20/04/2026
βπ KARIBU ELCT BUKOBA TOWN HEALTH CENTRE πβ
βAfya yako ni kipaumbele chetu! πTunatoa huduma bora za afya kwa uangalizi wa hali ya juu na wataalamu wenye uzoefu.
Tunapatikana: Bukoba mjini, NBC STREET ROAD
βπ Tupo wazi kila siku
βπ Wasiliana nasi:+255710236965 &+255764 236 965
βkwa huduma na maelezo zaidi.
β