Minah_afyayangu

Minah_afyayangu health consultant and assistance

Habari...!?Fahamu tiba asili ya uvimbe katika milija ya uzazi na mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke..!!Fatilia nakala hii👇...
01/04/2022

Habari...!?
Fahamu tiba asili ya uvimbe katika milija ya uzazi na mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke..!!
Fatilia nakala hii👇

VIRUTUBISHO HIVYO VYA MIMEA VITAKUSAIDIA WEWE MWENYE CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA UZAZI ,...KUREKEBISHA HORMONE YA ESTROGEN, KUPEVUSHA MAYAI, KUZIBUA UCHAFU KWENYE MILIJA YA UZAZI, KUYEYUSHA UVIMBE, KUPUNGUZA MAUMVIVU WAKATI PERIOD NA TENDO LA NDOA, KUIMALISHA AFYA YA UZAZI KWA UJUMLA KWA KUTUMIA 👇👇👇

ALOE BERRY NECTAR / VERA GEL, MULTI - MACA, VITOLIZE FOR WOMEN NA ROYAL JELLY.

Virutubisho vilivyotokana na Aloe Vera, Mzizi wa Maca, Matunda na Asali. Inatupatia Vitamin A, B, C, E & B12 na Madini ya Zinc, Selenium, Calcium, Iron, Copper, Magnesium, Sodium, Amino na Folic Acid.

FAIDA ZAKE KIAFYA

1.Husaidia kusafisha mfumo wa mwili kwa kutoa sumu, taka na mafuta mabaya mwilini.

2. Husaidia kuimalisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

3. Husaidia kurekebisha hormone ya Estrogen kwa wanawake wenye hormone Imbalance.

4. Husaidia kuzibua uchafu kwenye mirija ya uzazi, kuimalisha afya ya mfuko wa kizazi na kibofu cha mkojo.

5. Husaidia kupevusha Mayai na kupunguza maumivu ya wakati wa hedhi au kukoma kwa hedhi.

6. Husaidia kuzuia ukuaji wa uvimbe kwenye kizazi na kuuyeyusha uvimbe chini ya 2.5Cm na kuua bacteria wa fangasi sehemu za siri.

7. Husaidia kuimalisha afya ya Moyo, Ubongo, Misuli, Mifupa na Mzunguko wa damu, kupunguza uchovu na kuchochea hisia.

https://wa.me/+255678512642?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20Afyayauzazimwanamke%2B%20na%20matumizi

Habar...!?Fahamu yafuatayo👇MBINU ZA KUFANYA KUA IMARA KWENYE TENDO LA NDOA (NGUVU ZA KIUME)1.kula vyakula vya protein ki...
29/03/2022

Habar...!?
Fahamu yafuatayo👇
MBINU ZA KUFANYA KUA IMARA KWENYE TENDO LA NDOA (NGUVU ZA KIUME)

1.kula vyakula vya protein kiasi kikubwa, vitamins n Madini K**a vile; mbogamboga,nafaka,sam aki,mayai na matunda

2.Fanya mazoezi ya mwili kila mara isiwe chini ya mara tatu kwa wiki au zaidi, mazoezi K**a vile kuruka kamba,kegel,push up,set up,kukimbia, na kutembea.

3.Limiti uzito wa mwili wako kwa kuondosha kitambi na unene.

4.Ratibu maradhi kwenye mwili wako K**a vile sukari, na shinikizo la damu,vidonda vya tumbo

5.kunywa maji ya kutosha kila siku Lita 2 au zaidi kutegemea na mazingira yako

6.Pata muda wa kupumzika vizuri isiwe chini ya masaa 7 kwa siku.

7.Punguza msongo wa mawazo na kutokujiamini K**a mwanaume.

8.Acha kupiga punyeto na kuangalia video za utupu au ngono

9.Penda kutumia food supplement (virutubisho).

