CCPmedicine Medical Center

CCPmedicine Medical Center CCPmedicine is a community-based social and health services-providing organization established on September, 2013 under the companies Act, 2002.

*IT'S TOMORROW 🔥🔥🔥* *EAPCON “Palliative Care Congress-2025 | A Pre-Congress Competence Gain Forum- A Virtual Learning Se...
16/07/2025

*IT'S TOMORROW 🔥🔥🔥*

*EAPCON “Palliative Care Congress-2025 | A Pre-Congress Competence Gain Forum- A Virtual Learning Series- 📢🌍*

A step towards EAPCON Palliative Care Congress 2025, we are excited to launch our weekly Pre-congress online sessions aimed at expanding our knowledge and sharpening our skills in key areas of Non Pharmacological Approaches to Comprehesive Pain Care &
Control a.k.a *Art Therapy*
*2025 MOTTO- NO MORE PAIN*🔥💪🏼🔥

Do not plan to miss!!!

📅 This week’s session
📍 Date: Thursday
⏰ Time: 5:00 – 6:00 PM (EAT)
👩‍⚕️ Facilitator: PT. Acupancturist & Addiction Therapist *April Gail* *From* San Diego; USA

*🗣️ Topic: Introduction to Acupuncture and the Nervous System*
*Session 1 Highlights:*
🔺 Overview of the Nervous System
🔺 Structure and Function of the Nervous System
🔺 Importance of Nervous System Health in Holistic Care

*🔗 Registration link:* https://publichealth-palliativecare.or.tz/pre_agm_session/

Let’s make time to attend and grow together. See you all on Thursday

24/06/2025

🔥*MOVE TO Live*🔥
Seniors’ active Aging Secret
Wazee wa CCPmedicine; Kinyerezi Dar *brothers/sisters* …Kumbe Kila zoezi ufanyalo lazima uwe na kusudio la kiafya…. Siku ya leo tume kusudia kufanya mazoezi mepesi… kwa afya ya moyo, mishipa ya damu na mapafu…kila J4 saa 12 asbh….
☎️+255 714 510 195 palliativecare

17/06/2025

MOVE TO LIVE….raha ya mazoezi ni kukupa tabasamu

*🔥Journey to PAIN FREE Mobility and Functioning society*🔥 … 👩🏿‍🦼a capacity building of health care professionals and com...
22/05/2025

*🔥Journey to PAIN FREE Mobility and Functioning society*🔥 … 👩🏿‍🦼a capacity building of health care professionals and community health care workers…. at MUHAS University in collaboration with MoH; TAMISEMI; CCPmedicine ; MNH; AMREF; CCBRT; Aga Khan; HelpAge; KCMC; MBEYA ZRH;
Happened on 14th-16th May; 2025

🔥*UKARIBISHO IBADA YA WAZEE KANISANI –Elimu, & Tiba ya Maumivu..!!! 🔥*Mch. Kiongozi wa KKKT-Usharika wa Manzese kwa Kush...
17/05/2025

🔥*UKARIBISHO IBADA YA WAZEE KANISANI –Elimu, & Tiba ya Maumivu..!!! 🔥*
Mch. Kiongozi wa KKKT-Usharika wa Manzese kwa Kushirikiana na CCPmedicine-Hospitals-Kinyerezi
Wanakukaribisha katika Ibada Maalumu ya Wazee-*Katika Kuwajali, Kuwatunza na Kuheshimu Wazee*!!
*Siku:* 18-05-2025
*Mahali*: KKKT-Manzese
*Muda Ibada*: saa 03.00 ASBH hadi 5.00 ASBH
*Muda wa Tiba & Ushauri:* Saa: 5:00 ASB Hadi 9.00 Mchana
🔥*Huduma*: Elimu, Ushauri, Tiba ya Maumivu ya: Shingo, Mabega, Mgongo & Magoti 🔥*
*Gharama*: Huduma zote zitatolewa BURE kwa utukufu wa MUNGU
🔥*Watu Wote, Wa Dini Zote Wanakaribirishwa! 🔥*
*Kwa maelezo zaidi*: ☎️
*Mzee wa Kanisa*: +255 65 811 5151
*Tabibu-mtoa Huduma*: 0689-912380 or 0767 001818

Pls Share!!!

