Ijue Afya Yako.

Ijue Afya Yako. Inasaidia Wanaume Kuboresha Afya Ya Uzazi kwa Kutumia Virutubisho Bora Kabisa. Namba 0745446050

Je! Umechoka kupata FEDHEHA Kila unapokutana na mwenza wako wakati wa Tendo?Hadi imekupelekea kukosa kujiamini na kukata...
27/12/2024

Je! Umechoka kupata FEDHEHA Kila unapokutana na mwenza wako wakati wa Tendo?

Hadi imekupelekea kukosa kujiamini na kukata Tamaa kwenye Mahusiano Yako?

Je Umetumia Bidhaa na Madawa Mbali Mbali Lakini Hukupata Matokeo Uliyokuwa Unayataka? Na Umeishia kupoteza Pesa zako?

Mwanaume Hupaswi Kutumia madawa kutibu Changamoto Ya Kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo na kushindwa kurudia tena

UTAJIMALIZA NA KUKOMAZA TATIZO

Ngoja nikuondoe Wasi wasi!

Leo Tupo Tayari kurudisha Furaha Yako upya kabisa 🙌🏽

Na Hivi Ni Kwa Sababu Tumesaidia Wanaume Wengi Sana Kurudisha Uwezo Wao Kamili Haswa Waliopo Kwenye Ndoa Zao!

Tumekuandalia DARASA BURE maalum Ambalo litakusaidia kuijua vizuri changamoto yako na jinsi ya kujikinga nayo baada ya kupewa Mbinu ambazo zitakusaidia kumaliza kabisa changamoto yako

Tutakupatia Miongozo SAHIHI itakayo Kusaidia kuimarisha mfumo wako wa Uzazi Moja Kwa Moja na Kukupatia Matokeo Ya Kudumu 🔥

Darasa Letu Litakuwa Kwa Wiki Moja tu!

Nafasi ni Chache,

Ungana Nasi,tujifunze kwa Pamoja

Wasiliana Nasi 0753361238

27/12/2024

ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAZOEZI KILA SIKU. .
🏻‍🏋🏻
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwa afya yako,kuna namna mbalimbali za kufanya mazoezi, Unaweza kufanya mazoezi ya viungo fulani vya mwili wako k**a miguu,mikono, mgongo.

Lakini pia kuna mazoezi ambayo ukifanya utakuwa umefanya zoezi lilojumuisha kiungo zaidi ya kimoja mfano:-mazoezi ya kukimbia, kuruka kamba na mengineyo.

Licha ya kuwa unaweza kutumia muda kidogo kufanya mazoezi kwa takribani dakika (30-45) kwa siku iwe asubuhi au jioni lakini pia unaweza kupata faida nyingi za kiafya kwa kufanya mazoezi hayo.

Kwa kuwa kuna faida nyingi za kufanya mazoezi basi leo nimeona nikupatie hizi chache kwa manufaa na ufahamu wa afya yako.
Mazoezi hukufanya uchangamke na kuwa shupavu.

Mazoezi huboresha ufahamu wako uwezo wa kuelewa na kufikiri mambo katika mazingira yanayokuzunguka.

Mazoezi huboresha uwezo wako wa kuhifadhi kumbukumbu.

Mazoezi husaidia kupunguza msongo wa mawazo.

Mazoezi huimarisha moyo hivyo hukuepusha na maradhi mengi yatokanayo na mapigo mabaya ya moyo.

Mazoezi humfanya mtu ajiamini.

Mazoezi hupasha mwili joto hivyo husaidia kuzuia baridi.

Mazoezi husaidia kuweka sawa kiwango cha cholesterol au mafuta yaliyopo mwilini.

Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kisukari.

Mazoezi hushusha kupanda kwa shinikizo la damu. (high blood pressure).

Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata baadhi ya maradhi ya saratani.

Mazoezi humsaidia mtu kuondokana na baadhi ya matatizo ya akili.
Mazoezi huboresha hamu ya mtu kuweza kula.

Mazoezi hupunguza uzito wa ziada wa mwili na kufanya mwili wako kuwa mwepesi.

Mpendwa msomaji hizi ni baadhi ya faida za kufanya mazoezi, yote ya yote mazoezi hurefusha maisha kwa kukufanya uwe mwenye afya njema.

Ni vyema ukajiuliza, hivi ni kweli ukifanya mazoezi na kula vyakula bora kunaweza kuboresha maisha yako?

Jibu ni ndiyo mazoezi na vyakula ni dawa pekee ya kutibu au kukuepusha na magonjwa mengi yanayoweza kuzuilika.

Fanya mazoezi kuimarisha afya yako!

Call 0753361238

Zipo tabia mbalimbali ambazo zinaweza kuathiri au kupunguza nguvu za kiume, hasa ikiwa zinaendelea kwa muda mrefu. Hapa ...
27/12/2024

Zipo tabia mbalimbali ambazo zinaweza kuathiri au kupunguza nguvu za kiume, hasa ikiwa zinaendelea kwa muda mrefu. Hapa ni baadhi ya tabia hizo:

1. Lishe duni

• Kutokula vyakula vyenye virutubisho muhimu k**a vitamini na madini huchangia kushuka kwa afya ya mwili kwa ujumla, ikiwemo nguvu za kiume. Vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi, na vyakula vya haraka vinaweza kuwa na athari hasi.

2. Uvutaji wa sigara

• Nikotini kwenye sigara hupunguza mzunguko mzuri wa damu, jambo ambalo linaweza kuathiri uwezo wa kusimama kwa uume.

3. Matumizi mabaya ya pombe na dawa za kulevya

• Pombe na dawa za kulevya hupunguza uzalishaji wa homoni za kiume na kuathiri mfumo wa neva unaohusika na hamu ya tendo la ndoa.

4. Msongo wa mawazo (Stress)

• Msongo wa mawazo wa mara kwa mara hupunguza viwango vya homoni ya testosterone na pia huathiri utendaji wa mfumo wa neva, ambao ni muhimu katika nguvu za kiume.

5. Kutokufanya mazoezi

• Kutofanya mazoezi kunaweza kusababisha unene kupita kiasi, ambao unahusiana na viwango vya chini vya homoni ya testosterone na matatizo ya mzunguko wa damu.

6. Kulala kupita kiasi au kutokulala vya kutosha

• Kulala vibaya huathiri homoni za mwili, hasa testosterone, ambayo hutolewa kwa wingi wakati wa usingizi wa kutosha.

7. Matumizi ya dawa bila ushauri wa daktari

• Baadhi ya dawa, k**a zile za kutibu presha, msongo wa mawazo, au maumivu, zinaweza kuwa na madhara kwenye nguvu za kiume.

8. Kupuuza magonjwa sugu

• Magonjwa k**a kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya moyo, na matatizo ya tezi dume huathiri nguvu za kiume ikiwa hayatibiwi mapema.

9. Matumizi ya vifaa vya kielektroniki kupita kiasi

• Kutumia muda mwingi kwenye simu au kompyuta huongeza hatari ya kutopata muda wa mazoezi, kulala, au hata mahusiano ya karibu.

10. Kutozingatia afya ya akili

• Hali k**a unyogovu na hofu (anxiety) huathiri uwezo wa kiume kwa njia ya kisaikolojia.

Kwa kuboresha lishe, kufanya mazoezi, kudhibiti msongo wa mawazo, na kupata ushauri wa kitaalamu, mtu anaweza kurejesha au kuboresha hali ya afya ya nguvu za kiume.

0753361238

*MAJUTO NI MJUKUU, USIOMBE YAKUKUTE,,,,*K**a unawahi haraka kufika kileleni na unashindwa kurudia tendo kwa wakati Ndugu...
27/12/2024

*MAJUTO NI MJUKUU, USIOMBE YAKUKUTE,,,,*

K**a unawahi haraka kufika kileleni na unashindwa kurudia tendo kwa wakati Ndugu yangu, Viungo vyako vya ndani Vimeshazeeka tayari.

Inasikitisha kuona kijana wa Miaka 30 , Viungo vyake vya ndani vinasomeka K**a vina miaka 55, korodani zina miaka 70 , uume una miaka 65😭

Mbaya zaidi watu hawajijui k**a hilo ni tatizo kubwa sana. Juzi juzi tu kijana wa miaka 32 amegundulika kuwa na tatizo la TEZI DUME. Baada yabkumuhoji vizuri alisema ukweli kwamba kipindi cha nyuma ALIJICHUA PUNYETO na hakupata Dozi ya virutubisho mapema alizembea😭

Omba yasikupate aiseee inaumiza sana hii hali , wala usiombe ndugu yako limpate tatzo hili la TEZI DUME.

*Unashindwa kupata hata NUSU DOZI kweli?*

*K**A UPO HAPA NA HAUJAPATA DOZI HADI SASA HIVI POLE SANA NDUGU , HAUJUI TATIZO UNALOLIFUGA LITAITESA FAMILIA YAKO KWA KIASI GANI😭*

0745446050

Address

Mara
Bunda

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijue Afya Yako. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ijue Afya Yako.:

Share