Nicheck WhatsApp kwa maelezo Zaid,ushauri na tiba ya changamoto za uzazi na Afya kwa ujumla.
,

Habar..!?JE UMEKUWA UKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YAKO YA AFYA YA UZAZI KWA MUDA MREFU BILA KUPATA SULUHISHO?Huwenda haukup...
29/03/2022

Habar..!?
JE UMEKUWA UKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YAKO YA AFYA YA UZAZI KWA MUDA MREFU BILA KUPATA SULUHISHO?

Huwenda haukupata mwongozo sahihi wa virutubisho gani
utumie kuimarisha mfumo wako wa uzazi kulingana na
chanzo Cha changamoto yako.
HI PACKAGE ITAKUSAIDIA KWENYE CHANGAMOTO
ZIFUATAZO;
/Kuwahi kufika kileleni Muda mfupi baada ya kuanza
tendo.
~Kukosa hamu ya tendo kabla a baada ya kumaliza tendo.
~Kushindwa kurudia tendo kwa Muda sahihi baada ya
kumaliza.
/Kusimamisha legelege kwa mana ya misuli kusinyaa.
/Maumivu ya misuli wakati a tendo na baada ya tendo.
/Maumivu ya Korodani.
/Kutoa mbegu chache na ambazo hazina uwezo wa
kurutubisha yai(Low S***m) n.k

KUMBUKA:HIZI SIO DAWA NI VIRUTUBISHO AMBAVYO
VITAKUINGIZIA VITAMINS NA MADINI MUHIMU AMBAYO
YATAIMARISHA MFUMO WAKO MZIMA WA UZAZI.

Habar...!?Leo ningependa kushare na nyie story fupi ilio tokea kwa moja ya mteja wangu wa muda saana na jinsi alivyo wez...
22/03/2022

Habar...!?
Leo ningependa kushare na nyie story fupi ilio tokea kwa moja ya mteja wangu wa muda saana na jinsi alivyo weza kitatua changamoto zake za nguvu za kiume kwa msaada wangu....!
Haya matukio inawezekana Kuna watu wanakutana nayo na Hawa jui wafanye Nini...karibu suluhisho linapatikana😊💪 fuatilia nakala hii 👇

Kila baada ya kumaliza, nilipatwa na hasira kwa kuwa nilipoitaji zaidi sikuwa na uwezo wa kuendelea.

Msongo mkubwa wa mawazo uliniandama hasa zikinijia fikra za kuachwa kwani ni ukweli usio na shaka kabisa kuwa nilikua simtoshelezi

Mwanzo alinivumilia lakini ilifika kipindi saikolojia yake iliharibika na tendo halali kabisa likawa kero kubwa kwake kwani ilifikia hatua hata nikimuhitaji hataki nimsogelee kwakua alijua sitofanya chochote zaidi ya kumchafua tu.

Niliumia zaidi pale alipoanza kuniita "Mr five seconds"

Natambua kuniita hivo alikua hafanyi utani bali alikuwa akifikisha ujumbe kuwa alidhiki.

Basi hadi ugwadu wote unakata akiniambia hivo.

Kiukweli niliteseka sana.

Kazi zikawa hazifanyiki.

Mchezo wa kupiga puli wakati nipo shule ndio uliosababisha yote haya.

Sikujua kufanya mchezo ule nilikua najiandalia madhara makubwa baadae.

Tatizi langu kubwa lilikua ni kumaliza kabla safari haijafika mwisho.

Nikiupanda tu mnazi dakika tano nyingi, Chali.

Hali ilizidi kuwa mbaya baada ya kufika hatua ya kushindwa kusafiri hata kwa dakika mbili tu.

Nikaanza kuona dalili zote za Jiko langu kunikacha.

Sikua na jinsi, nilianza kujaribu kila kitu nitachosikia kinasaidia kutibu tatizo hili.

Nakumbuka siku moja niliharisha sana baada ya kununua mitishamba fulani ya kimasai lakini mwisho wa yote tatizo liliendelea kubaki pale pale.

Kwa kujaribu jaribu nilijikuta natumia pesa nyingi bila mafanikio.

Siku moja wakati naperuzi mitandaoni nikapata kusoma makala moja toka kwa .yakotz1ya kusoma nikapata kufahamu kitu ambacho kimepata kurudisha heshima ya nyumba yangu.