Kanisa la KKKT Usharika wa MKUZA laendesha semina ya afya kwa VIONGOZI…CCPmedicine ya shiriki utoaji elimu…. *Hongera kw...
07/04/2025

Kanisa la KKKT Usharika wa MKUZA laendesha semina ya afya kwa VIONGOZI…CCPmedicine ya shiriki utoaji elimu…. *Hongera kwa Mch a Kiongozi Grace Laizer kutambua umuhimu*wazee

🔥*KANISA LA KKKT~MAKABE Wawaheshimisha wazee* waandaa ibada maalumu, Upimaji Afya, Chakula, na Burudani.... Imefurahisha...
19/03/2025

🔥*KANISA LA KKKT~MAKABE Wawaheshimisha wazee* waandaa ibada maalumu, Upimaji Afya, Chakula, na Burudani.... Imefurahisha Sana...!!👉🏻🕺🏻🔥🍮💪🏼✝️🙏Ungana nasi kusema Asante kwa Mch Kiongozi Mch Emma Sam KKKT MAKABE na Baraza la Wazee & Washarika..!!

🔥*KARIBU.... Elimu, Ibada, Upimaji Afya*🔥*Mkuu wa Jimbo-Kanisa la KKKT -Jimbo la Kati Mch. Frank Kimambo kwa kushirikina...
09/11/2024

🔥*KARIBU.... Elimu, Ibada, Upimaji Afya*🔥

*Mkuu wa Jimbo-Kanisa la KKKT -Jimbo la Kati Mch. Frank Kimambo kwa kushirikina na Hospitali ya CCPmedicine-Kinyerezi wanakukaribisha katika huduma ya afya Jimbo Day...*

Pamoja na Uimbaji/Ibada/Maonesho/Michezo pia...

*Huduma ya Afya Itakuwepo*
👉🏻1. Elimu Afya-Maumivu ya Mwili/Nafsi/Roho

👉🏻2. Pia kutakuwa na Upimaji na Tiba ya Maumivu ya-- Shingo, Mabege, mgongo, kiuno...

👉🏻Daktari Mtoa Mada na Tiba- *Dr. Frank Manase*- wa KKKT-Segerea linalo ongozwa na Mch. Mwipile Ismail

👉🏻*Mahali* KKKT- Kitunda Relini

👉🏻*Muda* Saa 2 asbh-9 Alasiri

👉🏻*Tarehe* 9-11-2024 J1

👉🏻*HUDUMA ZITATOLEWA BURE KWA WATU WOTE...

KARIBU NYOTE
☎️ +255 65 814 8630
☎️ +255 65 920 6392

🔥*KAMBI YA UPIMAJI AFYA*🔥CCPmedicine Hospital…!!!💪🏼Kwa Kushirikiana na Wataalamu Wabobezi Kutoka Hospitali ya *Ocean Roa...
24/10/2024

🔥*KAMBI YA UPIMAJI AFYA*🔥
CCPmedicine Hospital…!!!
💪🏼Kwa Kushirikiana na Wataalamu Wabobezi Kutoka Hospitali ya *Ocean Road* & *Smiles Dental Clinic Samora Branch Dsm* Wata-endesha kambi ya wazi ya upimaji Afya na Tiba ya magonjwa ya
1.) Maumivu &
2.) Saratani
3.) Kinywa & Meno

…. Huu ni mwendelezo..!!!!maadhimisho siku ya tiba shufaa “*palliative care*” duniani…
🔥Wapi?Lini?Gharama?…🔥

👉🏻*Siku J1* 26-10-2024
👉🏻*Mahali* CCPmedicine Kinyerezi-Mtaa-Kifuru *Kituo cha daladala* Mwanzo Mgumu-barabara ya Mbezi-to-Kinyerezi
⏱️👉🏻*Muda* Saa 2 asbh -10jioni

