AFYA Clinic

AFYA Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA Clinic, Medical and health, Dar es salaam, Dar es Salaam.

FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGUUTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mf...
24/11/2022

FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU

UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.

UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

MFUMO WA MKOJO

Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada

Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu

KISABABISHI CHA UTI

Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,

Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje

1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu

2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru

Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake

WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI

‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo

‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo

‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra

‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk

KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU)

Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo

1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena

2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria

DALILI ZA UTI

1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa

2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo

3.Maumivu ya misuli na tumbo

4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk

5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika

6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo

JINSI YA KUZUIA UTI SUGU

1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha bakteria kwenye mfumo

2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara kila anapojiskia kukojoa

Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza zalisha bakteria

Na baada ya kukojoa wanawake wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra

3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo hazibani sana kuruhusu hewa kupita vizuri ,epuka jinsi zinazobana sana ambazo zinaweza kukusanya na kuleta tatizo.

4.Tumia ped za neplily ped pekee zenye uwezo wa kuzuia na kutibu UTI na pia zinaruhusu hewa kupita vizuri

PACKAGE HII IPO YA WANAUME NA YA WANAWAKE UTI INATIBIKA

Kwa mahitaji ya Package hii wasiliana nasi

Kwa simu namba +255755099091
whatsapp namba +255755099091

BAWASIRI INATIBIKA NDANI YA SIKU 20 TU EPUKA KUKATA TAMAA.Whatsapp ==>Changamoto ya ugonjwa huu imekua nitatizo kubwa sa...
24/11/2022

BAWASIRI INATIBIKA NDANI YA SIKU 20 TU EPUKA KUKATA TAMAA.
Whatsapp ==>

Changamoto ya ugonjwa huu imekua nitatizo kubwa sana na imekua ikiumiza na kuathiri afya za watu wengi
Kuna hatari kubwa sana kwa mtu ambae anaishi na ugonjwa huu aiza kwa kujua ama kutokujua kwani ugonjwa huu huanza kuathiribkuanzia ndani na hatimae kutoka nje k**a vinyama vidogo sehemu ya haja kubwa
HAYA NI MADHARA HARATISHI YA BAWASIRI

=Maumivu makali wakati wa haja kubwa
= kutoa kinyesi chenye damu sababu ya ukomavu wa tatizo
= kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa
= kansa ya utumbo
= Mimba kuharibika na kutoka
= Kupoteza hamu ya tendo
= Upungufu wa nguvu za kiume
= Kupatwa na maumivu ya mara kwa mara
Zote hizo ni athari ama matokeo ambayo huwapata watu wengi wanaokua na tatizo hili la bawasiri.

Whatsapp ==>
GOOD NEWS NI KUWA
Baada ya kujua umeathirika na changamoto hizi nakushauri kufanya yafuatayo ili kupata suluhisho.

= Pata Dawa ya Vidonge na ya kupaka kutoka India Dawa hizi ni za asili na zinanguvu ya kuondo Tatizo hili moja kwa moja na kuto jirudia tena.
= Zingatia ushauri utakaopewa
= Kakikisha unabadili mfumo wa ulaji toka mfumo A kwenda B

Tupigie +255755099091
Whatsup +255755099091
Whatsapp ==>>
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM . KWA WALIO NJE YA MKOA TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO KWA NJIA YA BUS.

HABARI! KARIBU MDAU WA AFYA📌Maumivu Ya Mifupa Na Maungio, Kwa Bahati Mbaya, Moja Ya Sababu Kubwa Kwa  Wagonjwa Kutembele...
03/09/2022

HABARI! KARIBU MDAU WA AFYA

📌Maumivu Ya Mifupa Na Maungio, Kwa Bahati Mbaya, Moja Ya Sababu Kubwa Kwa Wagonjwa Kutembelea Daktari Wao.

📌Karibu Asilimia 95% Ya Wagonjwa Wa Mifupa Hupewa Tiba Zinazoweza Kuwapa Unafuu Kwa Muda Ili Kuondoa Maumivu Makali Wanayoyapata.
Mfano Wa Tiba Ni Pamoja Na Sindano Za Cortisone, Massage, Osteopathic Au Chiropractic, Dawa Za Maumivu NK.

📌Matibabu Haya Yanaposhindwa Kupunguza Maumivu, Mgonjwa Hutakiwa Kufanyiwa Upasuaji K**a Njia Ya Mwisho Ya Kuondoa Maumivu.

📌Hata Hivyo, Mara Nyingi Upasuaji Sio Jibu Bora. Na Wakati Mwingine Inaweza Hata Isimsaidie Mgonjwa Kabisa.

JE NINI HUWEZA KUTIBU MIFUPA KABISA?🤷
JIBU ➡️ SELI SHINA (MESENCHYMAL)

Sisi Sote Tuna Seli Shina Za Uponyaji Katika Miili Yetu.
Seli Hizi Hupatikana Katika Bone Marrow, Seli Hizi Hufanyika K**a Ukarabati Mwilini. Na Zinaweza Kuzaliwa Tena Katika Aina Ya Seli Inayohitajika Kutibu Kwenye Eneo Lililojeruhiwa.

📌Kuna Aina Tofauti Za Seli Za Shina.
✓Seli Za Shina Za Mesenchymal (MSC) Ni Aina Ambayo Tunatumia Katika Matibabu Ya Mifupa.
✓Hukarabati Majeraha Kwenye Misuli, Mfupa,Maungio Na Tishu Laini.
✓Huondoa Hali Ya Kuvimba
✓Hutengeneza Cartilage, Mfupa, Misuli Na Seli Za Mafuta.
✓Huusadia Mwili Kutengeneza Tishu Zilizopotea Katika Eneo Lililojeruhiwa.

📌Umri Unavyoenda Mwili Hupoteza Uwezo Wa Asili Wa Kutengeneza Hizi Seli Shina. Hivyo Kuna Technologia Ya Kutoa Seli Shina Kwa Mimea Na Mtu Napotumia, huzalisha Mesenchymal na Baada Ya Muda Elekezi Hupona Kabisa Matatizo Ya Mifupa.

📌STEM CELLS HIZI HUTIBU MARADHI YA MIFUPA YAFUATAYO
¶ Kukosa Ute Ute Kwa Muda Mrefu
¶ Discs kupishana au Kubandana
¶ Mifupa kusagika
¶ Tatizo La Hip Joint
¶ Gauti
¶ Rheumatism
¶ Arthritis
¶ Stroke
¶ Osteoporosis
¶ Vimbe za Kwenye Mifupa
¶ Matatizo Ya Mgongo (Hata waliotoka Kujifungua).
¶ Ganzi, Maumivu Makali Ya Mifupa
¶ Kushindwa Kuchuchumaa, Kushindwa Kutembea
¶ Maumivu K**a Moto Kwenye Visigino Mabega Na UTI wa Mgongo
Nk

Kwa taarifa Zaidi

Call/WhatsApp +255751218151

TUNATUMA MIZIGO BURE POPOTE ( FREE DELIVERY)

KARIBU TUONGEE

TATIZO LA TEZI DUME LIMEKUA TISHIO KWA AFYA YA WANAUME KWANZIA MIAKA 35+.Matatizo Ya Tezi Dume Husabaishwa Na Vitu Mbali...
03/09/2022

TATIZO LA TEZI DUME LIMEKUA TISHIO KWA AFYA YA WANAUME KWANZIA MIAKA 35+.

