
25/06/2025
MWISHO WA PID NI KUACHA KUTOA MIMBA 😭.
Naandika huku 😭 nalia maana najua ni ngumu et we unasemaje mpenzi msomaji
Ok any way acha niendelee na somo Aslimia 75% ya PID husababishwa na utoaji wa mimba abortion
Japo kuna Visababibishi vingine vya pid k**a
📌1.Matumizi ya uzazi wa mpango ka mda mrefu
📌2.mama alotoka kujiKujifungua anaweza pata maambukizo kwenye via vya uzazi
📌3.Vipimo kwenye mlango wa uzazi
📌4.Matumizi ya s*x toy
📌5.Kujichua pia inapelekea infection maana vidole hubeba bacteria wengi sana
📌6. Kuwa na historia ya U.T.I za mara ka mara
DALILI ZA PID
Dalili za PID zinatofautiana,zinaweza kuwa
🌱1.Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia
🌱2.Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida
🌱3.Kichefuchefu na kutapika
🌱4.maumivu ya mgongo na nyonga
🌱5.Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🌱6.Maumivu wakati wa kukojoa
🌱7.Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo
MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID
Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya
kupata PID ni k**a vifuatavyo
📌1.Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana k**a kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID
📌2.Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena
📌3. Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee.
📌4.Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID
Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.
Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia k**a ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema
MADHARA YA PID
Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha
kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea
🌱1.Ugumba
🌱2.Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy)
🌱3.Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi
Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja(1) unakuwa mgumba
Whtsapp no: 0684450076, Thabith Personal Care