๐™ฃ๐™š๐™ง๐™œ๐™ฎ ๐™Ž๐™ฎ๐™ง๐™ช๐™ฅSasa usiteseke tena na tatizo la1.Kufika kileleni mapema na chuma k...
22/08/2025

๐—ž๐—œ๐——๐—จ๐— ๐—˜ ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—”
(๐™ƒ๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™–)
๐™Ž๐™š๐™ญ๐™ช๐™–๐™ก ๐™€๐™ฃ๐™š๐™ง๐™œ๐™ฎ ๐™Ž๐™ฎ๐™ง๐™ช๐™ฅ
Sasa usiteseke tena na tatizo la
1.Kufika kileleni mapema na chuma kulala hapo hapo ndani ya dakika uwapo kwenye tendo la ndoa
2.Kukosa nguvu na hamu ya kurudia zaidi na zaidi.
3.Uwezo mdogo wa kizalisha manii zenye rutuba
4.Umejichua sana(Punyeto) mpaka umepoteza nguvu na uume kulegea au kuwa mdogo(kibamia).

Sasa suluhisho ni ๐Š๐ˆ๐ƒ๐”๐Œ๐„ ๐‚๐‡๐”๐Œ๐€ .Hii dawa ni simulizi kwa wengi ndani ya nchi,afrika na nje ya Afrika.
Ushuhuda mkubwa kwa watu baada ya kurudisha nguvu zao za asili k**a awali.
๐๐„๐ˆ ๐˜๐€ ๐ƒ๐Ž๐™๐ˆ ๐๐™๐ˆ๐Œ๐€ ๐๐ˆ 40,000๐“๐ฌ๐ก ๐”๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ฉ๐š ๐ณ๐จ๐ญ๐ž 4.
๐“๐ฎ๐ฆ๐ž๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐›๐ž๐ข ๐ซ๐š๐Ÿ๐ข๐ค๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฌ๐š๐ข๐๐ข๐ž ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐ณ๐š๐ข๐๐ข.๐๐จ๐ฉ๐จ๐ญ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ง๐ฃ๐ž ๐ฒ๐š ๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ฉ๐š๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฆ๐ž๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž.

๐‘‡๐‘ˆ๐‘ƒ๐ผ๐บ๐ผ๐ธ ๐ด๐‘ˆ ๐‘Š๐ป๐ด๐‘‡๐‘†๐ด๐‘ƒ๐‘ƒ
๐—ง๐—ช๐—”๐—œ๐—• ๐—›๐—˜๐—ฅ๐—•๐—ฆ
+255767607724
+255679607724
"๐™ˆ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ช๐™ข๐™š ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ซ๐™ช ๐™ฏ๐™–๐™ ๐™š ๐™ฃ๐™ž ๐™๐™š๐™จ๐™๐™ž๐™ข๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ค๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ค ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ข๐™ž".

Address

Https://maps. App. Goo. Gl/ZKQWWn4jDZtaHRKZ 6
Arusha
23122

Website

http://www.instagram.com/twaibherbal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twaib & Madina Herbal Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Twaib & Madina Herbal Products:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram