Afya suluhu splmt clinic

  • Home
  • Afya suluhu splmt clinic

Afya suluhu splmt clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya suluhu splmt clinic, Medical and health, .

*Je, Nini Kinamfanya Mwanamke Kuchelewa Kupata Ujauzito/Mimba?*Mwanamke huchelewesha kupata ujauzito kwa sababu ya matat...
05/02/2026

*Je, Nini Kinamfanya Mwanamke Kuchelewa Kupata Ujauzito/Mimba?*

Mwanamke huchelewesha kupata ujauzito kwa sababu ya matatizo ya kupevusha yai (k**a vile matatizo ya tezi ya thyroid, msongo wa mawazo), masuala ya kuziba kwa mirija ya uzazi, uvimbe wa fibroid kwenye mfuko wa uzazi, endometriosis au vivimbe maji kwenye vifuko vya mayai), kupungua kwa ubora wa yai linalohusiana na umri, matatizo ya kimaisha, (unene uliokithiri, uzito mdogo, uvutaji sigara, ulevi wa pombe kupita kiasi, mfadhaiko, mazoezi ya kupita kiasi), au hali ya kimatibabu, au kutolewa kwa mayai hayo, kuathiri uwezo wa kutunga mimba.

*Upevushaji Wa Yai Na Vichocheo(Hormone)*

⭕ *Vivimbe Maji Kwenye Vifuko Vya Mayai(Ovarian Cysts):* Husababisha upevushaji wa yai usio wa kawaida/wenye kupishanapishana au kutokupevusha kabisa yai kwasababu ya mvurugiko wa homoni (hormonal imbalance)

⭕ *Matatizo Ya Tezi Ya Thyroid:* Tezi ya thyroid inapokosa nguvu au inapokuwa na nguvu kupita kiasi inaweza kuharibu upevushaji wa mayai.

⭕ *Homoni Ya Prolactin Inapokuwa Juu Sana:* Homoni nyingi ya Prolactini(homoni inayozalisha maziwa) inaweza kuathiri upevushaji wa yai.

⭕ *Yai kushindwa Kupevuka:* Kifuko cha yai (o***y) huacha kufanya kazi kabla ya miaka 40.

⭕ *Msongo Wa Mawazo Au Uzito/Unene:* Msongo wa mawazo mkubwa, uzito mdogo sana, au unene mkubwa unaweza kuharibu uwiano wa homoni, na kuathiri upevushaji wa yai.

*Matatizo Katika Mfuko Wa Uzazi (Uterus)*

🟣. *Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi:* Mara nyingi hali hii hutokana na maambukizi (k**a vile PID), magonjwa ya zinaa (pangusa), au endometriosis, kuzuia mbegu za mwanaume zisikutane na yai la mwanamke.

🟣 *Suala La Tumbo La Uzazi:* Fibroids, kuvimba kwa mlango wa kizazi, au hali isiyo ya kawaida katika umbo la mfuko wa uzazi, inaweza kuziba mirija au kuzuia yai lisiweze kujipachika kwenye kizazi.

🟣 *Endometriosis:* Tishu zinazofanana na ukuta wa tumbo la uzazi, huota nje na kusababisha uvimbe na makovu.

*Mtindo wa Maisha na Mambo ya Mazingira*

✅ *Umri:* Ubora na wingi wa mayai hupungua sana kulingana na umri, haswa baada ya 35.
✅ *Uzito:* Unene na kuwa na uzito pungufu huathiri upevushaji wa mayai.
✅ *Ulevi Wa Pombe:* Hali hii inaweza kuathiri vibaya

31/01/2026

*LEO NJOO TUJIFUNZE SAYANSI YA VIDOLE VYA MKONO NA NA ISHARA ZAKE KWENYE UTAMBUZI WA OGANI ZILIZOPO NDANI YA MWILI*

KILA KIDOLE UNACHO KIONA KINA FAIDA YAKE KATIKA MWILI NA KAZI YAKE ILA SISI TUTAWEKA KWENYE UTAMBUZI WA KISAYANSI JE UKIMONA DAKTARI ANASHIKA KIDOLE HICHO ANATA TAKA KUJUA NINI

