19/10/2023
UJUE UGONJWA WA PRESHA NA JINSI YA KUTATUA TATIZO HILI.
Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu ni ugonjwa sugu ambao nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni mkubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. presha ikiwa kubwa inaweza
kuleta madhara ya kiafya na huweza
kusababisha matatizo makubwa ya
kiafya.
SHINIKIZO LA JUU LA DAMU HUSABABISHA YAFUATAYO;-
👉kupooza.
👉mshtuko wa moyo(mashambulizi ya moyo)
👉Moyo kushindwa kufanya kazi,
👉kutuna kwa ukuta wa mishipa (k**a kutuna kwa ukuta wa aota au mkole),
👉chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo.
👉hupunguza matarajio ya wastani wa mda wa kuishi.
SABABU ZA UGONJWA WA PRESHA.
👉kiwango cha maji mwilini,
👉kiwango cha chumvi mwilini,
👉 mfumo wa homoni mwilini,
👉hali ya joto au hali ya baridi,
👉hali ya hisia(stress),
👉 magonjwa ya figo,
👉mfumo wa neva na mishipa ya damu.
VITU VINAVYOSABABISHA PRESHA
👉Hali ya unene wa kupindukia.unene wa kifua na tumbo.
👉Ulaji mwingi wa chumvi au sodium kwa wingi
👉Hali ya uvivu
👉Uvutaji wa sigara
👉Mazingira ya mifadhaiko ya hali ya juu (stress),
👉Ulaji wa vyakula visivyo vya afya
👉Historia ya kifamilia ya kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
👉udhibiti mbaya wa sukari.
👉mkusanyiko wa mafuta usoni na mgongoni
JINSI YA KUZUIA/KUEPUKA PRESHA
👉fanya clean kila mara unavyoweza. Inaondoa mafuta na sum mwilini na kukuepusha na unene usiotakiwa
👉Acha uvutaji wa sigara
👉Punguza uzito k**a ni mnene
👉fanya mazoezi ya viungo ili kuimarisha hali ya afya ya moyo
👉Punguza sodium iwe chini ya gram 2.4 za sodium au chini ya gram 6 za chumvi kwa siku
👉Punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kolestero
👉Punguza unywaji wa pombe
👉Ulaji wa kiwango kinachotakiwa cha
kalsiumu, potasiamu na magnesiamu
👉Dhibiti hali ya mifadhaiko na majonzi.
DALILI ZA PRESHA
👉Kuumwa kichwa(haswa nyuma ya kichwa na asubuhi)
👉Uchovu
👉kutoweza kuona vizuri au matukio ya kuzirai
👉Hali ya kichefuchefu na kutapika
👉Hali ya woga
👉Hali ya kuchaganyikiwa (stress)
👉Kupauka kwa ngozi au kuongezeka wekundu wa ngozi.
👉sikio kelele (mvumo au mzomeo masikioni)
DALILI ZA HATARI ZA MGONJWA WA PRESHA.
👉kutokuona vizuri au kupumua vizuri. Kwa sababu moyo haufanyi kazi vizuri
👉kutojisikia vizuri uchovu kwa sababu mafigo yanashindwa kufanya kazi.
👉shinikizo la damu la ghafla.
👉maumivu ya kifua, hii inaweza ikawa ni dalili za kuhalibika kwa mishipa ya moyo.
👉kukosa pumzi na kukohoa na kukohoa makohozi yenye damu
👉 mapafu kujaa maji
👉figo kushindwa kufanya kazi
KWA MSAADA ZAID.
+255759542035