Lemay's supplements

Lemay's supplements MSHAURI WA MASUALA YA AFYA KUPITIA KAMPUNI YA BF SUMA TANZANIA HASA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

JUICE YENYE  MCHANGANYIKO  WA PAPAI, CHUNGWA, EMBE, NA MAJI YA N**I INA FAIDA NYINGI SANA.Mchanganyiko wa papa (papai), ...
18/04/2025

JUICE YENYE MCHANGANYIKO WA PAPAI, CHUNGWA, EMBE, NA MAJI YA N**I INA FAIDA NYINGI SANA.

Mchanganyiko wa papa (papai), chungwa, embe, na maji ya n**i una faida nyingi mwilini:

Huimarisha kinga ya mwili – Chungwa, embe na papai vina vitamini C nyingi.

Huboresha usagaji wa chakula – Papai lina enzyme ya papain inayosaidia kumeng’enya chakula.

Huondoa sumu mwilini (detox) – Maji ya n**i husafisha figo na kusaidia mwili kutoa sumu.

Huongeza maji mwilini (hydration) – Maji ya n**i na matunda yana maji mengi yanayozuia upungufu wa maji.

Hulinda ngozi na macho – Embe na papai vina vitamini A na antioxidants kwa ajili ya ngozi na macho.

Husaidia mfumo wa mmeng’enyo – Nyuzinyuzi kutoka kwa matunda haya huboresha choo na kumeng’enya vizuri chakula.

Kwa ushauri zaidi juu ya lishe mbalimbali wasiliana nasi kwa simu 0747622258
Ni mchanganyiko bora kwa afya ya kila siku. Unataka nitengeneze juisi au smoothie recipe ya haya?

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
31/01/2025

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Magonjwa ya mifupa na maungio yana sababishwa na vitu vingi sana ikiwemoAjaliAina za ukaaji hasa ofisinKuumia kwa namna ...
19/11/2024

Magonjwa ya mifupa na maungio yana sababishwa na vitu vingi sana ikiwemo

Ajali
Aina za ukaaji hasa ofisin
Kuumia kwa namna moja ama nyingine na mda mwingine unaweza usijue
Mazoezi mazito
Ulaji mbaya wenye kuleta mkusanyiko wa uric acid na kupunguza uzalishaji wa ute ute kwenye joints
Kuendesha gari masafa marefu mara kw maara

Zipo athari nyingi mtu anapata akiwa na matatizo ya mifupa na maungio k**a

Ganzi
Misuli kuwaka moto
Uchovu
Kudhoofika kw mifumo mingine km upungufu wa nguvu za kiume na hormone imbalance, macho, nk

Sasa basi acha kuendelea kuteseka matatizo yote ya mifupa na maungio yanatibika na virutubisho lishe bora kutoka marekani

Wasiliana nami mr moh mriri mtalamu wa afya na tiba lishe

call 0628 062 258

29/06/2024
*TATIZO LA FANGASI MDOMONI*👉Tatizo la fangasi mdomoni linatokana na kukua kwa fangasi aina ya candida albicans ambao hus...
04/06/2024

*TATIZO LA FANGASI MDOMONI*

👉Tatizo la fangasi mdomoni linatokana na kukua kwa fangasi aina ya candida albicans ambao husababisha muwasho na hali k**a ya kuungua mdomoni,kusikia ladha k**a ya chuma ikiambatana na weupe fulani kwenye mdomo au ulimi ambao unabanduka ukiukwangua.

*SABABU ZA KUPATA FANGASI MDOMONI*

🖌️Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kuua bakteria(antibiotics)

🖌️Kuwa na tatizo la kukaukiwa na mate mdomoni(xerostomia)

🖌️Ukosefu wa baadhi ya virutubisho na madini mwilini k**a madini chuma,na vitamin kadhaa.

🖌️Matumizi ya tumbaku,ugoro na kuvuta sigara.

🖌️Kuwa na meno bandia ambayo hayakai vizuri mdomoni(Ill fitting dentures)

🖌️Kushiriki ngono kwa njia ya mdomo(oral s*x) na mtu ambaye ana fangasi kwenye via vya uzazi.

🖌️Kuwa na magonjwa sugu k**a kisukari hasa kwa wale ambao hawafatilii vizuri matibabu ya ugonjwa huu.

🖌️Kuwa na magonjwa yanayoshambulia kinga ya mwili k**a virusi vya UKIMWI

🖌️Kufanyiwa matibabu ya mionzi(RADIATION THERAPY)

👉Watoto wachanga wanaweza kuwa na fangasi hizi ambazo huonekana k**a utando mweupe mdomoni mara nyingi huwa wanapona wenyewe,lakini pia inawezekana kabisa wakapata fangasi kutoka kwenye ziwa la mama k**a lina maambukizi.
*ENDAPO UNA TATIZO HILI FANYA YAFUATAYO*

👉Endelea kufanya usafi wa kinywa vizuri kwa kupiga mswaki angalau mara mbili kwa siku.

👉Tunza vizuri meno yako bandia k**a ulivyoelekezwa.

👉Unaweza kujaribu kusukutua na maji ya uvuguvugu yenye chumvi kwa siku tatu.

👉Ongeza matumizi ya vyakula aina ya maziwa mtindi na yoghurt hizi husaidia kupambana na fangasi.

👉Kula mlo kamili(balanced diet)

👉Epuka tabia zinazoweza kukusababishia kupata fangasi mdomoni k**a zilivyoelezwa hapo juu.

*KWA TIBA NA USHAURI ZAIDI*
Tembelea ofisi zetu zilizopo nchi nzima au tupige sasa kupitia

0747 62 22 58



VYANZO  VYA BAWASIRI✔Kuwa na uzito kupita kiasi✔kutumia nguvu kupush wakati wa kujifungua✔kukaa sana juu ya kitu kigumu✔...
07/05/2024

VYANZO VYA BAWASIRI
✔Kuwa na uzito kupita kiasi
✔kutumia nguvu kupush wakati wa kujifungua
✔kukaa sana juu ya kitu kigumu
✔kufanya ngono kinyume na maumbile
✔kupata choo ngumu
✔kula sana nyama nyekundu
✔pressure ya kupanda
✔kula sana pili pili
✔kula udongo
✔kutumia vyoo vya kukaa
✔kuharisha kupita kiasi
✔kunyanyua vitu vizito

MADHARA YA BAWASIRI
✔upungufu wa damu
✔kutokwa na kinyesi bila kujitambua
✔kukosa hamu ya tendo la ndoa
✔upungufu wa nguvu za kiume
✔kuathirika kisaikolojia
✔kutopata ujauzito
✔mimba kuharibika
✔kupata cancer ya utumbo
✔mwili kudhoofika

*Pata Suluhisho la tatizo lako sasa, 📞0747 62 22 58

07/05/2024

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

DALILI

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

Whatsapp/call 0747 62 22 58

MSHAURI WA MASUALA YA AFYA KUPITIA KAMPUNI YA BF SUMA TANZANIA HASA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA

Address

Arusha

Telephone

+255747622258

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lemay's supplements posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Lemay's supplements:

Share