TUWNZE VIDOLE VYA MKONO VIPO VITANO NA KILA KIDOLE KINA JINA LAKE KUTOKA NA SIFA HUSIKA

1️⃣🤙 KIDOLE CHA MWISHO $$PINK FINGER //UTAMBUZI WA MAPIGO YA MOYO
2️⃣KIDOLE CHA PETE $$ UTAMBUZI WA UNYONGOVU AU DIPRESSION
3️⃣KIDOLE CHA KATI $$ UTAMBUZI WA MZUNGUKO WA DAMU
4️⃣☝🏼KIDOLE CHA SHAHADA AU INDEX FINGER $$UTAMBUZI WA MMENG’ENYO WA CHAKULA
5️⃣👎DOLE GUMBA $$ UTAMBUZI WA CHANGAMOTO ZA MAPAFU

HII NDIO UWEPO NASABABU MUHIMU ZA KUWA NA VIDOLE VITANO NA KAZI ZAKE K**A UMEJIFUNZA KWA HII CLIP NAOMBA COMMENT NENO NIMEJIFUNZA

KWA MSAADA KUHUSU AFYA WASILIANA NASI KWA NAMBA 0652-067-797//078-388-502

KUPIGA CHAFYA.Kawaida mwili wako unafanya kazi ya kukulinda na matatizo mengi pasipo wewe kujua.Hali ya kupiga chafya ( ...
13/01/2026

KUPIGA CHAFYA.
Kawaida mwili wako unafanya kazi ya kukulinda na matatizo mengi pasipo wewe kujua.

Hali ya kupiga chafya ( Sneezing) ni pale pua zetu zinapokua zimejaa BAKTERIA wa magonjwa ambao hawahitajiki katika mwili wako.
Vumbi pamoja na takataja mbali mbali zilizoingia kupitia PUANI.

Hali hiyo inaulinda mwili wako uwe salama kutok**ana na bakteria ambao wataudhuru mwili wako.

Tujue kua kupiga chafya ni janbo muhimu kwako kwa kua ni sehem muhimu sana ya mfumo wa kinga.
Imekuq ikisaidia kulinda zaidi afya zetu.

Wataalam mbali mbali wanathibitisha hilo.
Kua chafya inaondoa Bakteria na Virusi.

Mara nyingi sababu za kutoa chafya ni Mzio.
-Kuwashwa kwa pua.

Kwa hivyo ikijitokeza kuna bakteria ndani ya pua yako utaanza kunyea..kuwashwa...hapo ujumbe utaenda moja kwa moja kwenye ubongo sehemu maalumu ambayo ni kituo chake cha hiyo chafya.

Kwa hivyo tukivuta vumbi,uchafu,n.k
Haraka taarifa itapelekwa huko kwenye ubongo na haraka utapiga chafya ili bakteria watoke .

Kwa msaada wa huduma za virutubisho vyenye kutibu matatizo mbali mbali.

Huduma zetu ni maelezo yako mgonjwa na kifuatacho ni mahojiano na mtaalamu wetu.

Kisha utaanza kutumia huduma zetu.

Bila kusahau ushauri wetu kwako kuhusu ulaji sahihi.

Mawasiliano yetu
0652-067-797. Whatsapp pekee.

Kupiga ni 0652-067-797
Whatsapp pia.

Tupo Arusha

Tembelea ukumbi facebook/instagram umeandikwa Afya suluhu herbal clinic

Tiba kwa wote.
Karibuni Nyote.

*JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUEPUKA TATIZO LA UTI*UTI ni moja ya matatizo ya kiafya yanayowasumbua wanawake wengi — husab...
08/01/2026

*JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUEPUKA TATIZO LA UTI*

UTI ni moja ya matatizo ya kiafya yanayowasumbua wanawake wengi — husababisha maumivu makali wakati wa kukojoa, harufu mbaya, muwasho, na wakati mwingine homa.
Lakini habari njema ni kwamba unaweza kujikinga kabisa kwa kufuata kanuni sahihi za usafi na lishe.

*🔍 Sababu kuu za kupata UTI kwa wanawake:*

1. Kutokujikausha vizuri baada ya kukojoa (hasa kufuta kutoka nyuma kwenda mbele).

2. Kutokunywa maji ya kutosha.

3. Kuvaa nguo za ndani zenye joto au zinazobana sana.

4. Kushiriki tendo la ndoa bila usafi wa kutosha.

5. Kukaa na mkojo kwa muda mrefu bila kukojoa.

6. Kutumia sabuni kali sehemu za siri.

✅ Njia bora za kuzuia UTI:

1. 💧 Kunywa maji mengi kila siku – angalau glasi 8 hadi 10. Maji husafisha njia ya mkojo na kuondoa bakteria.

2. 🚽 Kukojoa mara kwa mara – usikae na mkojo kwa muda mrefu, kukojoa husaidia kuondoa vijidudu.

3. 🧼 Kudumisha usafi wa sehemu za siri – tumia maji safi na sabuni laini isiyo na kemikali.

4. 👗 Vaa nguo za ndani za pamba – zinaruhusu hewa na hupunguza unyevunyevu ambao bakteria hupenda.

5. 🚫 Epuka kutumia sabuni zenye manukato au dawa kali sehemu za siri.

6. 💑 Baada ya tendo la ndoa, ni vyema kukojoa mara moja kusaidia kuosha bakteria walioweza kuingia.

7. 🍋 Tumia vyakula vya asili vinavyosaidia kupambana na UTI k**a juisi ya parachichi, matunda yenye vitamin C (k**a chungwa na embe), na asali.

8. 🌿 Tumia tiba asilia zenye uwezo wa kuua bakteria na kusafisha njia ya mkojo — mfano mchaichai, tangawizi, na majani ya mlonge.

💡 Kumbuka:

UTI ikipuuzwa kwa muda mrefu inaweza kusababisha maambukizi kwenye figo na kuathiri afya ya uzazi.
👉 Kwa hiyo, mwanamke anatakiwa kujitunza mapema, kufanya usafi sahihi na kunywa maji kila siku.

WASILIANA NAMI KWA namba hii kuweza kupata uponyaji kwa haraka zaid
UPEWE DOZI U

*MADHARA MAKUBWA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI (Uterine Fibroids) kwa lugha rahisi na kwa hatua jinsi yanavyotokea mwilini.*--...
17/12/2025

*MADHARA MAKUBWA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI (Uterine Fibroids) kwa lugha rahisi na kwa hatua jinsi yanavyotokea mwilini.*

---

*🔥 1. Kutokwa Damu Nyingi Sana (Hedhi Nzito)*

Uvimbe husababisha:

Damu kutoka kwa wingi

Hedhi kudumu siku nyingi

*Matone ya damu nje ya siku za hedhi*

Hatari:
*➡️ Upungufu mkubwa wa damu (anaemia)*
*➡️ Kichwa kuuma, kizunguzungu, kupumua kwa shida*

---

*🔥 2. Maumivu Makali ya Tumbo la Chini na Kiuno*

Uvimbe ukiwa mkubwa hukandamiza:

Mishipa ya fahamu

Misuli ya kizazi

Kibofu cha mkojo

Hivyo husababisha maumivu ya:

Kiuno

Tumbo la chini

Mgongo wa chini

---

*🔥 3. Tumbo Kuongezeka (Kufanana na Mimba)>*

Uvimbe ukikua:

Tumb la chini huwa gumu

*Linaanza kusukuma ndani k**a mimba ya miezi 3–7*

Huleta uzito na ukak**avu tumboni

---

*🔥 4. Shida za Kukojoa na Maumivu Wakati wa Tendo*

*Uvimbe ukibonyeza kibofu cha mkojo →*

Kukojoa mara kwa mara

*Kukosa nguvu ya kuzuia mkojo*

*Maumivu wakati wa tendo la ndoa*

Ukiwa nyuma ya kizazi →

*Kubanwa kwa utumbo → kuvimbiwa*

---

*🔥 5. Kukandamiza Mishipa na Miguu Kuvimba*

Uvimbe mkubwa:

