john_healthcaretz

  • Home
  • john_healthcaretz

john_healthcaretz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from john_healthcaretz, Medical and health, .

*NINI MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO.* Vidonda vya tumbo ni majeraha yanayojitokeza kwenye tumbo ama utumbo.Vidonda vya tumb...
23/06/2023

*NINI MAANA YA VIDONDA VYA TUMBO.*
Vidonda vya tumbo ni majeraha yanayojitokeza kwenye tumbo ama utumbo.

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

📍Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)

📍Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu (NSAIDs) k**a asprin, Advil, Celecoxib, meloxicam,Naproxen na zingine

📍Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi

📍Kunywa pombe na vinywaji vikali

📍Uvutaji wa sigara

📍Kuto kula mlo kwa mpangilio

*DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*

_Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza_ baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na anaendelea kukuza tatizo. *Vidonda vya tumbo vinadalili k**a;-*
📍Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada au kabla ya kula.

📍Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo.
📍Tumbo kujaa gesi.
📍Kupata maumivu ya chembe ya moyo.
📍Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu.

📍Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu.

📍Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito.

*JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO*

📍Kunywa maji mengi

📍Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo

📍Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)

📍Usivute sigara

📍Punguza au acha kunywa pombe

📍Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

📍Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 8
MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO.
🪫Kuvurugika kwa tumbo.
🪫Saratani ya utumbo au tumbo.
🪫Anaemia
🪫Kukosa hamu ya kula.
🪫Kuvujia damu ndani kwa ndani ( internal blood bleeding )
🪫Upungufu wa nguvu za kiume kwa sehemu.

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na muda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa.

*TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO*

Tuna Bidhaa za kutibu Vidonda vya tumbo ambazo ni za asili zisizo na kemikali,
ambazo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Bidhaa hizo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia baada ya wiki moja tu mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya
Wasiliana nami
wa.me//+255755294850
🙌🏻🙌🏻🙌🏻

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE http/wa.me/+255755294850Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali...
21/05/2023

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE
http/wa.me/+255755294850
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo K**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

📌Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
📌Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
📌Kutokufanya mazoezi.
📌Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
📌Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
📌Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
📌Msongo wa mawazo (Stress).
📌Magonjwa ya zinaa.
📌Umri mkubwa.
📌Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
📌Historia ya Familia (Kurithi).
📌Mazingira (Ethnicity).

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

📍 Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
📍 Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
📍 Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
📍 Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
📍 Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
📍 Homa
📍 Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

✏ Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
✏ Miguu kuwa dhaifu
✏ Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
✏ Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
✏ Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
✏ Tumbo kuja gesi mara kwa mara

MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
🔖 Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
🔖 Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
🔖 Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
🔖 Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
🔖 Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
🔖 Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
🔖 Kifo

Epuka madhara yasababishwayo na tezi dume kwa kutumia Vitolizer for men maalum kwa matatizo ya tezi dume bila operation... Tumia K**a tiba au kinga, Hii ni ya uhakika kabisa bora kwa afya yako!

18/03/2023

Je wewe ni mwanamke/mwanaume na umekuwa ukisumbiliwa na magonjwa UTI,Fungus, miwasho sehem za siri, pid sugu kwa wanawake, nguvu za kiume kwa wanaume pamoja na magonjwa uzazi???

Leo tupo tayari kutatua changamoto zako na kuleta furaha iliyokwisha toweka kutokana na tabu za matatizo ayo

Je upo tayari kuondokana na changamoto hizo??

kwa mawasiliano zaidi
Follow page yetu ya instagram au tupigie kawaida au whatsapp kupitia namba +255 755 294 850 tuweze kukusadia na kukushauri juu ya kuimalisha afya yako.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when john_healthcaretz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram