12/09/2022
*SOMO LA LEO*
*🌷Ijue ‼️ Fungus Ya Ukeni Na Matibabu Yake*
Fungus hutokea ukeni baada ya bacteria mzuri anae itwa lactobacillus kukosa nguvu ya kupambana na Maambukizi,
Na huyo bacteria anapatikana ukeni, hata hivyo uyo bacteria lactobacillus,
huzalisha Lactic acid ( hydrogen peroxide)
Ambayo hu ballance PH kwenye uke.
*Kinacho sababisha Fungus ukeni(Vaginal fungus)*
â›” Candida albicans,
Huyu ndiye kisababishi kikuu Cha fungus wa ukeni,
*DALILI ZA FUNGUS UKENI*
đź”´ Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
đź”´ Uke kuwashaa Sanaa
đź”´ Kutoka vipele sehem ya ukeni,
đź”´ Kutoa maji maji ukeni
đź”´ Kutoa Ute ute wenye harufu ukeni wenye rangi nyeusi au yellow,
*VITU VINAVYO PELEKEA BACTERIA LACTOBACILLUS KUSHINDWA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI*
đź’ kutumia Mara kwa mara dawa aina ya Antibiotics
đź’ msongo wa mawazo
đź’ kuto zingatia mlo kamili hasa wale wanao kula vyakula vyenye sukari Sanaa wapo hatarin,
đź’ ujauzito
đź’ kushuka kwa Kinga ya mwili,
đź’ ugonjwa wa kisukari,
đź’ kula vyakula vya sukarii,
đź’ Hormonal imbalance,
*Note*
Hakikisha una tibu tatizo Lako ikiwa Bado halijawa sugu.