Hukandamiza mishipa ya damu

*Huzuia damu kushuka vizuri*

Matokeo:
➡️ Miguu kujaa maji
➡️ Maumivu ya mapaja
➡️ Kuchoka haraka*

---

*🔥 6. Shida za Kushika Mimba (Infertility)*

Fibroids zinaweza:

Kuzuia yai kupita fallopian tubes

*Kuathiri kupandikiza mimba kwenye kizazi*

Kupindisha umbo la kizazi

*Matokeo:*
*➡️ Ugumu wa kupata mimba*
*➡️ Mimba kuharibika mapema*

---

*🔥 7. Hatari Wakati wa Mimba*

*Kwa wajawazito wenye fibroids kubwa:*

Maumivu makali

Kutoka damu

Mimba kuharibika

Kujifungua kabla ya wakati

*Mtoto kuwa katika nafasi mbaya*

---

*🔥 8. Kubadilika kuwa Saratani (Hatari Ndogo Sana)*

*Asilimia chini ya 1% ya fibroids hugeuka kuwa saratani iitwayo* *leiomyosarcoma.*
*Hii hutokea mara chache sana, lakini uvimbe ukikua haraka sana → lazima kuchunguzwa.*

---

🔥 9. Maisha Kuathirika

*Uchovu kutokana na upungufu wa damu*

*Kutopata usingizi kutokana na maumivu*

Kukosa nguvu kazini

*Kushuka kwa hamu ya tendo la ndoa*

*Msongo wa mawazo kwa wanawake wengi*

---

*❗ UVIMBE WAASTAHILI MATIBABU K**A:*

✔️ Unakua haraka
✔️ Unasababisha damu nyingi sana

🔵FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME(PCOS) KWA WANAWAKE.Huu ni ugonjwa wa mtindo wa maisha ambapo cysts...
21/11/2025

🔵FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA POLYCYSTIC OVARIAN SYNDROME(PCOS) KWA WANAWAKE.

Huu ni ugonjwa wa mtindo wa maisha ambapo cysts hukuwa katika ovari, na huongezeka.
Ovari kwa wanawake huzalisha androjeni ambazo ni homoni za kiume kwa kiasi kidogo, lakini wanawake wenye tatizo hili la ugonjwa wa PCOS hutoa androjeni nyingi ambazo husababisha mwanwamke kukosa hedhi, kuwa na chunusi, nywele nyingi mwilini na kuongezeka uzito. Uzalishaji wa ziada wa homoni ya androjeni huzuia ovulation na kusababisha utasa pia kwa wanawake. Follicle huvunjika ili kutoa yai lililokomaa katika kila mzunguko, lakini mchakato huu haufanyiki kwa wanawake walio na ugonjwa huu wa PCOS. Kwaiyo mayai haya yanabaki kwenye ovari kisha kuifanya iwe nzito. Wanawake wanaofikia umri wa kuzaa mara nyingi huonekana wakiugua hali hii.
Ugonjwa wa PCOS maana yake ni Ugonjwa wa Ovari ya Poly Cystic. ugonjwa huu unaonyesha kwamba cysts mbalimbali au mifuko iliyojaa maji yenye mayai machanga huonekana kwenye ovari (hali ya polycystic) na kufanya iwe nzito kutokana na ovulation kupata usumbufu.