Matatizo Ya Tezi Dume Husabaishwa Na Vitu Mbalimbali Ikiwemo

✓Umri Mkubwa, Hupelekea Baadhi Ya Organs Kushindwa Kufanya Kazi Ipasavyo
✓Maradhi mengine K**a Kisukari, Pressure Acid Nyingi, Cholesterol.
✓Matatizo Katika Njia Ya Mkojo Na Maambukizi Ya Mara Kwa Mara
✓ Ufanywaji wa Ngono wa Mara Kwa Mara Unaihatarisha Afya Ya Tezi Dume.
✓ Utumiaji wa Mara kwa Mara Madawa Makali ya kuboost Nguvu za Kiume
✓Kuwekewa Mipira Ya Mkojo Mara Kwa Mara.
✓Ulaji Mbovu Unaopelekea Kukosa Madini Na Malighafi Mwili Muhimu Kwa Ajli ya Kulinda Na kuujengs Mwili.
✓Nature Za Kazi Ngumu Na Kukaa Muda Mrefu Bila Kazi
✓Kurithi. Tezi Dume Huweza Kuwa Pia Katika Vina Saba Vya Familia Fulani, Hivyo Unakuta Kila Mwanaume Au Asilimia Kubwa Ya Wanaume Kwenye Familia Hiyo Hupats Tatizo Hilo Wanapokua Na Umri fulani

DOSE HII YA TEZI DUME INA FAIDA ZIFUATAZO
✓ Inatibu Tatizo la TEZI Dume Pasipo Kufanyiwa Upasuaji (Ni Nzuri Pia Kwa Waliokwisha Kufanyiwa Upasuaji Ili Kuzuia Na Kutibu Kabisa Tatizo Lisijirudie)
✓ Inazuia Na Kutibu Saratani Ya Tezi Dume
✓ Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume
✓ Inadumisha Afya ya Mkojo
✓ Inaboresha Ufanisi Wa Tendo La Ndoa
✓ Inaondoa Maumivu Ya Kiuno Na Wakati Wa Kukojoa
✓ Husaidia Kufika Kileleni Vizuri Bila Maumivu.

Matokeo Ya Awali Ni Ndani Ya Siku Tatu Mpaka Wiki Tatu
Muda wa Kupona ni siku 90 mpaka 180 kutegemea na
✓Umri Wa Mtu
✓Umri Wa Tatizo
✓Chanzo Cha Tatizo
✓Ukubwa Wa Tatizo
✓Kinga Za Mwili.

Kwa taarifa Zaidi
+255751218151

DOUBLE STEAMCELL NA CRYSTAL CELLProducts hiyo ni double steamcell na crystalcell Zipo na products zingine ILA hizi ndo p...
03/09/2022

DOUBLE STEAMCELL NA CRYSTAL CELL

Products hiyo ni double steamcell na crystalcell Zipo na products zingine ILA hizi ndo products mama

PSYTOSCIENCE ni kampuni ambayo imejikikita kutengeneza products ambazo zinazalishwa kutoka katika cell zinazotoka katika shina LA mmea.

☝hayo yote ni magonjwa ambayo humalizika baada ya kutumia double steam cell 👏na mengine utaona mwenyewe

Double steam cell kazi yake huzalisha na kukarabati upya cell za mwili zilizoharibika na zilizokufa👏

kumbuka miili yetu imejengwa na cell... Sasa inapotokea cell zimeharibika au kufa ndiyo unasikua mtu anaumwa chochote mwilini mwake.
Yaweza kuwa

stock,
sukari,
Kansa
Bawasiri
Fico
Ini
Uvimbe wa uzazi
Kuvimba Miguu
Macho na masikio
presha,
vidonda tumbo,
uvimbe,
ngiri,
Masuala ya uzazi

unapoteza utendaji kazi hasa katika ndoa yako na hii hupelekea ndoa nyingi kuvunjika👏na mengine mengi haswaaaa💽

PIA WANAHITAJIKA MAWAKALA WA KUSAMBAZA STEM CELL ,WAKALA LAZIMA AWE MEMBER

Usiendelee kuteseka wakati changamoto uliyonayo sasa unaweza kupata suluhisho.

Kwa taarifa Zaidi
+255757218151

03/09/2022
03/09/2022

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram