10/10/2021
FAHAMU TATIZO LA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA KUTOKUPATA CHOO KUBWA
📞0747201945
ATHARI YA TATZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION)
~KANSA YA UTUMBO.
~BAWASIRI (VINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA).
~TUMBO KUJAA GESI,
~VIDONDA VYA TUMBO NA (ULCERS)
~KUPATA UGONJWA WA INI
Kati ya changamoto ya kiafya niliyokua nayo,ni kutopata choo na kupata choo kigumu k**a cha mbuzi,na nilidhani ni kawaida kutopata choo kwa muda wa siku 3 hadi week,kumbe ni tatizo kubwa linaloweza kusababisha magonjwa k**a Kansa ya utumbo,kuota kinyama sehemu ya haja kubwa(Hemorrhoids),vidonda vya tumbo(ulcers) na kutoa harufu mbaya na kali unapopumua(kujamba).
Lakini baada ya kupata taarifa sahihi kuhusu chanzo cha tatizo,na kupata msaada wa suruhisho,namshukuru Mungu sasa hivi niko vizuri.
WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba.
BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika k**a piles.
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30-50
• AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
(B)BAWASIRI YA NJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo
• CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
° KUSHIRIKI TENDO KINYUME NA MAUMBILE.
°KUHARISHA KWA MUDA MREFU
°TATIZO LA KUTOPATA CHOO.
°MATATIZO YA UMRI.
°KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
°UZITO KUPITA KIASI.
°MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU.
°VYAKULA VYENYE MAFUTA KWA WINGI.
°VINYWAJI VIKARI K**A POMBE,KAHAWA.
°KUTOKULA VYAKULA VYA NYUZI NYUZI.
° KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA.
°VYAKULA VYA NGANO,WANGA NA VILIVYOKOBOLEWA.
°VAKULA VYENYE MAFUTA KWA WINGI.
• DALILI ZA KUTOPATA CHOO NA BAWASIRI.
√ Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa.
√ kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.
√ kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa.
√kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo.
√Kupata choo chenye damu
√ Kuhisi moto wakati wa kujisaidia.
√ Kutopata choo kwa siku 2 na kuendelea.
√ Tumbo kujaa gesi na kujisaidia hewa.
√ Kuhisi maumivu ukikaa.
√ Tumbo kuunguruma.
√ Kujamba kila wakati.
√ Kukosa hamu ya kula.
•MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI NA KUTOKUPATA CHOO.
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula,k**a kula matunda,mboga za majani,maji kwa wingi, hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia.
•MADHARA YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO NA BAWASIRI.
-kupata upungufu wa damu (anemia)
-Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo.
-Kukosa /kupungukiwa uwezo wa kushiriki tendo
-kuathirika kisaikolojia
- kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali.
- Kitambi na uzito uliopindukia.
- Kansa ya Utumbo.
NI VYEMA KUWAHI KUPATA TIBA MAPEMA KABLA TATZO HALIJALETA MADHARA MAKUBWA YA KIAFYA
KWA MSAADA WA HARAKA ZAIDI
PIGA/SMS
0747201945
WHATSAPP BONYEZA LINK
https://wa.me/message/2UM6EK6VEFKWH1
TUNAPATIKANA DAR,MOROGORO,MBEYA,MWANZA,ARUSHA,MOSHI ,SINGIDA,BUKOBA,GEITA & MANYARA,
KWA UAMINIFU MKUBWA SANA MIKOANI TUNA TUMA