💚Sababu zinazochangia maendeleo ya ugonjwa wa PCOS ni:
👇
1.Genetics, familia zilizo na matukio mengi ya ugonjwa wa PCOS ziko katika hatari kubwa ya kurithishana na kuendeleza kisukari cha aina ya 2. Wanawake kati ya umri wa miaka 15-30 mara nyingi hugunduliwa na PCOS
2.Upinzani wa insulini, Homoni ya insulini inahitajika ili kudumisha kiwango bora cha sukari kwenye damu. Inapotokea kuna upinzani wa lnsulini kwenye seli za mwili hii hupelekea insulini zaidi kutolewa na kusababisha hali inayojulikana k**a hyperinsulinemia ambayo husanabisha maendeleo ya PCOS.
3.Maisha ya kukaa bila mazoezi na Kunenepa sana: Viwango vya chini vya shughuli na uzito kupita kiasi pia husababisha maendeleo ya PCOS.

Dr sadam 0652-067-797

21/10/2025

*MWANAUME NAJUA UMECHOSHWA NA DAWA NYINGI AMBAZO HAZINA MATOKEO ZENYE KUZUNGUMZA KUHUSU NGUVU ZA UUME NA KIUME SASA SIKILIZA NA SOMA KWA MAKINI SANA*

STRONG MAN POWER OIL
HAYA NI MAFUTA YA ASILI KABISA YASIO NA MADHARA YOYOTE YALE
NA YANATUMIKA KWENYE KUCHUA UUME ILI UWEZE KUWA RIJALI KAMILI WAKATI TENDO NA HATA BAADA YA TENDO

*FAIDA ZA KUTUMIA STRONG MAN POWER OIL*
●HAINA MADHARA KABISA HATA UKIACHA KUTUMIA UUME HAURUDI K**A ULIVYO KUWA
●INAKAZA MISULI ILIYO LEGEA KWA KUFANYA PUNYETO
●INA KUPA NGUVU YA KUWEZA KUMUDU TENDO KWA MUDA MREFU
●KUFANYA UUME KUWA MZITO
●KUREFUSHA UUME KWA UREFU NA UPANA KWA NCHI 2/4
●INASAIDIA KWA WANAUME WENYE UUME MDOGO

INAFAIDA NYINGI SANA KWA AFYA YA UUME

MAFUTA HAYA BEI YAKE NI 120,000/=
LIPA KWA BEI YA OFFER. 80,000/=

UNAPATA
KITABU CHA NGUVU ZA KIUME BURE
CLIP JINSI YA KUTUMIA
CLIP YA MAZOEZI YA UUME

PIGA NAMBA 0652067797

*__USAFI WA UKE KWA __WANAWAKE  NA  __JINSI YA KUEPUKA ______MAAMBUKIZI YA UZAZI**🤷‍♂️Uke ni sehemu nyeti sana ya mwili ...
15/10/2025

*__USAFI WA UKE KWA __WANAWAKE NA __JINSI YA KUEPUKA ______MAAMBUKIZI YA UZAZI*

*🤷‍♂️Uke ni sehemu nyeti sana ya mwili wa mwanamke, unahitaji matunzo maalum ili kuepuka maambukizi yanayoweza kuathiri afya ya uzazi.*

*Wanawake wengi wanakosea njia za usafi na hatimaye kujikuta wakikabiliwa na matatizo k**a UTI, fangasi, PID, na harufu mbaya ukeni. 🚨*

*✅ NJIA BORA ZA KUTUNZA USAFI WA UKE*

*1️⃣ Osha uke kwa maji safi na vuguvugu 🚿 – Epuka sabuni zenye kemikali kali, uke una mfumo wake wa kujisafisha.*

*2️⃣ Epuka kutumia ‘douching’ 🚫 – Kuingiza vitu ndani ya uke kunaweza kuharibu uwiano wa bakteria wazuri.*

*3️⃣ Vaa chupi safi za pamba 👙 – Pamba inaruhusu hewa kupita na kuzuia unyevunyevu unaosababisha fangasi.*

*4️⃣ Badilisha chupi mara mbili kwa siku 🔄 – Hii husaidia kuondoa uchafu na jasho linaloweza kusababisha harufu mbaya.*

*5️⃣ Baada ya kwenda chooni, jisafishe kutoka mbele kwenda nyuma 🚾 – Hii huzuia UTI kwa kuzuia bakteria kuingia ukeni*.

