19/03/2022
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha uke kutoa harufu mbaya lakini sababu kuu ni k**a zifuatazo,.........
>>Bacterial Vaginosis
Kwa mujibu wa madaktari bingwa, inasemekana kuwa hili ndio tatizo namba moja linalosababisha uke kutoa harufu mbaya na linawasumbua mamilion ya wanawake koteulimwenguni.Kitaalam uke una bacteria wazuri na wabaya wanakuwepo kwa uwiano sawa, uwiano wao unapobadilika ukeni na kusababisha bakteria wabaya kuzidi na wale wazuri kupungua hapo ndipo tatizo linapoanza, uke unakuwa sio salama tena na kuanza kutoa harufu kali sana.
>>Yeast Infection
Hili Pia ni Tatizo, lipo k**a la Bacterial Vaginosis.tofauti yake ni kuwa kwenye
bacterial Vaginosis waliokuwa wamezidi ni bacteria lakini huku wanaozidi nifungus candida albicans,
Ni wanawake wachache huwa wanapata Bacterial Vaginosis lakini wanawakewengi lazima wapate Yeast Infection japo mara moja katika maisha yao. Mara nyingi Yeast Infection hutokea tu au inaweza kusababishwa na aina ya vyakula au vinywaji unavyokula au kunywa especially k**a vimejaa yeast (vyakula vyote vinavyotengenezwa na hamira, pombe n.k)
>>Sexually Transmitted Diseases (Stds)
Haya ni magonjwa yanayosababishwa na kushiriki tendo la ndoa k**a vile Chlamydia na Gonorrhea (kaswende na kisonono) k**a ukiyapata huwa
yanasababisha Uke kutoa Harufu mbaya.
>>Vaginal Or Cervical Cancer
Unapokuwa una kansa ya uke au kansa ya mlango wa kizazi (cervical cancer),
kutokwa na maji maji yenye harufu mbaya ni sehemu ya dalili zake. Unapojiona kuwa una tatizo la uke kutoa harufu mbaya, unashauliwa usipuuzie na kuwahi hospitali ili kufanyiwa vipimo na kujua chanzo cha tatizo ili upate tiba mapema.
>>Poor Hygiene
Kutozingatia kanuni za usafi unaweza kusababisha pia harufu ukeni k**a
kutooga mala kwa mala, kutojisafisha vizuri sehemu za siri, kutobadilisha nguo ya ndani na kutojisafisha baada ya tendo la ndoa.
KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA WASILIANA NASI >NAMBA +255743705846
Whatsapp gusa Link pale juu kwenye Bio
USISAHAU
Kufollow,like post hii,share na comment