04/11/2021
*P.I.D NI NINI??*
P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Kwa kingereza tunasema (pelvic inflammatory disease)
Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Hasa bacteria wa pangusa, Chlamydia, kisonono,
HUENDA SANA KUHARIBU MFUMO WA UZAZI. Kwanza vifuko vya mayai, (ovaries) mirija ya uzazi,
Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D?
*DALILI ZA P.I.D*
🌺Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
🌺Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
🌺Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
🌺Maumivu wakati wa kukojoa.
🌺Kutapika na homa
🌺Uchovu
🌺Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
🌺Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
🌺Kukojoa mara mara.
☘️ Mvurugiko wa hedhi, kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi.
Huenda umetumia Sana Metro, Cipro dox, nabado umekuwa mhanga, tumia juisi ya bamia juisi ya tangawizi leo, uitwe mama!