18/08/2025
Natambua ilivyo ngumu kulea mtoto mwenye usonji/Autism, najua maumivu mzazi ambavyo unaweza kuwa unapitia Wenda unalipia gharama kubwaa Sana Kwa ajiri ya matibabu ya mtoto wako bila mafanikio miaka na miaka, najua unaweza kuwa umelishwa vitu vingi Sana kuhusu Autism kuwa haiponi na kuwa mwanao atakua hivo hivo zaidi msaidie Tu kuweza kujimudu kwenye mazingira.
Basi Leo Nina habari njema na tofauti Sana kuwa USONJI KUNAUWEZEKANO WA KUPONA AU KUISHA KABSA NA MWANAO AKAFURAHI MAISHA basi DNS NEURO-REHAB CARE Tunakuja na program ya miezi 6 Tu ambayo itabadilisha historia ya kila kitu Kwa mwanao.