Laty na afya ya uzazi

  • Home
  • Laty na afya ya uzazi

Laty  na  afya ya uzazi Tunasaidia kutatua matatizo ya uzazi kwa Jinsia ya kike na kiume

03/11/2024

K**a unasumbuliwa na changamoto yoyote ya uzazi gusa link ili ujiunge kwenye group hili kumbuka mafunzo ni bure wahi chap kabla group halijajaa

01/11/2024

Check out JALI AFYA YAKO’s video.

01/11/2024

85 likes, 4 comments. “ 🇹🇿 🇺🇸 ”

Tujitahidi kupunguza mawazo kwani kila kitu kitakuwa sawa kila mmoja kwa wakati wake sahihi atapata hitaji lake.🤰🤱Ukipat...
01/11/2024

Tujitahidi kupunguza mawazo kwani kila kitu kitakuwa sawa kila mmoja kwa wakati wake sahihi atapata hitaji lake.🤰🤱

Ukipata changamoto usimueleze kila mtu maana watu wengi wanapenda sana kukuona kwenye changamoto hivo kuwaeleza kuwa upo kwenye changamoto ni furaha kwao. Badala ya kukusaidia wanakuumiza zaidi.

Mfano: Wanawake wengi hushindwa kujizuia na kupotezea hata kitu kidogo tu anaweka status au kumueleza kila mtu na watu hao hao badala wamfariji basi wanampa ushauri wa kumuangamiza zaidi na kuchochea maumivu zaidi.

Usitumie vilevi k**a pombe na sigara kupunguza mawazo.

Kuwa makini na hili tujitahidi kutafuta furaha maana matatizo hujileta yenyewe tu. Usisahau changamoto huja kutukumbusha kitu na sisi ni wakubwa zaidi ya changamoto zitutokeazo. Tutashinda.🤰🤱

_________________
WhatsApp:- kwa ushauri wowote unaweza kunitafuta 0673311844

‼️Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya *UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka/ mzit...
01/11/2024

‼️Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya *UTI na Fungus/PID/ bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka/ mzito )*....
⚠️. (Unakuta mtu anakwambia *"Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi, nimeaambiwa Ni UTI,* nimetumia sana madawa haiponi," unabaki HUELEWI 😁😁😁). 📌Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita, na shimo la Chini ni VA**NA, UKE wenyewe hapa uume hupita, mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakini pia mwanamke akiwa period, damu Hupita Hapo..
📌UTI inahusiana na Njia ya JUU tu, yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana
✍️kutoka Uchafu unaonuka sana, kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa s*x, chanzo ni NJIA hiyo ya chini, Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus, PID, au hata vaginosis, ila SIO UTI📌..

_In Shortly Uke umeganyika katika Sehemu kuu mbili nazo ni:-_
👉1.UKE (VA**NA)/ njia ya Uzazi.
Uke ni ile sehemu (tundu) inayopitisha mtoto wakati wa kuzaliwa,pia ndiyo sehemu ambayo uume huingia wakati wa kujamiiana.Kwa maana rahisi kabisa,uke ni sehemu ya ndani inayotengeneza sehemu za siri za mwanamke, rejea kidole kwenye picha

👉2. V***A
V***a ni sehemu ya nje ya uke ambayo ndiyo hugusana na nguo za ndani anazovaa mwanamke. Hii inahusisha mashavu makubwa ya nje ya uke, mashavu madogo ya ndani ya uke, tundu la mkojo pamoja na sehemu zote zilizo nje (isipokuwa tundu lenyewe la uke).

Sehemu ya haja kubwa japo siyo mojawapo ya sehemu zinazounda mfumo wa uzazi wa mwanamke tunaweza kuikaribisha pia kuwa sehemu ya v***a kwa kuwa matatizo yoyote yanayohusisha v***a huathiri pia sehemu ya haja kubwa.

Ahsanteni Wapendwa✍️

Pia k**a una changamoto yoyote ya Uzazi? Tuambie, *tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako k**a tulivowasaidia wengine!..*
-
```TUNAWATHAMINI KWA KUWA MNATUAMINI```
____________________
Piga/sms
Au WhatsApp 0673311844

Siku za ovulation, mwanaume hakikisha unafanya deep d*ck pe*******on ili kusaidia mbegu kumwagwa mbali na mwanamke usiny...
01/11/2024

Siku za ovulation, mwanaume hakikisha unafanya deep d*ck pe*******on ili kusaidia mbegu kumwagwa mbali na mwanamke usinyanyuke haraka baada ya mbegu kumwagwa, lalia ubavu au lala chali kwa dakika 15 kusaidia mbegu kusafiri kuelekea kwenye tumbo la uzazi (mirija), unaweza kuweka mto chini ya kiuno

Mwanamke, wakati wa kwenda kujisafisha (kunawa) epuka kujitia vidole au kutumia sabuni au manukato sehemu za ndani ya tupu ya mwanamke

Wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume, unaposhiriki na mke siku za hatari kwa lengo la kutafuta ujauzito, epuka kujipaka madawa ya kujibust kwani huweza kubadili pH ya maji yaliyoko kwenye mlango wa kizazi cha mwanamke yanayosafirisha mbegu kuelekea kwenye kizazi na kupelekea mbegu zote zilizomwagwa kudhoofu na kuharibika

Kumbuka kupata mimba ni matokeo ya Afya njema ya Baba na Mama, jitahidi kushirikiana katika jambo hilo, MWANAUME pima afya ya mbegu zako na MWANAMKE pima homoni na fanya check up ya kizazi chako uone k**a kila kitu kiko sawa

Popote utakapokwama na ukahitaji msaada kuhusiana na mambo ya uzazi nipigie simu yangua
0673311844
Tunayo dawa nzuri ya asili" kwa wanawake wenye changamoto za uzazi
..Inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi, kuondoa majimaji, uchafu na maambukizi yote ya bakteria / fangasi (P.I.D)
.. Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, ovarian cyst)
.. Inaondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi k**a unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, hedhi kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, hedhi kutoka mabonge, hedhi kuambatana na maumivu makali (chango) na inakusaidia kupevusha mayai siku za ovulatiar)

Kwa mawasiliano zaidi;
PIGA SIMU / WhatsApp0673311844

Allah akutilie wepesi katika ndoa yako

Je? Unatafuta ujauzito  kwa njia zote imeshindikana.             Je?unamuda mrefu hujaona  siku zako za hedhi  au uliend...
01/11/2024

Je? Unatafuta ujauzito kwa njia zote imeshindikana. Je?unamuda mrefu hujaona siku zako za hedhi au ulienda spitali ukaambiwa huwezi kubeba ujauzito kwa sababu mirija yako imeziba. Pole cn. Km jibu ni. Ndio. Basi. Naomba tumia huu changanyiko. Kwa muda wa wiki mbili. Njoo na mrejesho ni wengi wamefanikiwa kupitia mchanganyiko

Mawifi kabla hajamsema mdada wa watu, mna uhakika kaka yenu amepima mbegu zake..? (s***m analysis)Wanaume nao huwa na ch...
01/11/2024

Mawifi kabla hajamsema mdada wa watu, mna uhakika kaka yenu amepima mbegu zake..? (s***m analysis)

Wanaume nao huwa na changamoto za uzazi k**a,

1. Oligos***mia
.....hii ni hali ya kupungua kwa mbegu za kiume, wengine huita low s***m count yaan mwanaume unakuwa na kiwango kidogo cha mbegu za kiume

2. As***mia.....hii ni hali ya kutokuwa na majimaji yaani(semeni) ambayo husaidia kusafirisha mbegu za kiume

3.Azoos***mia...hii ni hali ya ukosefu wa mbegu za kiume kabisa

4.Teratos***mia
hii ni hali ya kuongezeka kwa mbegu za kiume ambazo hazijakamilika yaan hazina either kichwa au mikia

5.Asthenozoos***mia.....hii ni hali ya mbegu za kiume kushindwa kujongea (kuogelea au kusafiri) kuelekea ndani ya via vya uzazi wa mwanamke ili kuweza kurutubisha yai la mwanamke, mara nyingi mwenye tatizo hili, ukimwagia ndani hapo hapo zinatoke nje ya uke

*Je unafahamu kuna tofauti kati ya UGUMBA na UTASA**UTASA*.. ni hali ya mwanamke kutoweza kushika ujauzito kabisa au mwa...
31/10/2024

*Je unafahamu kuna tofauti kati ya UGUMBA na UTASA*

*UTASA*.. ni hali ya mwanamke kutoweza kushika ujauzito kabisa au mwanaume kutoweza kusababisha ujauzito kwa mwanamke kabisaa

*MGUMBA*... yeye anao uwezo wa kupata ujauzito au mwanaume anao uwezo wa kusababisha ujauzito endapo tatizo litaondolewa....

Matatizo k**a
👉 uvimbe
👉mirija kuziba
👉maambukiz ya PID na UTI sugu
👉matatizo ya hedhi
👉matatizo ya mvurugiko wa homoni n.K

Ushauri/suluhisho la kudumu piga/sms
whatsApp 0673311844

Karafuu (cloves) zimekuwa zikitumika katika tiba za asili kwa miaka mingi kutokana na sifa zake mbalimbali za kiafya. Ha...
31/10/2024

Karafuu (cloves) zimekuwa zikitumika katika tiba za asili kwa miaka mingi kutokana na sifa zake mbalimbali za kiafya. Hapa chini ni faida kadhaa za karafuu kwa mwanamke anayesumbuliwa na changamoto za uzazi:

1. 🍭Kupunguza Maumivu ya Hedhi*
Karafuu inaweza kusaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi, ambayo yanaweza kuwa tatizo kubwa kwa wanawake wanaokabiliwa na changamoto za uzazi.

2. 🍭*Kurekebisha Mzunguko wa Hedhi**
Karafuu inaaminika kusaidia katika kurekebisha mzunguko wa hedhi, jambo ambalo linaweza kuwa muhimu kwa mwanamke anayejaribu kushika mimba.

3. 🍭*Kuimarisha Mfumo wa Homoni**
Homoni zina jukumu muhimu katika uzazi, na matumizi ya karafuu yanaweza kusaidia kuimarisha mfumo wa homoni kwa wanawake.

4. 🍭Kusaidia katika Kuzuia Maambukizi*
Karafuu ina sifa za kupambana na bakteria na viini vingine, ambazo zinaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya njia ya uzazi ambayo yanaweza kuathiri uzazi.

5. 🍭Kuimarisha Kinga ya Mwili**
Kwa ujumla, karafuu inaweza kusaidia kuimarisha kinga ya mwili, jambo ambalo ni muhimu kwa afya ya jumla na inaweza kuwa na faida kwa uzazi.

Ni muhimu kutaja kwamba, ingawa karafuu inaweza kutoa faida hizi, ni bora kutumia dawa za asili kwa tahadhari na kwa ushauri wa daktari au mtaalamu wa afya, hasa pale inapohusisha changamoto maalum za kiafya k**a matatizo ya uzazi

MKIMALIZA TENDO FANYENI HIVI👇Baada ya tendo unaweza kutamani kulala hasa kwa mida ya usiku.Kitaalamu inashauriwa baada y...
31/10/2024

MKIMALIZA TENDO FANYENI HIVI👇

Baada ya tendo unaweza kutamani kulala hasa kwa mida ya usiku.

Kitaalamu inashauriwa baada ya tendo kufanya haya mambo 12.
Yatakusaidia kuepuka UTI pamoja no magonjwa mengine k**a fangasi nk.

*A.OSHA UUME AU UKE*

Inashauria baada ya tendo kuosha uume kwa maji tiririka.

Hii inasaidia kuondoa yale majimaji na mijasho inayotokana na tendo.

Maji ya vuguvugu ndiyo yanayoshauriwa. Yasiwe maji baridi sana au ya moto sana.

*B.KOJOA*

Kukojoa ni moja ya njia zinazosaidia kuflushi nje wadudu hasa wanaosababisha UTI.

Kwa hiyo baada ya tendo hakikisha unakojoa
hata kwa kujilazimisha.

*C. KUNYWA MAJI*

Tendo la ndoa ni k**a zoezi Fulani hivi..

Kwa hiyo kuna kuchoka na kupoteza maji kwa njia ya jasho.

Inashauriwa kunywa walau glasi moja ya maji baada ya tendo ili kurudishia maji yaliyopotea wakati wa tendo.

*D.LALA*

Inashauriwa unapomaliza tendo mfano tuseme umepiga viwili au hata kimoja pata muda wa kulala ili kuupumzisha mwili baada
ya zoezi la tendo..

Katika kulala hapa k**a mko wawili kitandani inashauriwa kukumbatiana.Sio unageukia ukutani.

*E.NAWA MIKONO*

Sio baada ya tendo pekee hata kabla ya tendo inashauriwa kunawa mikono.

Kwa sababu mfano tuseme mwanaume mikono yake michafu halafu anaaza kushika shika uke...

Si unaona isivyo poa...?

Kwa hiyo kabla na baada ya tendo inashauriwa watu mnawe mikono...

*F.ACHA IPUMUE*

Kitaalamu ni kwamba baada ya tendo inashauriwa kutovaa nguo zinazobana...

Vaa nguo nyepesi na zisizo bana..

Hii inasaidia uke au uume kupumua...

*G.KAGUA CONDOMU*

K**a umetumia condom hakikisha umekagua condom k**a imechanika au imetoboka au kuna kuna chochote kisichojitokeza ,.

Address


00000

Telephone

+255673311844

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Laty na afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share