Sasa hivi baada ya kumaliza uniangalia kwa tabasamu nami kwa kujiamini humuuliza, "vipi tuendelee?"

Furaha imerejea, siku hizi eti huniita, "Shupavu wao"

Tatizo kubwa tunalopata wengi tuliopitia mchezo wa kujichua ni kulegea kwa misuli ya mtaimbo jambo ambalo husababisha kuwahi kumaliza gemu mapema wakati mwenzio ndio kwanza kipapa kimepata joto.

Katika makala ile nilipata kujua mbinu zote za kurejesha utimamu wa mtaimbo.

Habar...!?Fahamu Mambo muhimu yafuatayo👇Tatizo la uume kulegea na kushindwa kurudia tendo ni kubwa sana na linawakumba v...
16/03/2022

Habar...!?
Fahamu Mambo muhimu yafuatayo👇

Tatizo la uume kulegea na kushindwa kurudia tendo ni kubwa sana na linawakumba vijana wengi wa kitanzania kwa sasa. Changamoto hii linatishia uthabiti wa mahusiano ya kimapenzi kwani linapelekea kushindwa kumridhisha mwanamke kwenye tendo la ndoa.

➡️ Kuwahi KUFIKA kileleni ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema Sana wakati wa tendo la ndoa na Mara nyingi hii hupelekea kushindwa kumridhisha mwenza wake.Wengi walio na tatizo hili utakuta uume wao unaposimama unakua legelege na wakati unapolala husinyaa na kurudi ndani.

SABABU ZA TATIZO LA UUME KULEGEA WAKATI WA TENDO;

1.Kupiga punyeto/kujichua; Unavyominya uume kwa nguvu kutafuta msisimko kwa viganja vyako vya mkono unaua Neva,mishipa ya damu ambayo huingiza damu kwenye uume na misuli ya uume ndio Maana uume unakuwa Mwembamba na kuwa mdogo.

2.Kuwa na wasiwasi wakati wa tendo la ndoa ; mtu akiwa na historia ya kupata Hali hii kabla hua hajiamini na kua na wasiwasi kwamba litatokea tena na matokeo yake hulipata kweli.

3.kukosa chakula bora kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormones na kuimarisha misuli na mishipa limekua tatizo.

4.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na Ulaji wa wanga,ngano na mafuta n.k kwa wingi

5.Upungufu au mvurugiko wa hormones mwilini kutokana na mrundikano wa chemical mbaya mwilini n.k

Tunazo bidhaa ambazo sio madawa zimetokana na mimea ya asili,matunda pamoja na mbogamboga zinatakazo kupatia faida nyingi mwilini k**a zifuatazo;

➡️ Kurudisha hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

➡️ kuondoa msongo wa mawazo.

➡️ kusaidia kubalance hormones.

➡️ kusaidia kuboresha mbegu za kiume.

Habari za wakati huu...!!?Nimekuwa nikipokea maswali ya watu wengi wakiuliza kuwa Kuna uhusiano gani Kati ya mtu kuwa na...
15/03/2022

Habari za wakati huu...!!?
Nimekuwa nikipokea maswali ya watu wengi wakiuliza kuwa Kuna uhusiano gani Kati ya mtu kuwa na vidonda vya tumbo na hatari ya mtu huyo kupata changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume..FUATILIA NAKALA HII👇

UHUSIANO KATI YA VIDONDA VYA TUMBO NA NGUVU ZA KIUME.

Wanaume wengi wanaougua vidonda vya tumbo kwa muda mrefu hutokewa pia kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kwahiyo ikiwa mwanaume una tatizo la kushindwa kuhimili tendo la ndoa na unaumwa vidonda vya tumbo, basi cha kwanza utatakiwa ujitibu vidonda vya tumbo.

