11/10/2025
🌿SAFISHA FIGO ZAKO SASA KUEPUKA GHARAMA ZA DIALYSIS 🌿
❗UNAELEWA NINI KUHUSU DIALYSIS⁉️
✍️Dialysis ni huduma ya kuchuja, kusafisha damu na kuondoa uchafu mwilini . Ni huduma ghali sana Tanganyika. Dialysis hufanywa baada ya figo kuharibika.
👉Katika ardhi ya Tanganyika, gharama za kufanya dialysis kwa siku moja ni TZS 300,000 na mgonjwa anatakiwa kufanya dialysis mara tatu ndani ya wiki moja.
👉Mgonjwa atafanya dialysis mara 12 kwa mwezi na atafanya mara 144 kwa mwaka. Huduma hii ya kufanya dialysis ni bure ukiwa katika ardhi ya Zanzibar.
👉Mgonjwa wa figo akitaka kufanya huduma ya dialysis katika hospitali za Tanganyika kwa mwaka mzima atalazimika kutumia kiasi cha TZS 43.2 milioni?
😭Gharama za huduma ya kuchuja na kusafisha damu (Dialysis) zinaanzia TZS 200,000 hadi TZS 300,000 kulingana na eneo mgonjwa analopata huduma zake.
🥲Hospitali ya Taifa ya Muhimbili - Mloganzila, idadi ya wagonjwa wanaofanyiwa huduma za kuchuja na kusafisha damu imeongezeka kwa ongezeko la 72%
😤Kutoka wagonjwa 91 kwa kipindi cha Januari hadi Machi mwaka 2022 na kufikia wagonjwa 157 kwa kipindi k**a hicho mwaka 2023 sawa na 72%
❗Mkurugenzi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi anasema kwa siku hospitali ya Taifa Muhimbili huchuja damu wagonjwa 130 hadi 150.
⚠️Hesabu hii ni sawa na taarifa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wagonjwa 1,822 walihudhuria huduma ya (dialysis) kwa kipindi cha January-Machi 2022
✍️Kwamba, idadi ya wagonjwa waliohudhuria huduma ya kusafisha na kuchuja damu (dialysis) katika kipindi hicho cha mwaka 2023 ilifika wagonjwa 2,106
🩸Mantiki; wagonjwa 157 kwa mwezi ni wagonjwa 4,710. Kwa mwaka wagonjwa 56,520 ambao wanafanya dialysis katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
✍️Tuendelee mbele na somo
👉Wakati wa kufanya dialysis, damu hutolewa mwilini kupitia bomba jekundu (angalia kwenye picha hapo chini) ,
🩸Hupitishwa kwenye machine ya dialysis, husafishwa uchafu wote wa shuhuli za mwili nakisha kuingizwa tena ndani ya mwili kupitia bomba la blue (Tazama tena kwenye picha hapo chini) .
🩸Utaratibu huu hurudiwa kwa masaa 4 wakati mgonjwa akiwa ametulia kitandani.
🩸Utaratibu huo unafanywa mara 3 kwa wiki, nisawa na mara 12 kwa mwezi.
🩸Na Kila wakati inachukuwa masaa 4, ambayo ni sawa na masaa 48 kwa mwezi.
🩸Kwa wale ambao hawajaathirika, mchakato huu wa kusafisha damu unafanywa na figo moja kwa moja, mara 36 kila siku.
💯Ndani ya mwili wako bila jitihada au usumbufu wowote hata wakati unaendelea na shughuli zako.
❗NB: Mshukuru mungu kwa afya njema, Na uzitunze vizuri figo zako.
𝐃𝐈𝐀𝐋𝐘𝐒𝐈𝐒,
→ Ni tiba inayotumika kusaidia mwili kuondoa uchafu, sumu, na maji ya ziada wakati figo hazifanyi kazi zake ipasavyo.
→ Figo zinapopoteza uwezo wake wa kuchuja damu na kuondoa taka, mwili huanza kujikusanya sumu ambayo inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya, ikiwemo kifo.
Dialysis inasaidia kuchukua nafasi ya kazi hii muhimu ya figo. Kuna aina mbili kuu za dialysis, Hemodialysis na Peritoneal Dialysis,
Hemodialysis
→ Katika hemodialysis, damu inatolewa mwilini kupitia kifaa maalum kinachoitwa dialyzer (mashine ya dialysis). Mashine hii inachuja uchafu, maji ya ziada, na sumu kutoka kwenye damu. Baada ya hapo, damu inarudishwa mwilini.
→ Kikawaida hufanyika kwenye kituo cha afya au hospitali, ingawa baadhi ya wagonjwa wanaweza kufanya nyumbani baada ya mafunzo maalum.
→ Kwa Mara Moja hemodialysis huchukua kati ya masaa 3 hadi 5, na wagonjwa huhitaji matibabu haya mara 3 kwa wiki.
𝐍𝐀𝐌𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐄𝐏𝐔𝐊𝐀 𝐃𝐈𝐀𝐋𝐘𝐒𝐈𝐒
Kuepuka uhitaji wa dialysis kunahitaji matunzo ya afya ya figo kupitia njia mbalimbali za kuzuia au kudhibiti matatizo ya figo. Zifuatazo ni baadhi ya hatua ambazo unaweza kuchukua ili kulinda figo zako:
1. Kudhibiti Shinikizo la Damu (Presha):
- Shinikizo la juu la damu ni moja ya sababu kuu za ugonjwa wa figo. Ni muhimu kupima shinikizo la damu mara kwa mara na kuchukua hatua za kulidhibiti. Hii inaweza kuhusisha kutumia dawa ulizoandikiwa, kufanya mazoezi, kupunguza matumizi ya chumvi, na kuepuka msongo wa mawazo.
2. Kudhibiti Kisukari:
- Kisukari ni sababu nyingine kuu inayosababisha ugonjwa wa figo. Kudhibiti kiwango cha sukari mwilini kupitia lishe sahihi, mazoezi, na dawa k**a inavyoagizwa na daktari kunaweza kusaidia kuepuka madhara ya figo.
3. Kula Lishe Bora:
- Lishe yenye uwiano mzuri ni muhimu kwa afya ya figo. Epuka vyakula vyenye chumvi nyingi, mafuta mengi, na sukari. Badala yake, zingatia kula matunda, mboga, nafaka, na protini zisizo na mafuta. Pia, ni muhimu kuepuka ulaji wa protini nyingi kwa wale walio na ugonjwa wa figo ili kupunguza mzigo kwenye figo.
4. Kunywa Maji ya Kutosha:
- Kunywa maji ya kutosha inasaidia figo kufanya kazi yake ya kuchuja damu na kuondoa taka. Inashauriwa kunywa glasi 8 hadi 10 (Angalau Lita 2) za maji kila siku, lakini kiwango hiki kinaweza kubadilika kulingana na mahitaji ya mwili.
❤️NAMNA YA KUSAFISHA FIGO ZAKO ILI KUEPUKA GHARAMA ZA DIALYSIS ❤️
✅(NUNUA AU KATAFUTE MAJANI YA NYANYA NTOLE AU NGOGWE AU NYANYA CHUNGU )✅
ANGALIA JINSI YA KUITUMIA NA KUIANDAA DAWA HII.:
1. Katakata majani majani upate vipande vipande.
2. Safisha majani hayo kwa maji safi .
3. Weka kwenye sufuria safi yenye maji safi(au chungu kisafi)
4. Chemsha kwa dakika 15-20
5. Ruhusu ipoe na kisha chukua kikombe au glasi moja kunywa . Tumia dawa hii mara mbili auntatu kwa siku.
6. Baadabl ya hapo hifadhi dawa yako (iliyobaki) ,hifadhi kwenye chupa safi au chombo kisafi maana utaitumia asubuhimchana na jioni au asubuhina jioni kulingana na muda wako.Mchanaau jioni ukitaka kutumia utapasha kidogo na kunywa.
7. Endelea na tiba hii kwa siku 14 hadi 21 (lakini ndani ya siku 7 hadi 14 utaona mabadiriko makubwa)
❗Unapokojoa angalia mkojo wako. Utagundua chumvi mwilini na magonjwa mengine ambayo yanaweza kuathiri FIGO yako yatapita kwenye mkojo wako.