TIBA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA, Dar es Salaam.

13/04/2026
12/04/2026

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

Follow iyo page kwa wanaotafuta wenza wa maisha

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

💞 UNATAFUTA MWENZA WA MAISHA? 💞

Karibu kwenye page ya Pata Mwenza wa Maisha ❤️

Hapa tunalenga kusaidiana kupata upendo wa kweli, mahusiano ya heshima na hatimaye ndoa yenye furaha 💍✨

👉 K**a uko single na unatafuta mke/mume

👉 Au unataka mahusiano ya serious

👇 Andika hapa chini:
“NAITAFUTA MAPENZI YA KWELI” 💌

Usione aibu, upendo wa kweli unaanzia hapa ❤️🤝

Link juu apo

Karibu kwenye page yetu pendwa ❤️ Pata Mwenza wa Maisha 🥰

Hapa tunawaunganisha watu wanaotafuta wake na waume wa kweli �

Post tangazo lako la mapenzi, pata chaguo sahihi la moyo wako �

� Follow sasa upate mwenza wako wa ndoto

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/Follow iyo page kwa wanaotafuta wenza wa maisha https://www.facebook.com/share...
12/04/2026

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

Follow iyo page kwa wanaotafuta wenza wa maisha

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

💞 UNATAFUTA MWENZA WA MAISHA? 💞

Karibu kwenye page ya Pata Mwenza wa Maisha ❤️

Hapa tunalenga kusaidiana kupata upendo wa kweli, mahusiano ya heshima na hatimaye ndoa yenye furaha 💍✨

👉 K**a uko single na unatafuta mke/mume

👉 Au unataka mahusiano ya serious

👇 Andika hapa chini:
“NAITAFUTA MAPENZI YA KWELI” 💌

Usione aibu, upendo wa kweli unaanzia hapa ❤️🤝

Link juu apo

🌿 USIKATE TAMAA… MWILI WAKO UNAWEZA KUJITIBU! 🌿Watu wengi wanateseka kimya kimya…Maumivu ya tumbo, uchovu usioeleweka, p...
08/04/2026

🌿 USIKATE TAMAA… MWILI WAKO UNAWEZA KUJITIBU! 🌿

Watu wengi wanateseka kimya kimya…
Maumivu ya tumbo, uchovu usioeleweka, presha, sukari, au matatizo ya uzazi… 😔
Wanazunguka hospitali hadi wanachoka…
Wanatumia dawa bila kuona mabadiliko ya kudumu

Ukweli ni huu:
Mwili wako haukuumbwa uwe dhaifu.

Umeumbwa kujiponya… ukipewa kile sahihi!

🌱 Asili imebeba siri kubwa sana…
Mimea k**a:
✔️ Mlonge
✔️ Tangawizi
✔️ Kitunguu swaumu
✔️ Majani ya mpera

Hivi si vitu vya kawaida tu…
Ni NGUVU YA TIBA ASILIA ambayo wengi bado hawajaielewa 💯

✨ Anza kubadilisha maisha yako leo:

✔️ Chagua lishe sahihi
✔️ Epuka vyakula vya sumu (junk foods)
✔️ Tumia tiba asili kwa uelewa

🚨 USISUBIRI UGONJWA UWE MKUBWA NDIO UANZE KUJALI AFYA YAKO!

❤️ Follow page ya TIBA kwa elimu zaidi ya afya itakayobadilisha maisha yako kila siku!

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Deodictor Juma Panja, Mauwa Kessy, Shollah Leonard, Jacks...
08/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Deodictor Juma Panja, Mauwa Kessy, Shollah Leonard, Jackson Juma, Belesit Birhanuviv

🌸 Unataka kuwa mama? 🌸Jaribu njia asili za kuimarisha mwili wako kwa ujauzito:🍃 Majani ya Mpera – Husaidia uke wako kuwa...
07/04/2026

🌸 Unataka kuwa mama? 🌸
Jaribu njia asili za kuimarisha mwili wako kwa ujauzito:

🍃 Majani ya Mpera – Husaidia uke wako kuwa tayari.

🌿 Mlonge / Moringa – Hupanua nguvu za mwili na damu bora.

🍯 Asali + Tangawizi – Husaidia mwili kuwa safi na wenye afya.

🥭 Papai jekundu – Inarahisisha mzunguko wa hedhi na kuandaa ujauzito.

💧 Kunywa maji ya kutosha

🧘‍♀️ Fanya mazoezi mepesi

❤️ Angalia afya yako mara kwa mara

Tabia ndogo, matokeo makubwa! 💚

Tumia kila siku kwa ustadi na subira, mwili wako utajitayarisha kupokea baraka ya mimba. 🤰✨

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255753676996

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to TIBA:

Share