
30/09/2025
TIBA YA UVIMBE KATIKA KIZAZI (fibroids):
FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini kupata ugonjwa huu wa fibroids.
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubalehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwa unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.
Dalili za fibroids;
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi.
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasound ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez kumudu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu k**a tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote k**a uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.
Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo?
Kumbuka uvimbe huu sio kansa hivyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauriwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.
UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.
Sasa kwa kuliona hilo suluhisho lako lipo, tuna dawa ambayo imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa syrup na nyingine ni yaunga ambayo imetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha. Dawa hiyo ni mchanganyiko wa dawa asilia za kisunnah na kiarabu ambao hauna sumu au madhara yoyote mwilini. Ni dawa ambayo ina uwezo pia wa kuyayusha vijiwe ndani ya figo na kibofu cha mkojo, huzibua njia ya mkojo kwa wale wenye tatizo la kuziba kwa mkojo pamoja na kusafisha damu na mwili kwa ujumla.
Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% asili tupu (100% Natural) mimea ambayo imefanyiwa uchunguzi wa kina.
Hii dawa inayeyusha kabisa uvimbe wa fibroid bila madhara yoyote. K**a una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshirikishe kuokoa afya yake.
Kwa maoni, ushauri na tiba za matatizo mbalimbali ya kiafya k**a vile U.T.I, PID, presha, sukari, matatizo ya moyo, kuacha sigara na pombe, bangi na mirungi, kifua, pumu, vimbe mbalimbali, matatizo ya hedhi, figo, Ini, Moyo, bandama, matatizo ya mifupa, kiuno, mgongo, ganzi,, miguu, uzito mkubwa, unene, nguvu za kiume, tezi dume, vidonda vya tumbo,uzazi nk usisite kuwasiliana nasi kwa namba yetu +255755411190
Utapata dawa za aina mbalimbali kwa ajili ya maradhi tofauti, pia tuna vipodozi vya asili visivyokuwa na kemikali kwa ajili ya ngozi za aina zote ambavyo pia ni tiba ndani yake za matatatizo mbalimbali ya ngozi k**a vile chunusi, mabaka, fangasi, michiriz (stech mark) nk.
Pia tunatoa huduma ya kupiga chuku/hijama au kuumika kwa ajili ya maradhi sugu na ya kawaida.
Huduma zitakufikia popote ulipo iwe mkoani au nje ya nchi.
By; Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏾
Huduma kwa wateja:
📞+255 626 450 141
+255 755 411 190
AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUNAJALI AFYA ZENU