Eternal International ClinicTanzania

Eternal International ClinicTanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eternal International ClinicTanzania, Medical and health, shaurimoyo Street, Dar es Salaam.

Karibu sana kupata huduma kwenye Taasisi ya Afya ya Eternal International ClinicTanzania


Huduma zitolewazo;

1.Kupima Afya mwili mzima 30,000tsh
2.Ushauri nasaha kutoka kwa wataalam wetu bure
3.Kuijua kiundani Taasisi yetu
4.Kusikiliza fursa za biashara

27/06/2025

Karibu Eternal International Clinic upate vipimo mwili mzima kwa Tsh 30,000 tu,ushauri ni bure na kumuona Dr ni bure.

Tupigie 0717500700

14/02/2025

Post a review to our profile on Google

04/01/2025

Post a review to our profile on Google

19/10/2024

SABABU KWANINI WATU WANAFELI KWENYE BIASHARA YA MTANDAO👇👇

(1) HAWAIPI UZITO BIASHARA: Kwanza unatakiwa uipe uzito
biashara ,halafu ndio utafanikiwa (biashara zote ni nzuri K**a utasimamia vyema )

(2)MASHAKA (DOUBTS): Mashaka ni muuaji mkubwa wa biashara kwa sababu K**a ukitilia shaka kitu chochote imani yako itapotea

Kaaa mbali na watu wanaoiba ndoto za watu ( usiingie ubishi na watu wenye mawazo hasi)

(3) HAWAWEKEZI MUDA WAO KUFUNDISHWA NAMNA YA KUELEWA BIASHARA VIZURI:

*Tumia muda wako kujifunza kuhusu biashara ,kampuni na mpango wa biashara

*Jinsi unavyojua Zaid,ndivyo utakavyoweza zaidi kuwasilisha biashara na ndivyo utakavyoweza kujiamini zaidi

*Kuwapa mafunzo viongozi wako ndio nguzo ya kudumisha mtandao wako.hiyo ina maana kwamba huwezi kuwafundisha K**a huna ujuzi wa kutosha kifunze Kwanza

(4)HAWANA DIRA

*Watu wote waliofanikiwa wana dira
*Huwezi kujenga biasharra K**a huna dira
*Kanuni ya Kwanza ya vita ni kuweka mkazo katika nguvu yako.

(5)HAWAJUI NAMNA YA KUWASILISHA BIASHARA

*K**a ujui namna ya kuwasilisha biashara vyema na kumudu kupingwa ,watu hawatokuchukulia kwa umakini zaidi

*K**a ukijua namna ya kuwasilisha,unaweza kusambaza biashara mahali popote.

(6)HAWAANGALII MBALI

* Watu wanaoshindwa wanaiona leo tuu

*Hali yako ya kiuchumi ya baadae itategemea na kile utakachofanya au ambacho hutofanya katika miezi kadhaaaijayo

(7)WATU WANAOFELI HAWANA MAONO

*Mafanikio yeyote huanza na maono,Bila maono,watu hutoweka

*Maono huwasaidia watu kuendelea.huwapa watu motisha

*Kutoka kwenye maono huja malengo.halafu kutambua nini na lengo??

*Usilichukulie Jambo kiwepesi.uliza mara kwa mara .je Nina maono?Nina malengo gani ninayotaka kutimiza.

20/08/2024

Peace Love & Wealth

Kauli mbiu hii ni moja kati ya nguzo muhimu tunajivunia kwenye Taasisi yetu, Karibu upate mafunzo ya ujasiriamali dhidi ya afya na kipato.

Tupigie 0717500700/0762500700/0735500700

17/07/2024

Tunawakaribisha wagonjwa kuja kupima afya zao ili wapate matibabu sahihi,usikae nyumbani na maradhi hayo.Afya ni mtaji muhimu.

13/07/2024

Eternal International ClinicTanzania

TUPO KWA AJILI YAKO KUKUHUDUMIA

08/07/2024

Fursa ya biashara,

Eternal International Clinic Tanzania,tunatoa fursa za kazi kwa lengo la kuinua uchumi wa kila Mtanzania,changamkia fursa hii kwa kupiga simu 0717500700/0762500700/0735500700

Karibu sana

Tomorrow
17/06/2024

Tomorrow

Ipo ofisini wahi sasa,ongeza kinga ya mwili
15/06/2024

Ipo ofisini wahi sasa,ongeza kinga ya mwili

Sabauni zipo za kutosha simu ziite0717500700
13/06/2024

Sabauni zipo za kutosha simu ziite

0717500700

Address

Shaurimoyo Street
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255717500700

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eternal International ClinicTanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Eternal International ClinicTanzania:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram