Street Afya

Street Afya Tanzania-based NGO promoting Health Civic Engagement and Innovation of Street-based Solutions for Hea

Mshamba asikilizwe au asisikilizwe?
10/08/2024

Mshamba asikilizwe au asisikilizwe?

Kunywa kistaarabu k**a imeshindikana kabisa kuacha kunywa.
27/07/2024

Kunywa kistaarabu k**a imeshindikana kabisa kuacha kunywa.

Usisubiri mpaka uumwe, nenda kapime afya leo kujua hali yako.
20/07/2024

Usisubiri mpaka uumwe, nenda kapime afya leo kujua hali yako.

Jali afya yako wakati bado una nguvu. Zingatia mtindo wa maisha wenye kukuletea afya njema sasa na hata katika umri wa u...
10/07/2024

Jali afya yako wakati bado una nguvu. Zingatia mtindo wa maisha wenye kukuletea afya njema sasa na hata katika umri wa uzee.


Tunakutakia mwezi wenye mafanikio ya kiafya.
01/07/2024

Tunakutakia mwezi wenye mafanikio ya kiafya.

Kila mwaka tarehe 31 mwezi Mei huadhimishwa Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani. Mwaka huu kauli mbiu ikiwa ni "...
31/05/2024

Kila mwaka tarehe 31 mwezi Mei huadhimishwa Siku ya Kupinga Matumizi ya Tumbaku Duniani. Mwaka huu kauli mbiu ikiwa ni "kuwalinda watoto kutokana na kuingiliwa na tasnia ya tumbaku", kila mmoja wetu ana jukumu la kumkumbusha na kumwelimisha mtoto au kijana athari za matumizi ya tumbaku ambayo yamekuja kwa njia nyingi zionekanazo kuwa ni mitindo ya kisasa, mfano Sh**ha.

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yatokanayo na mtindo wa maisha yanaanza kujidhihirisha zaidi katika umri wa uzee, ingawa y...
29/05/2024

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yatokanayo na mtindo wa maisha yanaanza kujidhihirisha zaidi katika umri wa uzee, ingawa yapo yanayojionyeshe wakati wa ujana pia mfano, sonona na mengineyo.

Jiepushe na maradhi kwa kuishi mtindo wa maisha usio kinzana na Afya yako.

Jilinde na uwalinde uwapendao.

Anakukumbusha Bwana Tabasamu.
24/05/2024

Anakukumbusha Bwana Tabasamu.

Ikiwa leo ni Maadhimisho ya Siku ya Fistula ya Uzazi Duniani, tunawasihi wamama wajawazito kupata elimu muhimu juu ya af...
23/05/2024

Ikiwa leo ni Maadhimisho ya Siku ya Fistula ya Uzazi Duniani, tunawasihi wamama wajawazito kupata elimu muhimu juu ya afya ya uzazi ambapo eneo la awali la kupata huduma hiyo ni kupitia Kliniki wanazopaswa kuhudhuria mara tu wanaposhika ujauzito.

“Vunja mnyororo; zuia fistula ya uzazi Tanzania.”

Usijisahau!Wapende uwapendao kwa kulinda afya yako.
21/05/2024

Usijisahau!
Wapende uwapendao kwa kulinda afya yako.

Mwezi Mei ni mwezi wa ufahamu wa afya ya akili. Tambua kuwa afya ya akili ni muhimu kwa ustawi wako kwa ujumla, na ni mu...
15/05/2024

Mwezi Mei ni mwezi wa ufahamu wa afya ya akili. Tambua kuwa afya ya akili ni muhimu kwa ustawi wako kwa ujumla, na ni muhimu k**a vile ilivyo muhimu afya yako ya kimwili.

MKUMBUSHE MAMA KUWA;1. Kingamwili za maziwa ya mama husaidia kumlinda mtoto na maradhi.2. Anaweza kunyonyesha wakati wow...
12/05/2024

MKUMBUSHE MAMA KUWA;
1. Kingamwili za maziwa ya mama husaidia kumlinda mtoto na maradhi.
2. Anaweza kunyonyesha wakati wowote na mahali popote bila kuwa na wasiwasi wa kuchanganya mchanganyiko (formula) au kuandaa chupa.
3. Kunyonyesha kunaweza kupunguza hatari ya mama kupata saratani ya matiti na ovari, kisukari cha aina ya 2, na shinikizo la damu.

Address

Ngaramtoni
Arusha
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Street Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Street Afya:

Share