ESM-AfyaCare

ESM-AfyaCare MATIBABU KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE

26/12/2024

Whatsapp 0685596980

💫 TATIZO LA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA VICHOCHEO- *-HORMONAL IMBALANCE..**✍️Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo c...
26/06/2024

💫 TATIZO LA KUTOKUWA NA UWIANO SAWA WA VICHOCHEO- *-HORMONAL IMBALANCE..**

✍️Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa wanamke, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 25 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe(kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

✍️Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen ,Progesterone na Testosterone.Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

☎️Kwa msaada wasiliana nasi kwa
Kupiga/Whatsapp
0685596980 / 0736596980

💫VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI
✳Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi kwa sasa, hii ni kutokana na;

✅-Mifumo ya maisha wanayoishi,
✅-Elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu.

💫 Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni k**a vile,
✅Uwepo wa sumu mwilini
✅Mfumo mbovu wa maisha/ulaji na unywaji wa chakula na vinywaji vyenye kemikali.
✅Umri
✅Kukoma kwa hedhi
✅Kutofanya mazoezi
✅Uzito mkubwa
✅Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
✅Msongo wa mawazo
✅Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
✅Upungufu wa lishe mwilini
✅Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
✅Utoaji wa mimba
✅Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)
Ongezeko la homoni ya testosterone (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)
✅(Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

☎️Kwa msaada wasiliana nasi kwa
Kupiga/Whatsapp
0685596980 / 0736596980

💫DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
🟢 Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
✅- Ukavu ukeni
✅- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
✅- Kutoa jasho usiku
✅- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
✅- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
✅- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
✅- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
✅- Uchovu wa mara kwa mara
✅- Hasira za mara kwa mara
✅- Kukosa usingizi
✅- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
✅- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
✅- Ongezeko la tumbo na nyama uzembe
✅- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele)
✅- Maumivu ya viungo
✅- Upungufu wa nywele kichwani.
✅- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
✅- Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya kiwandani.
✅- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
✅- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
✅- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
✅- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
✅- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
✅- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
✅- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
✅- Kutokupata choo kwa wakati
✅- Misuli hudondoka
✅Kupata kwa Vimbe kwenye kizazi (fibroids).

☎️Kwa msaada wasiliana nasi kwa
Kupiga/Whatsapp
0685596980 / 0736596980

💫MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
🥩Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha
✅Saratani ya kizazi,
✅CD4 kushuka,
✅Sehemu ya uke kuwa baridi,
✅Kuchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,
✅Huathiri mtoto atakayezaliwa,
✅Huathiri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria)
✅utokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
✳Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
✅Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
✅Mimba kuharibika mara kwa mara
✅Kukosa mtoto au Ugumba
✅Maumivu wakati wa tendo la ndoa .
✅Kuzeeka mapema
✅Kuziba kwa mirija ya uzazi
✅Uvimbe (Fibroids and Cysts)
✅Kukosa hamu ya tendo la ndoa.

💫SULUHISHO
✳Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumia madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea madhara k**a:
✅- Kuongeza uwezekano ya shinikizo la damu.
✅- Osteoporosis.
✅- Madhara katika mfumo wa uzazi.
✅- Saratani na mengineyo.

☎️Kwa msaada wasiliana nasi kwa
Kupiga/Whatsapp
0685596980 / 0736596980

💫SULUHISHO LA KUDUMU.

💊💊Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini na hivi vyote ni vitu unavyoweza kurekebisha.
Kwa wanawake wenye changamoto hii tume waandalia tiba ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Tiba hii ni ya vyakula; sio dawa wala miti shamba...tiba ii ni mchanganyiko maalumu usio na kemikali was matunda,mbogamboga,mimea,vitamins,madini ,protini na vingine Vingi kwa pamoja
Inasaidia kuweka sawa homoni za mwanamke, kuboresha mfumo mzima wa uzazi, kuleta heshima ya ndoa maana uke utarudi katika hali yake ya asili (mnato na ute ute ukeni wenye kuleta msisimko wakati wa tendo la ndoa, na kupunguza kasi ya uzee).
Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo:
vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo. Hivyo program hii itakusaidia katika kuboresha afya yako na kukuondolea hizo changamoto zote
✳Kama umeathiriwa na tatizo LA kutokukua na uwianano sawa wavichocheo vya mwili, ungependa suluhisho la kudumu na ushauri.

☎️Kwa msaada wasiliana nasi kwa
Kupiga/Whatsapp
0685596980 / 0736596980

23/11/2023
17/11/2023

UGONJWA WA KISUKARI

👉Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus) ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho

💫Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari

1️⃣ Kisukari type 1

2️⃣Kisukari type 2

📌 KISUKARI TYPE 1

👉 hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha

💫
DALILI ZA KISUKARI TYPE1

1. Kuhisi kiu sana

2. Mdomo kuwa mkavu sana

3. Matatizo ya ngozi na njia za mkojo

4. Kiungulia na kichefu chefu kikali

5. Kukojoa mara kwa mara

6. Kuhisi njaa kila wakati

6. Mwili kukosa nguvu

8. Jasho sana hasa nyakati za usiku

9. Kushindwa kujiamini

10.Kupata ganzi seemu mbali Mbali za mwili

2️⃣ DIABETES TYPE 2

💫hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa au hufanya kazi kwa kiasi kidog sana hivyo kushindwa kupambana na sukari

💫SABABU MBADALA ZINAZOSABABISHA UGONJWA WA SUKARI

↘️Ulevi hasa wa pombe kali

↘️Uvutaji wa sigara

↘️Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic

↘️Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani venye sukari nyingi na ulaji wa wanga sanaa

⚠️ MATATIZO MENGINE YANAYOSABABISHWA NA SUKARI

💫Magonjwa ya moyo

💫 Kiharusi

💫Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vzr

💫Kuharibu macho hivyo kupoteza uono

💫Kuleta upungufu wa nguvu za kiume

💫kushusha kinga ya mwili kusabisha maradhi mengine mengi

💫Figo kufeli na n.k.

