07/10/2023
Sababu Zinazo Pelekea Shahawa Nyepesi Na Idadi Ndogo Ya Manii "Low perm count".
》Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen.
》Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa (Azoospermia), Matatizo haya yata pelekea kushindwa kumpa mwanamke mimba.
1. Homoni kuvurugika (Hormono imbalance)
》Tatzo hili limekuwa gumzo kwa wanaume wengi kutokana na mitindo ya maisha, Homoni za Testosterone zikipungua kwa mwanaume mbegu zitakua dhaifu.
2. Upungufu wa madini ya zinc kwa kiwango kikubwa mwilini,
》Madini ya zinc kwa mwanaume nimuhimu sana, Mwanaume mwenye madini ya zinc ya kutosha huwa na mbegu nyingi na imara.
3. Kumwaga mbegu mara kwa mara, "KUJICHUA".
》Kumwaga sana mbegu nisababu ya mbegu zako kukosa ubora na hivyo kutoa mbegu chache, Nyepesi na dhaifu,
》Kujichua ni sababu moja wapo inayo kufanya umwage mbegu sana, Naitapelekea mbegu zako kuwa Nyepesi na zisizo vutia.
4. Matatizo ya tezi dume na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwama vile (Kisonono na kaswende) Nimoja ya sababu zinazo pelekea Matatizo ya mbegu dhaifu.
NB: Zingatia vyakula vyenye kiasi kikuwa cha madini ya zingu kuongeza uwingi wa homoni ya Testosteroni, Nakuboresha production ya Mbegu zenye afya njema.
Nimuhimu kufanya vipimo vya Homoni level na kiwango cha S***m cells Kila baada ya miezi 6, walau mara 2 kwa mwaka. ZINGATIA 🍆💦
Tembelea page zetu KWA ajili ya kupata elimu zaidi 🙏
+255 669589167