15/11/2025
TOA UCHAWI WA TUMBONI TAPIKA
Iwapo unasumbuliwa na vitu vya kichawi tumboni leo nakuletea njia rahisi kabisa ya kuvitoa na ukawa salama kabisa.
Kwanza utajuaje k**a umelishwa vitu vya kichawi? Kuna dalili mbalimbali za kukutambulisha kuwa umelishwa uchawi. Iwe dawa za kukuloga au vyakula vya wachawi k**a nyama za watu, damu za watu n.k
DALILI KUU YA KWANZA
Hii ndoto watu wengi wanaota ila wanapuuzia wakidhani ni ndoto ya kawaida tu. Unaweza kuota unakula vitu vizuri au hata vibaya lakini yote maana yake ni moja tu (unalishwa vitu vya kichawi).
DALILI YA PILI
Baada ya vitu hivyo kuanza kukuathiri ni kuumwa mara kwa mara hasa maumivu ya tumbo, na hata shida katika kizazi. Maumivu ya tumbo ni dalili kubwa sana kwa mtu aliyelishwa vitu vya kichawi na kupona kwake ni mpaka utolewe vitu hivyo.
DALILI YA MWISHO ni mambo yako kukwama, kila mpango unaoupanga haufanikiwi basi jua hapo uchawi umeshakithiri katika mwili wako na umeshaota mizizi.
Sasa tuangalie tiba yake.Uchawi ulioko tumboni unatolewa kwa dawa moja tu nayo ni mzizi wa msoniti/ mkuyu.
Chukua mzizi wa Msoniti/mkuyu uupike pamoja na unga wa uwele mpaka upate uji. Hakikisha umechemka vizuri.
Chukua uji huu unywe hakika utatapika uchawi wote uliolishwa. Na hata k**a kuna vitu vya kichawi mwilini mwako utavitapika vyote.
Tahadhari: uchawi upo wa namna nyingi sana na hapa nimezungumzia uchawi wa kulishwa tu. Ukitumia dawa hii kwa uchawi wa namna nyingine haitakusaidia bali ni vema ukafahamu kujua k**a una tatizo hilo kwanza.
Mahitaji ya tiba; 0684 765 575