
05/10/2022
USAFISHAJI WA INI
Ini huwa linaendelea kusafisha mwili wako bila kuchoka,ila usipokuwa na mazoea ya kusafisha ini alako basi nalo hushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi.
DALILI ZINAZOASHIRIA KUWA UNAHITAJI SAFISHA
INI LAKO
1.Kujaa kwa tumbo
2 Maumivu sehemu ya ini.
3.Kitambi 4.Acid reflux/kiungulia
5.Uzito tokubwa (na ni vigumu kupungua)
6.Chunusingozi inayowasha na kavu
7.Kula kupita kiasi, na kutokwa kwa jasho kusiko
kawaida
8 Madoa meusi katika ngozi yasioisha.
9.Kama umeondolewa nyongo
10.Ugumu katika kumeng'enya mafuta
Lini mara ya mwisho kufanya detox program?Unajua mwili wako unahitaji kufanyiwa detox k**a ambavyo gari linafanyiwa service ili kuongeza ufanisi wa viungo vya mwili!?
faida za Detoxilive
*Kuimarisha Kinga na afya ya mwili.
*Kuondoa uchovu na Hali ya kuumwa kichwa mara
kwa mara.
*Huondoa sumu katika ini na kulifanya lifanye kazi
vizuri.
*Hupunguza cholesterol hivyo kuwa msaada sana kw wagonjwa wa kisukari na magonjwa ya moyo Hushusha sukari kwa mgonjwa wa kisukari
*Hushusha pressure kwa mgonjwa wa moyo mwenye shinikizo la juu la damu
*Husaidia kupata choo laini
*Huondoa gas na Hali ya kuvimbiwa
*Husaidia kupunguza Uric Acid mwilini (ni msaada Sana mwenye gout)
*Husaidia mtu kupata usingizi mzuri.
https://chat.whatsapp.com/BkYiwRFfgav0pzRmypRI5v
Dr Hidaya 0717413285
Medical & health