💪🏼*Magonjwa*
✅Maumivu-shingo, Mgongo, Bega, Nyonga nk
✅Saratani: Matiti, Shingo ya Kizazi, Tezi Dume…

🔥🔥🔥*Bila kusahau*…
✅Meno,
✅Macho nk

*HUDUMA ZOTE ZITATOLEWA BURE..!!!*

🔥*Wazee watapewa Kipaumbele*🔥

*Watu Wote Mnakaribishwa…!!*

Jinsi ya Kufika*
📍https://goo.gl/maps/WGFmVteypMuooAsX6

Kuwasiliana nasi: ☎️
Joyce: +255 67 870 9002
W***y: +255 69 949 4628

*Pls …Share!!!!*

🙏Leo J2 13-10-2024 …Tuna endelea maadhimisho Tiba Shufaa …CCPmedicine hospital leo wapo *Iringa* ..kwa kushirikiana na A...
13/10/2024

🙏Leo J2 13-10-2024 …Tuna endelea maadhimisho Tiba Shufaa …CCPmedicine hospital leo wapo *Iringa* ..kwa kushirikiana na ASKOFU DR. Boazi Sollo kanisa la OVERCOMES -Iringa ⛪⛪⛪.

Wana endesha kambi maalumu
ya WAZEE na WASTAAFU...itakayo ambatana na Ibada ktk viwanja vya Kanisa la Overcomes, Iringa.

*💎Mtoa Mada*

Dr . Frank Manase
CEO, CCPmedicine Hospital Dar- es Salaam

*💎MADA KUU*
Maumivu na Upweke kwa Wazee..!!!

*💎💎Focus ya hili somo* Kuwajengea uwezo jinsi ya kuzuiya na kutibu UPWEKE kwa WAZEE.......
*💡💡*Upweke** ---
*Ndiyo tatizo kubwa la kiafya kwa wazee & wastaafu wengi ...

✍️✍️ *Wazee & Wastaafu wanatuhitaji… twende*

🩺🩺⛪Watu Wote wanakaribishwa….

🙏🙏Huduma maalumu za upimaji afya zikitolewa buree…

🕺🏻🚶🏻‍♀️🏃🏼‍♀️👯‍♀️💃🏼🕺🏻👬👫🕴🏻👫
Michezo mbalimbali k**a vile karata, muziki, Kamba, draft, itakuwepia…

💎Zawazi…🤝 kwa wazee.
💎Chakula… vita tolewa

⛪⛪NI KUSUDI LA KI MUNGU wazee wasiwe na maumivu & Upweke

Kuwasilina nasi na ufafanuzi:
+255 714 510 195🙏🙏🙏

*Pia tukio lipo hewani kupitia
FM Overcomes: 98.6FM*
Iringa ..🔥

Featured Speakers of The second Public health Palliative care scientific congress  *Don't miss it, Countdown is underway...
04/10/2024

Featured Speakers of The second Public health Palliative care scientific congress

*Don't miss it, Countdown is underway 🔥🔥*

👉 Ikiwa Bado haujajisajili Fanya ivo Sasa tunapoelekea siku ya tukio

📢 *Jaza Sasa kupitia link hii*
https://publichealth-palliativecare.or.tz/congress/

🚨 * *

We deeply appreciate the support from MUHAS (Muhimbili) UNIVERSITY🔥to make Palliative Medicine an inclusive  discpline… ...
27/09/2024

We deeply appreciate the support from MUHAS (Muhimbili) UNIVERSITY🔥to make Palliative Medicine an inclusive discpline… Join Us to say Thanks 🙏 to *The DEPUTE VICE Chancellor ACADEMIC Prof. E. BALANDYA*🤝 & The MUHAS Team

🔥*This year do not plan to MISS* 👉🏻Register Now..!!!🔥

https://publichealth-palliativecare.or.tz/congress/

Pls share..!!!🙏

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCPmedicine Medical Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to CCPmedicine Medical Center:

Share