Afya ya Mwanaume

  • Home
  • Afya ya Mwanaume

Afya ya Mwanaume TATUA CHANGAMOTO ZOTE ZINAZOHUSU AFYA YA MWANAUME KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE

UNAWEZA KUMUONA MKEO ANATOKWA NA UCHAFU UKENI UKAHISI NI HALI YA KAWAIDA KWAKEUCHAFU HUO SI SALAMA KWAKE NA KWAKO MWANAU...
23/02/2023

UNAWEZA KUMUONA MKEO ANATOKWA NA UCHAFU UKENI UKAHISI NI HALI YA KAWAIDA KWAKE

UCHAFU HUO SI SALAMA KWAKE NA KWAKO MWANAUME

CHUKUA HATUA MAPEMA KABLA HUJAKUTWA NA KANSA

MTIBU MKEO CHANGAMOTO YAKE MUWE SALAMA WOTE

Madhara ya Bph (Kuvimba Tezi Dume)BPH k**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications...
03/10/2022

Madhara ya Bph (Kuvimba Tezi Dume)
BPH k**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na

Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)
Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo
Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
Madhara katika figo au kibofu
Shinikizo la damu
Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ej*******on)
Nimonia (Pneumonia)
Damu kuganda
Baada ya mgonjwa kujihisi dalili zilizotajwa hapo juu, daktari atamfanyia uchunguzi wa mwili kabla ya kumfanyia vipimo zaidi. Vipimo vyaweza kutofautiana kati ya mgonjwa namgonjwa, lakini baadhi ya vipimo ni pamoja na

Dalili ya tezi dume iliyovimba ni: Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo Mtiririko dahifu wa mkojo Kukojoa kwa sh...
03/10/2022

Dalili ya tezi dume iliyovimba ni:
Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo Mtiririko dahifu wa mkojo Kukojoa kwa shida Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunasabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tez i iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Dalili za kansa ya tezi dume hufanana sana na zile za kukua kwa tezi dume na ni vugumu sana kuzitofautisha. Dalili zinaw...
03/10/2022

Dalili za kansa ya tezi dume hufanana sana na zile za kukua kwa tezi dume na ni vugumu sana kuzitofautisha. Dalili zinaweza kuwa:
Kujisikia kukoja mara nyingi (na hasa usiku) Kusikia mkojo ghafla Shida katika kuanza kukojoa Kukojoa kwa shida na kuchukua muda mrefu Mkojo kutiririka kwa kiwango kidogo Hali ya kujisikia kutomaliza mkojo

Kansa ya tezi dume huanza na kukua taratibu sana. Watu wengi hufa na kansa ya tezi dume, na si kwa sababu ya kuwa nayo. Kansa ya tezi dume, kwa hiyo, haina haja ya kutibiwa mara moja.

Tiba Ya Kansa Ya tezi Dume

Kwa wanaume wengi kansa ya tezi dume haihitaji tiba ya mara moja.Kansa ikiwa kwennye hatua za awali na haina dalili, kitakachofanywa ni kuchukua uangalizi wa karibu.

Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume✅Umri  Mkubwa  kuanzia miaka 50✅Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hi...
03/10/2022

Visababishi hatarishi kwa saratani ya Tezi dume

✅Umri Mkubwa kuanzia miaka 50

✅Nasaba (ukoo wenye historia a saratani hii

✅Lishe hatarishi-nyama nyekundu kwa wingi, mafuta/samli,maziwa ya krimu

✅Unene uliokithiri

✅Ukosefu wa mazoezi

✅Upungufu wa virutubisho,mfano vit D.

✅Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume

Kwa miaka mingi nimewasaidia wanaume kupona tezi dume bila kufanyiwa upasuaji
Inawezekana kupona tezi dume bila kufanyiwe upasuaji

Upasuaji sio NJIA PEKEE YA KUPONA TEZI DUME KUNA NJIA SALAMA ZAIDI

PIGA NAMBA 0763931154 KWA USHAURI,TIBA NA MAELEZO YA ZIADA

23/04/2022

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME??.

SOMA HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TMDA)

Wasiliana nami:

+255763931154

KARIBUNI SANA.

22/04/2022

WANAUME WENGI KUANZIA MIAKA 45 NA KUENDELEA HUPATWA NA CHANGAMOTO YA KUTOA MKOJO AMBAYO HUSABABISHWA NA KUVIMBA KWA TEZI...
22/01/2022

WANAUME WENGI KUANZIA MIAKA 45 NA KUENDELEA HUPATWA NA CHANGAMOTO YA KUTOA MKOJO AMBAYO HUSABABISHWA NA KUVIMBA KWA TEZI DUME

HALI HII HUENDELEA KUKUA NA KUONGEZEKA NA HATA KUSABABISHA KIFO PAMOJA NA SARATANI YA TEZI DUME KWA MWANAUME

NIMEWASAIDIA WENGI KUPONA CHANGAMOTO HII
NIPIGIE SIMU SASA ILI NIKUSAIDIE NJIA SAHIHI YA KUONDOA TEZI DUME BILA UPASUAJI
0763931154

KILA MWANAUME ANAPASWA KUJIANDAA KUWA MMOJA WAPO WA WANAUME WENYE CHANGAMOTO YA TEZI DUMEHIVYO UNAPOGUNDULIKA KUWA UNA C...
05/01/2022

KILA MWANAUME ANAPASWA KUJIANDAA KUWA MMOJA WAPO WA WANAUME WENYE CHANGAMOTO YA TEZI DUME

HIVYO UNAPOGUNDULIKA KUWA UNA CHANGAMOTO HII USISITE KUTUMIA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUONDOA CHANGAMOTO YAKO BILA KUFANYIWA UPASUAJI

UNAPOENDELEA KUKAA NA CHANGAMOTO HII INAWEZA KUGHARIMU MAISHA YAKO

TATUA CHANGAMOTO YA TEZI DUME BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA NIPIGIE SASA NIKUSAIDIE 0763931154
05/01/2022

TATUA CHANGAMOTO YA TEZI DUME BILA KUFANYIWA UPASUAJI KABISA
NIPIGIE SASA NIKUSAIDIE
0763931154

Address

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya Mwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya Mwanaume:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram