
07/02/2023
Miongoni mwa sababu za changamoto Ya maumivu makali ya viungo na mifupa ni k**a
-AJALI
-UMRI
-UZITO ULIO PINDUKIA
-KAZI NGUMU
-KUFANYA KAZI ZA KUINAMA MUDA MWINGI /KUKAA
HUPELEKEA MAUMIVU MAKALI YA VIUNGO
-MAGOTI
-KIUNO
-UTI WA MGONGO
Ila maumivu kwenye maungio/mifupa hutokana na MSUGUANO Kati Ya mifupa na mifupa au maungio ambapo MSUGUANO huu hutokana na Upungufu wa UTEUTE & kulika kwa GEGEDU/CARTILAGES kutokana na sababu tajwa apo juu !
Madhara ya changamoto Ya maumivu makali ya viungo na mifupa
-KULIKA KWA MAUNGIO /MIFUPA
-KUWEKEWA VYUMA
-KUFANYIWA UPASUAJI WA MATOBO
-KUSHINDWA KUTEMBEA KUTOKANA NA MAUMIVU MAKALI SANA
TUNAYO SULU YA BILA KUFANYIWA UPASUAJI
wasiliana nasi kupitia +255 67 269 4934
Pia tunatoa ELIMU BURE kupitia GROUP la WHATSAPP kujiunga gusa link hii
👇🏿
https://chat.whatsapp.com/HTdPIDPfzrn7QISPWh6voO