Hili linakuwa kweli hasa tukiziangalia baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo k**a zifuatazo;
*Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo zinazopelekea pia upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na zifuatazo:
*1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum.
2. Kuumwa mgongo au kiuno.
3. Kizunguzungu.
4. Kukosa usingizi.
5. Kiungulia.
6. Tumbo kujaa gesi.
7. Tumbo kuwaka moto.
8. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda.
9. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika k**a cha mbuzi.
10. Kusahahu sahau .
11. Hasira bila sababu.

Dalili au matatizo yote hayo hapo juu yanayompata mgonjwa wa vidonda vya tumbo ndizo ambazo kwa namna nyingine k**a matokeo yake zinapelekea tatizo la Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wengi kwa Sababu Tezi Kuu ( Pituitary Grand ) Linashindwa Kufanya Kazi Zake Sawa Sawa Kwa Kuwa Wakati Linatakiwa Ku Control Mfumo wa Uzazi ni Muda huo huo Liko Eneo lingine la Mwili lina tatizo na Linahitaji Kufanyiwa Bold Recovering Ndiyo Maana tunasema Upungufu wa Nguvu za Kiume Si Ugonjwa Bali ni Dalili au Matokeo ya Ugonjwa , Ni Ishara Kwamba aliyepungukiwa na Nguvu za Kiume Liko tatizo Kwenye Mwili wake Linalohotaji matibabu. - Hayo Yaliyoelezwa Juu hapo ni Baadhi tu Ya Matatizo Lukuki Yanayopleka Ukosefu wa Nguvu Za Kiume .

*Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?*Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa.

HEBU TUANGALIE MFUMO WA UFANYAJI KAZI WA VIUNGO VYA UZAZI VYA MANAUME KWA UFUPI TU👇

Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiumeNguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili.
Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.

KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI.
Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu. Hili ni KOSA KUBWA sana!Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu tatizo gani. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona!

Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! Mathalani, k**a tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; k**a ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo. Angalia mwenyewe, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanawake wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa na dawa aina moja?
Watu wengi wengi wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana.KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI.

Habari...!?Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ngiri👇UGONJWA WA MSHIPA WA NGIRI (HERNIA/HYDROCELE) Ngiri au Hernia ni aina ya ugonj...
15/03/2022

Habari...!?
Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ngiri👇

UGONJWA WA MSHIPA WA NGIRI (HERNIA/HYDROCELE)

Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji. Ugonjwa huu wa ngiri unawapata wanaume na wanawake wa rika zote. Mshipa wa ngili ni jina linalokusanya magonjwa k**a Ngiri kavu (Hernia), Ngiri maji (Hydrocele) na Ngiri nyinginezo k**a vile kuvimba kokwa au mfereji unaopitisha manii unaojulikana kitaalamu k**a Epididmorchitis.
Ngiri Kavu (Hernia), aina hii ya ngiri huwapata wanawake na wanaume wote kwa ujumla. Ngiri kavu inapompata Mwanamke huitwa Fermoral Hernia, na pindi inapompata mwanaume inaitwa Scrotal hernia. Kwa maana halisi ya ngiri au mshipa wa ngiri ni hali inayotokea katika mwili wa binadamu ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu hiyo inayoathiriwa mara nyingi huwa ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.
Pamoja na hivyo mshipa wa ngili hujitokeza sehemu mbalimbali za mwili na hupewa majina tofauti kutokana na sehemu ulipojitokeza, kwa mfano ngiri ya tumbo inajulikana kitaalamu k**a Abdominal Hernia, pia watoto wanaozaliwa na vitovu vikubwa inaitwa Umbilical Hernia, na pale ngiri inapojitokeza katika sehemu ya haja kubwa inaitwa A**l Herni. Dalili zake hazitofautiani sana hata hivyo ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote isipokuwa kuna baadhi ya ngili hujitokeza na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.

Miongoni mwa vitu vinavyoweza kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni pamoja na kuwa na uzito mkubwa wa mwili wa kupitiliza au kuongezeka uzito kwa ghafla, pia kua na kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito, tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu, ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua.

Mojawapo ya dalili za ugojwa wa ngiri ni pamoja na;
• Uvimbe unaoteremka kuingia ndani ya korodani unaojulikana kitaalamu k**a Direct Scoratal inguinal Hernia.
• Uvimbe unaojitokeza tumboni na kuteremka hadi ndani ya korodani, uvimbe huu hauumi na unaweza kurudishwa kwa urahisi iwapo mgonjwa atalala chali na kusukuma kwa vidole, uvimbe huu.
• Na pindi ukikubali kurudi ndani ndipo unapoitwa Reduible direct scrotal inguinal hernia.
• Na pia endapo utashindikana kurudi tumboni ndipo unapoitwa Irreduible direct scrotal inguinal hernia.
Ugojwa huu wa ngiri unaweza kutibika kwa kupitia dawa asilia ukiacha uperesheni iwapo mgonjwa atazigundua dalili zake mapema.

Habari...!!?Fahamu faida za mazoezi asubuhi..👇➡️ Mazoezi hushusha kupanda kwa presha.➡️ Mazoezi husaidia kupunguza msong...
15/03/2022

Habari...!!?
Fahamu faida za mazoezi asubuhi..👇

➡️ Mazoezi hushusha kupanda kwa presha.

➡️ Mazoezi husaidia kupunguza msongo wa mawazo.

➡️ Mazoezi huimarisha moyo hivyo hukuepusha na maradhi mengi yatokanayo na mapigo mabaya ya moyo.

➡️ Mazoezi humfanya mtu ajiamini.

➡️ Mazoezi husaidia kuweka sawa kiwango cha cholesterol au mafuta yaliyopo mwilini.

➡️ Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kisukari.

➡️ Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata baadhi ya maradhi ya saratani.

➡️ Mazoezi hupunguza uzito wa ziada wa mwili na kufanya mwili wako kuwa mwepesi.

➡️ Kwa Mwanaume mazoezi yana nafasi kubwa ya kubadilisha na kujenga mfumo wako wa uzazi muhimu jua ni mazoezi yapi muhimu.

Habari...!?Fahamu jinsi presha yakupanda inavyo athiri mwili na mahusiano kati ya presha na nguvu za kiume...fuatilia na...
14/03/2022

Habari...!?
Fahamu jinsi presha yakupanda inavyo athiri mwili na mahusiano kati ya presha na nguvu za kiume...fuatilia nakala hii👇

Mara nyingi presha ya kupanda ni ugonjwa ambao unaweza usikuonyeshe dalili zozote kwa nje. Ndiyo maana ugonjwa huu ukapewa jina la bandia, ukaitwa muuaji wa kimya kimya (silent killer).

Kwa nini uliitwa Silent Killer? Kwa sababu hudhuru viungo vingi ndani ya mwili wako kwa kimya kimya bila kukuonyesha dalili zozote kwa nje jambo ambalo litakufanya uendelee kuumia bila ya wewe kutambua. Huua figo kimya kimya, hudhuru moyo na mishipa mbalimbali mwilini kimya kimya; wakati huo huo wewe utakuwa unadunda tu barabarani na kufanya kazi zako k**a kawaaida bila kuhisi shida yoyote.

PRESHA NA NGUVU ZA KIUME!

Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama vizuri na kwa uimara. Presha ya kupanda hudhuru kunyanzi za mishipa ya damu na hivyo kusababisha mishipa hiyo kukak**aa na njia yake ya kupitisha damu kuwa nyembamba zaidi (athererosclerosis). Presha ya kupanda husababisha mishipa ya ateri kushindwa kufunguka vizuri na hata kupelekea kupasuka.

Habar..!!?Leo ningependa kutoa elimu kuhusiana na swala zima la bawasili na vipi inaweza kupelekea athar ya upungufu wa ...
14/03/2022

Habar..!!?
Leo ningependa kutoa elimu kuhusiana na swala zima la bawasili na vipi inaweza kupelekea athar ya upungufu wa nguvu za kiume...fuatilia nakala hii👇

Bawasili husababishwa nakuvimba kwa mishipa ya damu Aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Bawasiri inaweza kuwa ya ndani au nje. Bawasiri za ndani hua ndani ya sehemu ya haja kubwa au puru. Bawasiri ya nje huendelea nje ya sehemu ya kutolea haja kubwa. Bawasiri pia hujulikana k**a Marundo.

Bawasiri ya nje ni ya kawaida na yenye shida zaidi. Bawasiri husababisha maumivu, kuwasha hasa sehemu ya haja kubwa, na ugumu wa kukaa. Kwa bahati nzuri, zinatibika.

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI

Bawasiri hutokea pindi mishipa inayozunguka sehemu ya kutolea haja kubwa kwa ndani kwenye kuta zake kuumia au kukandamizwa kwa kushuka chini na kuvimba.

Bawasiri inaweza kukuza kutoka kwa shinikizo lililoongezeka kwenye puru ya chini kwa sababu ya:

1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)
2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo
3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara
4. Kuvimbiwa
5. Kuwa mnene au mzito
6. Kuwa mjamzito
7. Kuingiliwa nyuma kimaumbile
8. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi
9. Kuinua/Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara
10. Kunyoosha wakati wa haja kubwa

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI

Ishara na dalili za bawasiri kawaida hutegemea aina ya Bawasiri

BAWASIRI YA NJE
Hizi ziko chini na nje ya ngozi karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa. Ishara na dalili zinaweza kujumuisha:

1. Kuwasha katika maeneo yaliyozunguka sehemu ya haja kubwa
2. Maumivu au usumbufu
3. Kuvimba kuzunguka sehemu ya kutolea haja kubwa
4. Mara nyingine yaweza Kuvujadamu au k**a michubuko
5. Kutokwa na kinyama baada ya kwenda haja.

BAWASIRI YA NDANI
Bawasiri ya ndani iko ndani ya sehemu ya kutolea haja. Kawaida huwezi kuziona au kuzihisi, na mara chache husababisha usumbufu. Lakini kukaza au kuwasha wakati wa kupitisha kinyesi kunaweza kusababisha:

1. Kutoa haja/kinyesi chenye damu na maumivu yasiyo makali. Unaweza kuona kiasi kidogo cha damu nyekundu kwenye haja yako.
2. Maumivu na muwasho sehemu ya haja

HATARI/MATOKEA YANAYOTOKANA NA BAWASIRI.

Shida za bawasiri ni nadra lakini ni pamoja na:

Upungufu wa damu. Mara chache, upotezaji wa damu sugu kutoka kwa bawasiri unaweza kusababisha upungufu wa damu, ambayo hauna seli nyekundu za kutosha za damu kubeba oksijeni kwenye seli zako.
Bawasiri sugu /iliyoshonwa. Ambayo inaweza kusababisha maumivu makali.pia husababiswa kukosa hamu ya tendo na upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuwa na damu thaifu iliopungukiwa seli nyekundu ambayo upelekea msukumo mdogo(uume kusimama legelege/kushindwa kurudia tendo/kuwahi kufika kileleni).

JINSI YA KUEPUKANA NA UGONJWA WA BAWASIRI
Njia bora ya kuepuka/kuzuia bawasiri ni kuweka kinyesi chako laini, kwa hivyo hupita kwa urahisi. Ili kuzuia bawasiri na kupunguza dalili za bawasiri, fuata vidokezo hivi:

1. Kula vyakula Asilia kwa wingi. Kula matunda zaidi, mboga mboga na nafaka nzima(zisizokobolewa). Kufanya hivyo kunalainisha kinyesi na kuongeza wingi wake, ambayo itakusaidia kuepukana na shida inayoweza kusababisha bawasiri.
2. Kunywa maji mengi. Kunywa glasi sita hadi nane za maji (au lita 2~3) na vimiminika vingine k**a chai au juisi za matunda halisi (sio pombe) kila siku kusaidia kuweka kinyesi laini.
3. Kula virutubisho vya nyuzi. Watu wengi hawapati kiwango cha nyuzi kilichopendekezwa – gramu 20 hadi 30 kwa siku – katika lishe yao. Uchunguzi umeonyesha kuwa virutubisho vya nyuzinyuzi, k**a vile psyllium (Metamucil) au methylcellulose (Citrucel), huboresha dalili za jumla na kutokwa na damu kutoka kwa bawasiri.
4. Vuta pumzi kisha shikilia pumzi yako wakati wa kujaribu kupitisha kinyesi kutengeneza shinikizo kubwa kwenye mishipa kwenye shimo la kutolea kinyesi puru ya chini.
5. Nenda haja mara tu unapohisi hamu. Ikiwa unasubiri na hamu inakwenda, kinyesi chako kinaweza kukauka na kuwa kigumu kupitisha.
6. Fanya mazoezi. Kua imara kunasaidia kuzuia kuvimbiwa na kupunguza shinikizo kwenye mishipa, ambayo inaweza kutokea kwa muda mrefu wa kusimama au kukaa. Mazoezi pia yanaweza kukusaidia kupoteza uzito kupita kiasi ambao unaweza kuchangia Bawasiri.
7. Epuka kukaa kwa muda mrefu. Kukaa muda mrefu sana, haswa kwenye choo, kunaweza kuongeza shinikizo kwenye mishipa kwenye sehemu ya haja.

TIBA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Ugonjwa wa Bawasiri unatibika vizuri ili mradi uwe unaweza kuzingatia, pia kufuatana na mda wa tatizo, ni Ugonjwa unao nyima raha kwa watu wengi japo mgonjwa anaendelea kufanya shuguli zake hii hufanya wengi kuto fanya uamzi wa haraka kutibu mapema.

DAWA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Tuna dawa ya kutibu kabisa Ugonjwa wa Bawasiri ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kulingana na mda wa tatizo na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki moja MTU huanza kupona na kuonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa nakala ya mtindo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna baadhi ya mitindo ya maisha inaendelea kuongeza tatizo pia kuna mitindo inapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

Habar za wakati huu...!!?Fahamu changamoto tofauti tofauti ambazo zinaweza kukukumba na kuashiria kuwa unachangamoto ya ...
12/03/2022

Habar za wakati huu...!!?
Fahamu changamoto tofauti tofauti ambazo zinaweza kukukumba na kuashiria kuwa unachangamoto ya nguvu za kiume na zimeathiri uume wako K**a mwanaume...Fuatilia nakala hii👇

Habar...!?*FAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGE...
12/03/2022

Habar...!?

*FAHAMU VIZURI MISULI HII INAYOSHIKILIA UUME NA KUUFANYA UUME USIMAME IMARA ZAIDI KWA MUDA MREFU PASIPO KULEGEA AU KUSINYAA.*

*Pelvic floor muscle.*
Ni msuli ambao umeshikilia Uume,Wakati uume unasimama ndio unawezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu.

Ikiwa Ni Dhaifu uume unasimama kwa muda mfupi unalegea hatimaye uume unasinyaa .

*Msuli*
👉🏾 huu umeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo. Kuna vitu ambavyo hulegeza msuli huu na kuufanya kuwa Dhaifu ;

*Moja,👇🏻*
Bawasili -kutokwa na vinyama sehemu za haja kubwa.

*Mbili,👇🏻*
Kuvimbiwa tumbo linavyojaa gesi baada ya kushindwa kumeng'enya chakula Fulani,Basi msuli huu hulegea.

*Tatu,👇🏻*
Kupata Choo kigumu ,Yani ukienda chooni unatumia nguvu nyingi kusukuma haja kubwa.

*Nne,👇🏻*
Kujichua/punyeto.Punyeto pia husababisha msuli huu kulegea ,na Dalili inaonyesha Wakati wa kutoa mbegu za kiume Yani shahawa utakuta hazitoki kwa kasi ,haziruki zinafanya kudondoka K**a matone ya mvua.Yani zinadondoka tu.

*Tano,👇🏻*
Uzito mkubwa/kitambi pia hulegeza msuli huu.Ndio maana wenye vitambi wengi uume ni mdogo umezama kwa ndani

Mengine k**a kisukari,presha,stress n.k

Zaidi tibu magonjwa yanayokusumbua k**a yaliyotajwa hapo juu.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Minah_afyayangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Minah_afyayangu:

Share