*6️⃣ Epuka suruali na chupi zinazobana sana 🚷 – Hii inaweza kuziba hewa na kuongeza hatari ya fangasi.*

*7️⃣ Badilisha mara kwa mara ili kuzuia harufu na bakteria hatari.*

*8️⃣Kunywa maji mengi 💦 – Husaidia mwili kutoa sumu na kuweka uke kwenye hali ya unyevu wa asili.*

*9️⃣ Kuwa mwangalifu na mahusiano ya kimapenzi ❣️ – Kuwa na mwenza mwaminifu na tumia kinga inapohitajika.*

*🚨 DALILI ZISIZO ZA KAWAIDA ZINAZOASHIRIA MAAMBUKIZI UKENI 🚨*

*🧏Mwanamke anapaswa kuwa makini na mabadiliko yafuatayo, ambayo yanaweza kuwa ishara ya maambukizi hatari:*

*❌ Uchafu wa rangi isiyo ya kawaida – K**a ni wa kijani, njano, au wa povu, huashiria maambukizi. 🟡*

*❌ Harufu mbaya ukeni 🤢 – Harufu kali k**a shombo la samaki inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya bakteria (BV).*

*❌ Miwasho na kuwaka moto ukeni 🔥 – Inaweza kuwa dalili ya fangasi au maambukizi mengine.*

*❌ Maumivu wakati wa tendo la ndoa 😣 – Hii inaweza kuashiria PID, fangasi, au ukavu wa uke kutokana na tatizo la homoni.*

*❌ Maumivu chini ya tumbo 🤕 – Ikiambatana na uchafu usio wa kawaida inaweza kuwa PID au maambukizi kwenye mirija ya uzazi.*

*❌ Kutokwa na damu isiyo ya kawaida 🩸 – K**a unavuja damu katikati ya mzunguko wako, in

*__Mambo __yatakayokusaidia uweze ____kupata ujauzito*  *PATA TIBA LEO UBEBE MIMBA UZAE**Kuna sababu mbalimbali zinazowe...
28/08/2025

*__Mambo __yatakayokusaidia uweze ____kupata ujauzito*

*PATA TIBA LEO UBEBE MIMBA UZAE*

*Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini*

*Wataalamu wanasema kwamba kwa miaka 20 iliyopita matatizo yanayohusu kushindwa kuzaa yameongezeka kwa kiwango kikubwa na asilimia 25 ya watu wanaotaka kubeba mimba na kuzaa mtoto wanakabiliwa na tatizo hilo.*

*Ni kweli kuwa kwa kawaida watu wengi hubeba mimba na kujaaliwa mtoto pale tu wanapofanya tendo la ndoa. Lakini jambo hilo halitokeo kwa watu wote na ingawa kwa baadhi ya watu kila kitu huonekana kwenda sawa lakini pia hushindindwa kubeba mimba.*

*Utafiti unaonyesha kwamba katika kila familia au 'couples' 5 zinazojamiiana katika wakati muafaka wa ovulation ni moja tu ndio hufanikiwa kupata mtoto, huku karibu wanawake 9 kati ya 10 wakifanikiwa kushika mimba baada ya kujaribu kutafuta mtoto kwa mwaka mmoja mzima bila kuzuia mimba.*

*Hivyo basi nawaomba wale ambao wamekuwa wakifanya jitihada za kufuata maelekezo ili waweze kushika mimba lakini hawakufanikiwa, wasife moyo kwani zipo Dawa za tiba asilia zinatibu kabisa na kwamba unaweza kubeba mimba kwa muda mfupi sana sana, ipo siku jitihada zao hizo zitazaa matunda wakitumia dawa za tiba asilia hakika watabeba* ujauzito na kusahau kabisa jina la *Mgumba* .

*Mambo ya kuzingatia iwapo unataka kushika mimba*
*Kwanza kabisa ni kuhakikisha kuwa kabla ya yote unamuona dokta wako au unakwenda hospitalini na kufanyiwa vipimo ili kujua k**a afya yako iko salama au la kwa ajili ya kushika mimba. Pamoja na kwamba nitakupatia dawa ya kukusaidia kushika mimba Ila ni lazima ufanye vipimo vya kitaalamu kwaajili ya kujua afya yako kwa kina zaidi.*

*Baadhi ya vipimo vinavyoshauriwa kufanywa ni pamoja na*
*1. General examination au uchunguzi wa jumla.*

*2. Kipimo cha kensa au Pap smear.*

*3. Kipimo cha magonjwa ya zinaa (STD) k**a vile Chlamydia ambao wanaweza kuathiri uwezo wako wa kushika mimba.*

*4. Kipimo cha damu cha kuangalia k**a una upungufu wa damu, Rh na kinga yako ya mwili dhidi ya ugonjwa wa Rubella.*

*5. Kipimo cha mkojo

SABABU ZA KUWASHWA UKENI KWA WANAWAKEJIFUNZE NA DR SADAM 0652-067-797 Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya ma...
20/08/2025

SABABU ZA KUWASHWA UKENI KWA WANAWAKE

JIFUNZE NA DR SADAM 0652-067-797

Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani bila kujali jinsi, muwasho unaweza kuwa umesababishwa na ugonjwa wa ngozi, zinaa au mzio.

~ (Allergy) Muwasho huongezeka pale unapokaa na kukiwa na unyevunyevu.

Kinachosababisha muwasho katika sehemu za siri za mwanamke ni maambukizi ya fangasi au bakteria ukeni, kuvimba uke wakati wa hedhi , tatizo la shingo ya kizazi, wasiwasi, tatizo la mfumo wa kinga na kisukari.

Maambukizi ya fangasi ni moja ya tatizo kwa wanawake linalosumbua.

Tatizo hili husababishwa na fangasi
Dalili kuu ni kuwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe k**a maziwa.

Nini cha kufanya?

1. Weka sehemu za siri katika hali ya usafi na ukavu, kwa maana unyevunyevu unaweza kusababisha maambukizi.

2. Vaa nguo isiyobana sana, iliyotengenezwa kwa vitu asilia k**a pamba.

3. Badili nguo ya ndani angalau kila siku.

4. Kila baada ya kukojoa au kujisaidia haja ndogo kuosha sehemu za siri kuanzia mbele yaani ukeni na baadaye nyuma kwenye njia kubwa.

Huu ni mfumo wa kuzuia maambukizi ya bakteria walioko kwenye njia ya haja kubwa kwenda ukeni.

-
K**a wewe ni mhanga na umekua ukipata muwasho kwa muda mrefu Karibu Kwa tiba na ushauri

Kwa tiba na ushauri zaidi piga simu kupitia namba 0652-067-797

*FAHAMU KUHUSU HOMONI ZA MWANAMKE NA KAZI ZAKE.*Na Dr Sadam 0652067797.Mara nyingi nimekuwa nikieleza kuhusu dalili za m...
23/07/2025

*FAHAMU KUHUSU HOMONI ZA MWANAMKE NA KAZI ZAKE.*
Na Dr Sadam 0652067797.

Mara nyingi nimekuwa nikieleza kuhusu dalili za mvurugiko wa homon wengi wetu hawaelewi vyema leo ntazifafanua kidogo lakini zaidi zidi kufuatlia ntazichambua kiundani KAZI ZAKE,ikipungua nini hutokea,ikiongezeka nini hutokea.

Homoni ni kichocheo ambacho hutengenezwa na tezi mbalimbali mwilini. Na homoni husafirishwa na damu kwenda sehemu inapohitajika mwilini. Kumbuka kwamba kila homoni huwa ina kazi yake maalumu, huwezi kukuta homoni ya uzazi inaenda kuchochea umeng’enyaji wa chakula cha protini. Kila homoni na kazi yake maalumu.

*Homoni kwa tafsiri nyingine ni* “Kichocheo” kwa sababu madhumuni ya kutengenezwa kwa homoni ni kwenda kuchochea tendo flani la kibaolojia litokee mwilini.

*🍊 estrogen* hutengenezwa na tezi iitwayo ovari na huenda kuchochea mambo mbalimbali kwa mwanamke k**a kubarehe kwa mwanamke (Kuota matiti,Ngozi laini,nyoga kuongezeka,sauti nyororo), pia huchochea kujengeka kwa ukuta wa kizazi ili mimba ije ishike kwenye ukuta imara. Kwa maana hio homoni ni “Kichocheo cha mwili”.

Homoni zipo aina nyingi, kuna homoni za uzazi,usagaji chakula,zinazo ratibu matumizi ya wanga,mafuta na protein nk ila somo hili utajifunza homoni za uzazi kwa mwanaume na mwanamke.

Homoni ambazo zinachochea matukio mbalimbali ya uzazi kwa mwanamke ni Estogen,Progesterone,Prolactin, Follicle stimulating hormone(FSH),Luteinizing hormone(LH),na Testosterone.

Homoni hizi huwa zinatengenezwa na ovari kwa mwanamke lakini tezi inayo ratibu kiwango cha usawa wa homoni hizi ili isije ikatokea moja ikapanda sana na nyingine ikashuka sana. Kazi hio hufanywa na tezi iliyopo kwenye ubongo iitwayo Anterior Pituitary Gland. Kwa hio tezi hii inahakikisha kwamba hakuna homoni inayozidi wala inayopungua.



Kazi za homoni hizi:

*👉Estrogen*
-Huchochea matendo yote wakati ya kubalehe. Kuota matiti,Ngozi kuwa laini,sauti,nyoga kuongezeka nk
-Hujenga ukuta wa kizazi ili mimba ije ijishike kwenye ukuta mnene.
-Huchochea ukuaji wa matiti wakati una mimba.


*👉Progesterone*
-Hutengenezwa na tezi ya dharura (corpus luteum) pale ambapo yai limetoka
Kazi yake kubwa ni kulea mimba inaongezeka sana baada ya siku ya

MWANAMKE UNAETAMANI KUPATA UJAUZITO●HAKIKISHA UNATATUA CHANGAMOTO HIZI ZINAZO ZUIA KUNASA UJAUZITO.Ili ushike ujauzito c...
19/07/2025

MWANAMKE UNAETAMANI KUPATA UJAUZITO

●HAKIKISHA UNATATUA CHANGAMOTO HIZI ZINAZO ZUIA KUNASA UJAUZITO.

Ili ushike ujauzito cha kwanza kabisa hakikisha

⚫Unapata siku zako kwa usahihi.
Ukiwa na Changamoto ya kubadilika badilika kwa hedhi ni dalili hatari huweza kukufanya ushindwe kunasa ujauzito siku ya kunasa ndio muhimu na inatakiwa ijulikane.

⚫Unapata ute wa ovulation. Ute Ni ishara ya kupevuka kwa mayai homon huratibu upevushaji wa mayai unapo ona ukavu ukeni basi faham yai halipevuki hivyo kukosa ute. Wengi hupata Maumivu na kukosa hamu ya tendo.

⚫Hauna Infections zozote kwenye via vya uzazi k**a👇🏽👇🏽
1.FUNGUS
2.U.T.I
3.PID
4.HORMONE IMBALANCE
5.MIRIJA KUJAA MAJI/ KUZIBA.
6.KUVIMBA KWA MIRIJA
7.UVIMBE KWENYE KIZAZI.
Hizi zote Infections Hupelekea mwanamke kushindwa kunasa ujauzito. Matibabu sahihi huhitajika.

*muhimu* : Kuna ambao wanaweza kunasa ujauzito hata k**a wana hizi Infections lakini mimba zikawa zina haribika ni vyanzo vya mimba kuharibika pia.

MATIBABU
Ukiwa na Changamoto yoyote hapo juu usisite kuwasiliana nami ili kukupa maelezo juu ya kutatua kwa haraka hata k**a umesha hangaika kwa muda piga 0652-067-797

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya suluhu splmt clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram