08/11/2024
*JE, HUWA UNAUMWA CHOCHOTE KABLA HUJAINGIA SIKU ZAKO (HEDHI)?.*
K**a jibu ni *NDIYO* basi kuna kitu hakiko sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo na wengi huwasumbua hivo kutokuamini k**a inawezekana kuingia period bila taarifa.
*JIFUNZE KITU HAPA*๐
Period siyo ugonjwa kila mwanamke lazima aingie period awe amejiandaa au hajajiandaa.
Kwa kuwa siyo ugonjwa hautakiwi kupata dalili yoyote, kuumwa popote kuwa umekaribia au upo period. Kitu pekee cha kujua ni mzunguko wako tu kuwa tarehe fulani nitaingia hedhi lakini siyo viashiria vingine kwenye mwili.
Siyo kiuno, siyo tumbo, siyo kichwa, siyo chunusi, siyo maziwa kujaa au kuuma.
Haitakiwi.โ
Ni ugonjwa pekee ndiyo una dalili lakini period siyo ugonjwa.
Ukiona umepata dalili kuwa umekaribia period na ukaingia ujue kuna kitu hakipo sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo.
Watu hawaamini k**a unaweza kuingia period bila kuumwa chochote lakini baada ya kutumia juisi wameamini.
*Mfano:*๐
Ukiumwa tumbo, kiuno, nyonga, ukikaribia au ukiwa period *hilo ni chango la Uzazi.* juisi ya bamia na chai ya mchaichai inakuhusu.
Ukiona maziwa yamejaa, yanatoa maji maji, yanauma au yanatoa maziwa kabisa ukikaribia au ukiwa period hiyo ni mvurugiko wa homoni. Tena ni prolactin homoni ipo juu ndiyo maana inafanya maziwa yaume, wengine kujaa, wengine kutoa maji maji na baadhi kutoa maziwa maziwa kabisa ilihali siyo WAJAWAZITO wala hawanyonyeshi hasa wanapokaribia au wawapo period.
Kwa ufupi *period siyo ugonjwa hivyo hutakiwi kupata dalili yoyote au maumivu yoyote kuwa umekaribia kuingia period au upo period.*๐
NINI KIFANYIKE?.
1. Tibu chango la uzazi kwa kutumia juisi ya bamia na chai ya mchaichai. Vile vile juisi ya bamia husaidia homoni kuwa sawa ikiwemo kutokupata chunusi kabla au kipindi cha period.
2. K**a umeingia period maumivu ni makali tumia hii k**a huduma ya kwanza; (Tengeneza chai ya mchaichai mwingi, maji kikombe kimoja, ukichemka chuja weka kwenye kikombe kisha kamulia limao moja zima. Weka asali vijiko viwili unywe 1x3 kwa siku 3 mfululizo).
Kwa mwenye vidonda vya tumbo asiweke limao bali atumie mchaichai pekee na asali.
3. K**a maumivu ya hedhi yako yanasababishwa na uvimbe kwenye kizazi au kwenye mayai hakikisha unajitibu huo uvimbe kwani ndiyo chanzo cha tatizo.
4. UTI, FANGASI na P.I.D ni vyanzo vikubwa vya maumivu ya tumbo, nyonga na hata kiuno kipindi cha hedhi hivo jitibu chanzo.
Je, umejifunza kipi leo kwenye makala hii?.
* HERBAL CLINIC.*