MATIBABU YA UGONJWA WA KISUKARI

Tunatoa Matibabu kwa Kutumia Virutubisho Lishe Vyenye Uwezo wa kuondoa Ugonjwa huu hatari na Madhara yake.

Call/ whatsapp 0685 596 980

*UKAVU UKENI*Kwa kawaida uke wa mwanamke unapaswa uwe au ute ambao huongezeka wakati wa tendo la ndoa lakini kwa baadhi ...
07/11/2023

*UKAVU UKENI*

Kwa kawaida uke wa mwanamke unapaswa uwe au ute ambao huongezeka wakati wa tendo la ndoa lakini kwa baadhi ya wanawake wamekua wakikosa raha wakati wa tendo la ndoa kutokana na uke kuwa mkavu. Sababu kubwa ya ukavu ukeni ni kushuka kwa kiwango cha homoni ya k**e ya ostrojeni ambayo ndio ina kazi ya kufanya uke uwe na ute na laini wakati wote.

*SABABU ZA UKE KUWA MKAVU:*

✅ Ukomo wa hedhi.
Hii ndio sababu kuu ya uke kukosa unyevu nyevu kutokana na kushuka kwa kiwango cha homoni ya ostrojeni mwilini. Wengi hudhani tatizo litaisha baada ya mda lakini ukweli ni kwamba tatizo huongezeka siku zinavyozidi kwenda k**a halijatafutiwa ufumbuzi.
✅Kujifungua na kunyonyesha kutokana na kushuka kwa kiwango cha ostrojeni
✅Ukosefu wa maandalizi ya kutosha kabla ya tendo la ndoa
✅Msongo wa mawazo, hofu, historia mbaya ya ngono na shida nyingine za kisaikolojia
✅Matibabu ya vimbe kwenye uzazi, saratani, allergy
✅Uvutaji wa sigara
✅Upasuaji kuondoa mifuko ya mayai
✅Sabuni, lotion, manukato yatumikayo ukeni
✅Kukosa hamu ya kufanya mapenzi husababisha ukavu na ukavu husababisha kukosa hamu

*UKAVU UKENI HUAMBATANNA NA DALILI NYINGINE K**A:*

✅Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa
✅Michubuko, miwasho, kuungua sehem ya ukeni
✅Kutokwa matone ya dam baada ya tendo
✅ Kupungua kwa hamu ya tendo

*MATOKEO MABAYA AU MADHARA YA UKE KUWA MKAVU*

✅ Michubuko ukeni
✅Hatari ya maambukizi ya bacteria au fungus
✅UTI (maambukizi kwenye njia ya mkojo) zinazojirudia
✅Kutokufika kileleni na kutokufurahia mapenzi
✅Kutokujiamini

Wasiliana nami kwa suruhisho la changamoto hii.,,,piga.
☎️ 0685 596 980

IJUE BAWASIRI NI NINI?[ USIFANYE UPASUAJI KWANZA ] Fahamu Kua Unaweza Kuondoka na Changamoto Ya Bawasiri Ya Nje na Ya Nd...
06/11/2023

IJUE BAWASIRI NI NINI?

[ USIFANYE UPASUAJI KWANZA ]

Fahamu Kua Unaweza Kuondoka na Changamoto Ya Bawasiri Ya Nje na Ya Ndani Tena Bila Upasuaji Kwa Kutumia Njia Za Asili tu

Bawasiri inaweza kuwa ya ndani au ya nje na inaweza kusababishwa na Mambo Yafuatayoo

✅ Kupata Choo Kigumu
✅ Kua na Uzito Mkubwa
✅ Kua na Ujauzito
✅ Kukaa Chini Kwa Muda Mrefu
✅ Kua na Umri mkubwa na mengine mengi..

Kabla Tatizo Halijatokea Mtu Anaweza Kuanza Kupata Changamoto Katika Mfumo Mzima Wa Mmeng'enyo Wa Chakula Hasa Kuanza

➡️ Kupata Choo Kigumu
➡️ Choo Kuambatana na Damu. Nk

➡️ Kupata Miwaho Sehemu ya Haja Kubwa
➡️ Kuanza Kuhisi Uvimbe Hasa Uvimbe Sehemu Ya Haja Kubw

💥 Inawezekana Umekua Ukisumbulia na Changamoto Hii Mara Kwa Mara na Hautamani Kabisa Kufanyiwa Upasuaji.

TUNALO SULUHISHO la TATIZO HILI NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA KIAFYA

MAWASILIANO

WhatsApp/Tupigie
0685 59 69 80
0736 59 69 80

Lakn pia kwa kujali Afya Yako pokea offer hapa chini👇👇👇

Ili kupata maelezo na ushaur wa bure wasiliana nasi Kwa 👇👇 Whatsapp

Au Tupigie Kwa Namba Zetu Hapa Chini.....

📞📞 +255 685 59 69 80
+255 736 59 69 80

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255685596980

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ESM-AfyaCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ESM-AfyaCare:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram