Afya kwaza jamii

Afya kwaza jamii Afya yako ni kipaumbele! 🚀 Bidhaa zetu za uzazi kwa wanaume zinasaidia kuongeza nguvu na afya bora. 🏋️‍♂️ Chukua hatua leo kwa maisha bora kesho.

kwa maelezo zaidi! đź“© +255769646363

"

31/05/2025

Jipatie bidhaa Bora kwa afya yako

*Tren en en*Imetengeneza kwa aina 3 za mafuta ya viini vya nafaka kamili ambazo ni *Soya,Ngano na Mchele*Based in nature...
24/05/2025

*Tren en en*
Imetengeneza kwa aina 3 za mafuta ya viini vya nafaka kamili ambazo ni *Soya,Ngano na Mchele*
Based in nature but packed by science
KAZI ZA TRE EN EN
Hii bidhaa kila mtu anaihitaji kwa ajili ya uhai na afya njema
📌Hulainisha ukuta wa chembe chembe hai (cell membrane)ili iweze kupitisha mwilini virutubisho na uchafu kutoka kwa muda muafaka
📌Husaidia kubalance hormones kwa mwanamke ikituka na ferminine herbal
📌Husaidia kupata choo kwa muda muafaka na cha starehe kwa wenye tatizo la (Constipation)

📌Husaidia Kurenew cell zilizo kufa kumbuka mtu mzima cell zinakuwa renewed kila baada ya wiki 2 mtoto ni wiki 1 tu
📌Husaidia Kuondoa uchovu sugu
📌Huondoa maumivu ya kichwa (meza 6x1)
📌Husaidia kuupa mwili nguvu na stamina
📌Husaidia kuondoa magonjwa sugu i mean ile hali ya kunywa dawa halafu tatizo linajirudia rudia
📌Tre en en Husaidia hatua 6 za mmeng'enyo wa chakula (stage 6 of digestive system )
Ambazo ni
👉🏻 _Diet, Digestion, Absolution, Circulation ,Assimilation & Elimination_
Chakula hua kinapitia

Provitality ni bidhaa ya lishe kutoka kampuni ya NeoLife, inayojulikana kwa kusaidia afya kwa ujumla kupitia mchanganyik...
22/03/2025

Provitality ni bidhaa ya lishe kutoka kampuni ya NeoLife, inayojulikana kwa kusaidia afya kwa ujumla kupitia mchanganyiko wa virutubisho vya asili. Bidhaa hii inajumuisha virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kwa njia mbalimbali, k**a vile:

*Yaliyomo Kwenye Provitality*

1. Tre-en-en Grain Concentrates – Husaidia afya ya seli na kuongeza nguvu mwilini.

2. Omega-3 Salmon Oil Plus – Husaidia afya ya moyo, ubongo, na viungo.

3. Carotenoid Complex – Ina vioksidishaji (antioxidants) vinavyosaidia kinga ya mwili.

4. Essential Vitamin & Mineral Complex – Hutoa vitamini na madini muhimu kwa mwili.

*Faida za Provitality*

âś… Husaidia kuimarisha kinga ya mwili
âś… Huongeza nguvu na kupunguza uchovu
âś… Husaidia afya ya moyo na mishipa ya damu
âś… Huimarisha afya ya ubongo na macho
✅ Husaidia usagaji wa chakula na afya ya mfumo wa mmeng’enyo

Ni bidhaa inayopendekezwa kwa watu wa rika zote wanaotaka kuboresha afya yao kwa kutumia lishe bora.

Je, ungependa kujua bei au jinsi ya kuipata?

Usipige PUNYETOUsipige PUNYETOUsipige PUNYETOUsipige PUNYETOUsipige PUNYETOUsijichueUsijichueUsijichueUsipige PUNYETOUsi...
18/03/2025

Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usijichue
Usijichue
Usijichue
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO
Usipige PUNYETO

Wewe ni Imara, Usikubali Hisia Zako Zikutawale Kuliko Akili yako,

Kupiga PUNYETO Ni Uvulana , Si Uanaume!

Tafuta Mbadala wa Kufanya Ubongo đź§  wako Ushughulike Kuliko Kuwaza na Kufikiria Kuhusu PUNYETO,

Madhara yake Ni Makubwa, USIPIGE PUNYETO!

Mwili Unahitaji Vyakula Kuliko Dawa, Na ili Usitumie dawa Unahitaji Kula vizuri, Kuimarisha Kinga za Mwili...Kula Vyakul...
28/02/2025

Mwili Unahitaji Vyakula Kuliko Dawa, Na ili Usitumie dawa Unahitaji Kula vizuri, Kuimarisha Kinga za Mwili...

Kula Vyakula vya Asilia kutafanya Uongeze uwezekano wa Kuishi Pasipo Magonjwa k**a Kisukari, Shinikizo la Damu, N.K

JE..? Ulikuwa na uelewa huoo..?? Kwa sasa sitaki kufahamu,, Shuka na Uzi....Taratibu...👇

Mchanganyiko huu, Hutumiwa kisiri na watu wenye magonjwa ya Figo...Huhusafisha mishipa ya damu, huimarisha Kinga Imara y...
28/02/2025

Mchanganyiko huu, Hutumiwa kisiri na watu wenye magonjwa ya Figo...

Huhusafisha mishipa ya damu, huimarisha Kinga Imara ya Mwili siku zote.

Pata Angalau Glasi 1 hadi 2 kwa Wiki itafanya Uwe imara Zaidi 🍋.

Unaweza Kuhifadhi pia Mchanganyo Huu.

https://shopneolife.com/yohanangwelo/

Parachichi Lina virutubisho K**a vile wanga, vitamini C, E, K na B pia Lina madini ya magnesium na potassium kwa wingi.H...
27/02/2025

Parachichi Lina virutubisho K**a vile wanga, vitamini C, E, K na B pia Lina madini ya magnesium na potassium kwa wingi.

Husaidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria fangasi na virusi. (kuimarisha kinga ya mwili)

Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa kuwa dhaifu. (Madini ya kutosha kuimarisha mifupa)

Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji katika hatua sahihi.

Hupunguza tatizo la kutopata choo kabisa, na choo kigumu (constipation)

Husaidia kuondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini.

NB: Hakikisha unata glass mmoja ya juice ya parachichi kila siku

Supu ya samaki, MBICHI, Kwanini nakushauri supu ya samaki mbichi na sio aliyo kaangwa...?Ipo na afya njema, na ni tajiri...
27/02/2025

Supu ya samaki, MBICHI, Kwanini nakushauri supu ya samaki mbichi na sio aliyo kaangwa...?

Ipo na afya njema, na ni tajiri wa....

• Protini
• Vitamini E
• Omega-3

Hivi vinaendelea kukufanya kijana, mwenye afya, na husaidia katika ukuaji wa misuli ya mwili.... Na nguvu za kiume.

https://shopneolife.com/yohanangwelo/

TIKITI MAJI 🍉, Husaidia katika,MAMBO makuu ya fuatayo....• Kuhifadhi maji mwilini• Afya ya ngozi• Afya ya moyo• Maumivu ...
27/02/2025

TIKITI MAJI 🍉, Husaidia katika,MAMBO makuu ya fuatayo....

• Kuhifadhi maji mwilini
• Afya ya ngozi
• Afya ya moyo
• Maumivu ya misuli, N.K

Ni kinga yenye nguvu inayosaidia kupunguza uzito pia....Usikose katika Mlo wako wa kila siku
://shopneolife.com/yohanangwelo/

Unafahamu Kuna Vyakula Vingi vya Asili (Vilivyopo Sokoni) Unavyoweza Kutumia Na Kuwa Mwanaume Rijali bila dawa?Mbinu je?...
25/02/2025

Unafahamu Kuna Vyakula Vingi vya Asili (Vilivyopo Sokoni) Unavyoweza Kutumia Na Kuwa Mwanaume Rijali bila dawa?

Mbinu je??

Unafahamu Unaweza Kuimarisha Saikolojia kwa Mbinu Nilizo kuandalia kwa zaidi ya Miezi 6 na Kuimaster?

Lakini Unaweza Kujifunza ndani ya Wiki 1 tu? NA Kupata matokeo kwa muda wa siku 14 za utekelezaji....

Epuka matumizi ya madawa ya nguvu za kiume ni hatari kwa afya yako.....

Chukua Hatua sas
https://shopneolife.com/yohanangwelo/

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu De...
25/02/2025

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?

Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu wako.

HIPO HIVI...

Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani "Detoxification".

Sumu za mwilini (Toxins) ni chanzo kikuu cha magonjwa mbamli mbali haswa magonjwa yasiyo ambukizwa. K**a Kisukari, Saratani, shinikizo la damu, Figo N.K...

Mitindo mibovu ya maisha, Vyakula tunavyokula kila siku,vinywji, Kutokufanya mazoezi nisababu kubwa ya kuwa na sumu nyingi mwilini.

FANYA HIVI, HUPUNGUZA SUMU MWILINI....

1. Panga ratiba nzuri ya mazoezi na vyakula kwa kuzingatia makundi makuu matano ya vyakula.

2. Nasisitiza kuamka mapema.

3. Zingatia mazoezi kila siku asubuhi walau dakika 30 hadi 45.

4. Hakikisha unatokajasho..Endelea na mazoezi mpaka jasho likauke.

5.Pata Mchanganyiko wa Vitunguu maji, swaumu, Tangawizi, Limao na Asali Mbichi..

23/02/2025

Kitunguu maji kina faida k**a:

1. Huimarisha kinga – Kina antioxidants na vitamini C.

2. Hupunguza shinikizo la damu – Husaidia afya ya mishipa ya damu.

3. Hupambana na maambukizi – Kina sifa za antibacteria.

4. Husaidia afya ya moyo – Hupunguza cholesterol mbaya.

5. Huboresha mmeng’enyo – Kina nyuzinyuzi kusaidia usagaji wa chakula.

6. Huimarisha afya ya ngozi – Hupunguza madhara ya radicals huru.

https://shopneolife.com/yohanangwelo/


Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwaza jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kwaza jamii:

Share