Afya suluhisho

Afya  suluhisho AFYA SULUHISHO
(1)

12/04/2026
11/04/2026

Kwanini utumie provitality kila siku 👆🏼👆🏼👆🏼 sikiliza hii then call/whatsapp +255758236115 kuorder yako

Unateseka na changamoto ya tezi dume na hormones?Hii ndio suluhisho lako litaloenda kuweka sawa mfumo wako wa uanaumeCal...
11/04/2026

Unateseka na changamoto ya tezi dume na hormones?
Hii ndio suluhisho lako litaloenda kuweka sawa mfumo wako wa uanaume

Call/whatsapp +255758236115

Unasumbuliwa na changamoto ya mfumo wa chakula? Njoo ujipatie yako leo
06/04/2026

Unasumbuliwa na changamoto ya mfumo wa chakula? Njoo ujipatie yako leo

Unajua umuhimu wa omega 3 salmon oil kwako na kwa mtoto wako? Njoo tuzungumze call/whatsapp +255758236115
06/04/2026

Unajua umuhimu wa omega 3 salmon oil kwako na kwa mtoto wako? Njoo tuzungumze call/whatsapp +255758236115

Available call/whatsapp +255758236115
06/04/2026

Available call/whatsapp +255758236115

Unapokuwa na changamoto ya kiafya au unataka kuboresha afya yako usijiulize zaidi ya mara moja juu ya ubora na uhakikaka...
06/04/2026

Unapokuwa na changamoto ya kiafya au unataka kuboresha afya yako usijiulize zaidi ya mara moja juu ya ubora na uhakikaka wa bidhaa zetu

Ni 100% organic na zinafanyakazi kwa asilimia 100

Call/whatsapp +255758236115

HII NI WASH AND WAX🔥🔥🔥📌Inatumika kuoshea body za magariFaida zake1. Usafi na Kung’arisha kwa Mpigo MmojaTofauti na sabun...
05/04/2026

HII NI WASH AND WAX🔥🔥🔥
📌Inatumika kuoshea body za magari

Faida zake

1. Usafi na Kung’arisha kwa Mpigo Mmoja
Tofauti na sabuni za kawaida, Wash ‘n’ Wax ina mchanganyiko wa sabuni na nta (wax).
Unapoioshea sabuni inaondoa uchafu na mafuta, huku nta ikibaki kwenye bodi ya gari na kuliacha likiwa linang’aa k**a limepigwa “polish.”

2. Ulinzi wa Rangi (UV Protection)
Nta inayobaki baada ya kuosha inatengeneza utando mwembamba (protective layer) unaolinda rangi ya gari isichuje kutokana na mwanga mkali wa jua au mikwaruzo midogo ya vumbi.

3. Huokoa Maji na Muda
Kwa sababu inasafisha na kupiga wax kwa pamoja, unatumia muda mchache zaidi kuhudumia gari lako. Pia, povu lake ni rahisi kusuuza, hivyo hupotezi maji mengi.

4. Kuzuia Maji na Uchafu (Water Beading)
Baada ya kutumia bidhaa hii, utagundua kuwa maji ya mvua au matone ya maji hayakai kwenye gari; badala yake yanatiririka haraka (beading effect). Hii inasaidia gari kutopata madoa ya maji yaliyokauka na kuliweka safi kwa muda mrefu zaidi.

5. Haichubui Rangi (pH Balanced)
Sabuni nyingi za unga au za miche zina kemikali kali zinazoweza kufanya rangi ya gari iwe “isiyovutia” (dull) baada ya muda. Wash ‘n’ Wax ni laini na haina kemikali zinazokula rangi ya gari (non-abrasive).

6. Matumizi ya Kiuchumi
Bidhaa hii imekolezwa (concentrated). Unahitaji kiasi kidogo sana cha maji na sabuni (k**a kifuniko kimoja au viwili kwenye ndoo ya maji) ili kupata matokeo bora, hivyo chupa moja hudumu kwa muda mrefu sana.
Kidokezo cha matumizi:

Ili upate matokeo mazuri zaidi, hakikisha unaosha gari likiwa kivulini na unatumia kitambaa laini (microfiber) kukausha baada ya kusuuza na kwenye ream za gari pulizia super 10

G1 Laundry Ni Sabuni Ya Kipekee Kabisa Ya Unga Ambayo Sifa Yake Kuu Inafua Yenyewe Haina Haja Ya Kutumia Nguvu Au Kupote...
05/04/2026

G1 Laundry Ni Sabuni Ya Kipekee Kabisa Ya Unga Ambayo Sifa Yake Kuu Inafua Yenyewe Haina Haja Ya Kutumia Nguvu Au Kupoteza Muda.

☑️ Haipaushi Nguo
☑️ Haichubui mikono
☑️ Unatumia Maji Kidogo Sana Kusuuza
☑️ Haibaki Kwenye Nguo
☑️ Inaokoa Muda Na Gharama

HII NI LDC…kazi zake;📌Unaweza kuogea📌Kuoshea vyombo📌Kufua vitambaa vya jikoni📌Inazuia sink kuganda na mafuta ukitumia ku...
05/04/2026

HII NI LDC…kazi zake;
📌Unaweza kuogea
📌Kuoshea vyombo
📌Kufua vitambaa vya jikoni
📌Inazuia sink kuganda na mafuta ukitumia kuoshea vyombo
📌Inakusaidia uwe na afya bora ya ngozi ukiogea.
📌Inatoa harufu mbaya kinywani
📌Inatumika kuoshea mikono
📌Kuoshea mboga mboga na matunda

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya suluhisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram