
24/06/2025
GCAT HOSPITALS – 🌟HUDUMA KAMILI ZA MAGONJWA YA UZAZI — KWA WOTE (WANAWAKE NA WANAUME) 🌟
Tunatibu na kushughulikia magonjwa yote ya mfumo wa uzazi kwa kutumia tiba asilia na kisasa, kwa usalama wa hali ya juu.
1. MAGONJWA YA UZAZI KWA WANAWAKE:
• Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)
• Maumivu ya hedhi (dysmenorrhea)
• Hedhi isiyo na mpangilio
• Kukosa kabisa hedhi (amenorrhea)
• Maambukizi ya njia ya uzazi (PID - Pelvic Inflammatory Disease)
• Majipu sehemu za siri
• Harufu mbaya sehemu za siri
• Kutokwa na uchafu usio wa kawaida
• Maambukizi ya fangasi ukeni
• Mirija ya uzazi iliyoziba
• Ugumba/Utasa (Infertility)
• Mimba kuharibika mara kwa mara
• Mimba kutoka (miscarriage)
• Miwasho ya mara kwa mara sehemu za siri
• Maumivu wakati wa tendo la ndoa
• Kansa ya shingo ya kizazi (Cervical Cancer – huduma ya rufaa na ushauri)
2. MAGONJWA YA UZAZI KWA WANAUME:
• Ugumba (low s***m count, poor s***m motility)
• Maumivu ya korodani
• Kuvimba kwa tezidume (prostate enlargement)
• Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
• Kutokwa na usaha sehemu za siri
• Kuwahi kufika kileleni (premature ej*******on)
• Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa (low libido)
• Nguvu za kiume kushuka
• Fangasi sehemu za siri
• Maumivu wakati wa kukojoa
• Upungufu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction)
• Kupiga punyeto kupita kiasi na madhara yake
• Maumivu ya nyonga na mgongo yanayohusiana na uzazi
3. HUDUMA NYINGINE:
• Ushauri nasaha kwa wanandoa na wanaotafuta watoto
• Tiba ya uzazi kwa njia ya supplements
• Tiba ya kurejesha homoni sawa kwa wanaume na wanawake
• Vipimo vya awali (basic screening) kabla ya tiba
⸻
🧬 Tunafanya vipimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa kutoka India na China, pamoja na matibabu ya kibunifu kupitia Tibalishe – mchanganyiko wa lishe tiba na tiba asilia unaowezesha mwili kupona kwa ufanisi bila madhara ya kemikali.
✅ Tunajivunia madaktari bingwa wenye uzoefu na huduma rafiki kwa kila mgonjwa.
📍 Tunapatikana:
Dar es Salaam na mikoa mbalimbali Tanzania nzima 🇹🇿
📞 Wasiliana Nasi Leo:
📲 0761 321 032
Bofya kitufe cha whatsap kututumia ujumbe
💬 Afya yako ni msingi wa maisha bora – GCAT Hospital tunakujali kwa moyo wote!