Haji TREVO

Haji TREVO haji abdi herbal dealing with research human herbal medicine

07/09/2017

K**a unajua mtu yoyote anayesumbuka na kidonda kisichopona kwa sababu ya sukari, Trevo ipo kwa ajili yake.K**a ni wewe hakikisha umejipatia chupa ya Trevo leo hii na k**a unafahamu mtu anayesumbuka na tatizo hilo, tumika kuokoa maisha yake na kurudisha furaha yake.Trevo kwa sasa inapatikana kwa bei rahisi kabisa, tumepunguza bei.Nipigie sasa nikusaidie 0717926306/0744803587

TREVO empower your health..trevo ni kimiminika chenye mchanganyiko wa matunda, pamoja na mboga mboga  chenye jumla ya vi...
29/08/2017

TREVO empower your health..
trevo ni kimiminika chenye mchanganyiko wa matunda, pamoja na mboga mboga chenye jumla ya virutubisho 174,

** ili mwili uwe na afya njema na kuweza kujikinga na magonjwa ni lazima seli za mwili ziwe na afya njema kwa kuhakikisha zinapata virutubisho vyote muhimu, hivyo basi kwa matumisi za trevo unaweza zifanya seli zako kuwa na afya njema na kusababisha mwili wako kuwa katika standard nzuri kiafya na kukuweza kufikikia ndoto zako kiurahisi kwa kuepuka na magonjwa kwan magonjwa yamekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwenye mafanikio,
** trevo hufanya kazi moja kwa moja kwenye seli za mwili hivyo basi husaidia kumpa mtu unafuu au kuona mabadiliko chanya ya afya yake kwa muda mfupi,
** trevo inanguvu kubwa sana ya kupambana na magonjwa sugu na kuondoa sumu mwilini kwa kiasi kikubwa sana..
** yafuatayo ni baadhi ya magonjwa ambayo hutibiwa kwa trevo kwa ufanisi wa hali ya juu sana

1.kansa
2.kisukari
3.kupoza
4.kuongeza kinga ya mwili (cd4) kwa kiasi kikubwa na kwa muda mfupi kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
5.aleji/allergy
6.matatizo ya kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7.magonjwa sugu ya ngozi
8.magonjwa ya macho
9.tatizo la kubalansi hormoni kwa wanawake ambao mzunguko wa siku zao hauleweki
10.kukua kwa mfuko wa uzazi
na mengine mengi sana

**TREVO hufanya kazi kwa haraka sana na kwa ufasaha , k**a maelezo au mahitaji ya trevo wasiliana nasi #0717926306,,,0717826306,,,0744803587,,,0744803587

FAIDA  ZA MAYAI KIAFYAMayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kul...
19/07/2017

FAIDA ZA MAYAI KIAFYA
Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kuliko vyote.
Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa.
Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai k**a zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani:
1. Mayai yana virutubisho vya kushangaza
Mayai ni moja ya vyakula vyenye virutubisho vizuri zaidi katika sayari dunia.
Yai moja zima lina viinilishe vyote vinavyohitajika kuibadili seli moja kuwa kifaranga cha kuku.
Yai moja kubwa lililochemshwa lina:
Vitamin A: 6%
Folate: 5%
Vitamin B5: 7%
Vitamin B12: 9%
Vitamin B2: 15%
Phosphorus: 9%
Selenium: 22% o
Mayai pia yana kiasi cha kutosha cha Vitamini D, Vitamini E, Vitamini K, Vitamini B6, kalsiamu na Zinki.
Yai moja pia linakuja na kalori au nishati 77, gramu 6 za protini na gramu 5 za mafuta yenye afya au mafuta safi kwa ajili ya mwili (healthy fats).
Mayai pia yana viinilishe vingine vidogo vidogo (trace nutrients) ambavyo ni mhimu kwa afya bora.
Hakika… mayai ni chakula ambacho ni karibu kimejikamilisha, mayai yana karibu kila aina ya kiinilishe mhimu tunachokihitaji kila siku.
2. Mayai huwa na kolesto nyingi lakini hayaathiri kolesto katika damu
Ni kweli kwamba mayai yana kolesto nyingi.
Ukweli ni kuwa, yai moja tu huwa na kolesto mg 212, ambayo ni zaidi ya nusu ya kiasi cha kolesto ambacho imependekezwa ule kwa siku ambacho ni mg 300.
Hata hivyo…ni mhimu kuelewa kuwa kolesto katika mlo huwa si lazima ipandishe kolesto ya kwenye damu.
Kwa kawaida Ini peke yake huzalisha kiasi kingi cha kolesto kila siku. Wakati tunapokuwa tumekula mayai zaidi, Ini lenyewe huzalisha kiasi kidogo zaidi cha kolesto ili kusawazisha hiyo tofauti.
Matokeo ya ulaji wa mayai hutofautiana toka kwa mtu mmoja hadi mwingine: Asilimia 70 ya walaji wa mayai hawapati kabisa kuongezeka kwa kolesto . Asilimia 30 ya walaji wanaripotiwa kuwa wanatokewa kuongezeka kwa kolesto
3. Mayai huuongeza Msongamano wa juu wa lipoprotini kolesteroli (Kolesto nzuri)
Mayai huuongeza Msongamano wa juu wa lipoprotini kolesto ijulikanayo kwa kiingereza k**a ‘High Density Lipoprotein’ (HDL). Ambayo hujulikana k**a ni kolesto nzuri, maana kuna kolesto nzuri na kolesto mbaya.
Watu wenye msongamano wa juu wa lipoprotini kolesto kwa kawaida huwa na uwezekano mdogo wa kupatwa na maradhi k**a ugonjwa wa moyo, kiharusi (stroke) na matatizo mengine mengi ya kiafya.
Kula mayai ni njia nzuri ya kuongeza msongamano wa juu wa lipoprotini kolesto.
Katika moja ya majaribio; kula mayai 2 kwa siku kwa wiki 6 kuliwezesha kuongezeka asilimia 10 ya msongamano wa juu wa lipoprotini kolesto.
4. Mayai yana kiinilishe mhimu sana kiitwacho ‘Choline’
Choline ndicho kiinilishe mhimu kabisa ambacho watu wanakikosa na watu wengine hawana habari kabisa juu ya uwepo wake.
Ndiyo, ni kiinilishe mhimu zaidi na mara nyingi hupangwa pamoja na vitamini za kundi B.
Hiki ni kiinilishe kinachopatikana katika mayai ambacho kazi yake kuu mwilini ni kutengeneza ukuta wa seli na kinacho kazi pia ya kutengeneza molekuli za hisia katika ubongo na kazi zingine nyingi.
Tafiti zinaonyesha zaidi ya asilimia 90 ya watu wanapata kiasi kidogo cha choline kati ya kile ambacho kimependekezwa kila mmoja ale kwa siku.
Yai zima, lote, ni chanzo kizuri cha choline.
Yai moja huwa na zaidi ya mg 100 za kiinilishe hiki mhimu ambacho watu wengi hawakijuwi.
5. Mayai hubadili msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto
Msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto au kwa kiingereza ‘Low Density Lipoprotine’ (LDL) ndio ambao hujulikana k**a ni kolesto mbaya.
Inajulikana wazi, kuwa na msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto huleta uwezekano wa hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo.
Lakini kile watu wengi hawakifahamu ni kuwa huu msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto umegawanyika tena katika matawi madogo ambayo yanafanya jumla ya chembe chembe za msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto.
Kuna msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto mdogo, kuna msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto wa kati na kuna msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto mkubwa zaidi katika hizo chembe chembe zinazounda msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto.
Tafiti nyingi zimeonyesha kuwa watu wenye msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto mdogo kwa muda mrefu, na msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto wa kati ndio ambao huwa na hatari kubwa zaidi ya kupatwa na ugonjwa wa moyo kuliko watu wenye chembe chembe nyingi za msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto mkubwa zaidi.
Hata k**a mayai huwa na uwezo kidogo wa kuongeza kiasi cha msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto katika baadhi ya watu, tafiti zinaonyesha kwamba chembe chembe hizo hubadilika toka katika usawa mdogo hadi katika usawa wa kati hadi kuja kuwa katika usawa mkubwa ambao ni jambo zuri.
6. Mayai huondoa sumu na kusaidia kuongeza nuru ya macho
Moja ya matokeo ya kuzeeka ni macho kupoteza uwezo wake wa kuona vizuri.
Kuna viinilishe kadhaa ambavyo vinaweza kusaidia macho yetu kubaki na nuru na uwezo mzuri zaidi kwa miaka mingi hata uzeeni.
Moja ya viinilishe viwili mhimu zaidi katika kufanya kazi hiyo ni hivi vijulikanavyo k**a Lutein na Zeaxanthin vipatikanavyo katika mayai, ambavyo ni viuaji sumu vyenye nguvu au vyenye kazi ya kuondoa sumu ambavyo hujijenga katika retina ya jicho.
Tafiti zinasema matumizi ya kutosha ya viinilishe hivi viwili yanaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupatwa na ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataract).
Kwa ujumla kiini cha yai kina kiasi kingi kabisa cha Lutein na Zeaxanthin.
Katika moja ya jaribio, ulaji wa 1.3 wa kiini cha mayai kwa siku kwa wiki 4 ulionyesha kuongezeka kwa kiasi cha usawa wa Lutein kwa asilimia 28 hadi 50 na Zeaxanthin kwa asilimia 114 hadi 142.
Mayai pia yana kiasi kingi cha vitamin A. Upungufu wa vitamin A ndicho chanzo kikuu cha upofu katika sehemu nyingi duniani.
7. Mayai yenye kiasi kingi cha Omega-3 husaidia kupunguza mafuta yapatikanayo katika damu (triglycerides);
Kwa hakika, haijalishi ni chakula gani tunakula … tunaangalia pia ni vyakula gani ambavyo tunakula na tumekula.
Katika hili, ni kuwa siyo mayai yote ya kuku yapo sawa na ni mazuri. Viinilishe vilivyomo kwenye yai vinategemea ni kwa namna gani kuku waliotaga hayo mayai walikuwa wakilishwa nini na wamekua katika mazingira gani.
Mayai toka kwa kuku ambao wanafugwa vizuri na wanapewa vyakula vyenye Omega-3 hutokea kuwa na asidi mafuta mhimu zijulikanazo k**a ‘Omega-3 fatty acids’.
Asidi mafuta Omega-3 zinajulikana katika kupunguza usawa wa mafuta yapatikanayo katika damu (triglycerides), ambayo yanahusika sana na ugonjwa wa moyo.
Tafiti zinaonyesha kwamba ulaji wa mayai yenye asidi mafuta Omega-3 ni njia nzuri zaidi katika kupunguza mafuta yapatikanayo katika damu.
Katika moja ya majaribio, ulaji wa mayai matano tu yenye asidi mafuta Omega-3 kwa wiki kwa muda wa wiki tatu kulipunguza mafuta yapatikanayo katika damu (triglycerides) kwa asilimia 16 hadi 18.
8. Mayai yana protini yenye ubora wa hali ya juu na amino asidi mhimu kwa uwiano mzuri
Protini ndiyo matofali mhimu zaidi katika ujenzi wa mwili wa binadamu.
Protini hutumika kutengeneza aina zote za tishu na molekuli ambazo ni mhimu katika ujenzi na ufanyaji kazi wa mwili.
Kupata kiasi cha kutosha cha protini katika mlo wako ni mhimu sana na tafiti zinaonyesha kiasi cha protini ambacho kimependekezwa kuwa ndicho unachopaswa kula kila siku chaweza kuwa ni kidogo sana.
Ndiyo… mayai ni chanzo kizuri kabisa cha protini, huku yai moja likiwa na gramu 6 za protini.
Mayai yana amino asidi zote mhimu zaidi kwa usawa mzuri na hivyo mwili wetu unakuwa umehakikishiwa utumikaji wa protini hiyo ipatikanayo katika mayai.
Kula kiasi cha kutosha cha protini kunaweza kuwa msaada katika kupunguza uzito, kuongeza uwingi wa mishipa, kupunguza shinikizo la juu la damu na kuimarisha afya ya mifupa, kwa kuyataja machache kati ya mengi ya faida ya ulaji wa kutosha wa protini.
9. Mayai hayaleti ugonjwa wa moyo na yanaweza kupunguza hatari ya kupatwa na kiharusi (Stroke)
Kwa karne nyingi au kwa miaka mingi sasa mayai yamekuwa yakisemwa vibaya sana bila sababu yoyote yenye ukweli.
Imekuwa ikiaminiwa kwamba kwa sababu mayai yana kiasi fulani cha kolesto ndani yake basi lazima yatakuwa ni mabaya kwa afya ya moyo!
Tafiti nyingi zilizofanywa katika miaka ya karibuni zimejaribu kuangalia uhusiano uliopo kati ya ulaji wa mayai na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo.
Katika uchunguzi mmoja ukihusisha tafiti 17 katika jumla ya watu 263,938, hakuna uhusiano wowote ulioonekana kuwepo baina ya ulaji wa mayai na ugonjwa wa moyo.
Tafiti nyingi zaidi na zaidi zimeendelea kutoa hitimisho hili moja linalofanana.
Ingawa… baadhi ya tafiti zimeweza kuonyesha kuwa watu wenye kisukari hasa wenye kisukari cha aina ya pili wanaokula zaidi mayai wanakuwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo.
Iwe ni kweli kwamba mayai yanasababisha kuongezeka kwa hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo bado hili halijulikani, sababu tafiti za namna hii huwa zinaonyesha tu uhusiano wa kitakwimu, tafiti hizo huwa haziwezi kuthibitisha kwamba ni mayai ndiyo yamesababisha chochote.
Inawezekana kwamba baadhi ya wagonjwa wa kisuakri wana uelewa mdogo juu ya mambo mhimu kuhusu afya zao.
Katika mlo ambao inahimizwa kuepuka vyakula vya wanga, mlo ambao ndiyo watu wenye kisukari hushauriwa kuishi hivyo, ulaji wa mayai ungeweza kuwa ni msaada katika kuepuka hatari za kupatwa na ugonjwa wa moyo.
10. Mayai humtosheleza mlaji kwa haraka na hivyo kusaidia kupunguza uzito
Kwa hakika mayai ni matamu sana!
Ni chakula chenye protini ya kutosha… na kwa hakika protini ndiyo sehemu mhimu zaidi katika lishe.
Mayai yanashikilia alama ya juu kabisa katika kipimo kijulikanacho k**a ‘Satiety Index’, ambacho kinapima uwezo wa chakula katika kumtosheleza na kumlidhisha mlaji huku yakiepusha ulaji wa kuzidi wa kalori.
Katika utafiti mmoja uliohusisha wanawake 30 wenye uzito uliozidi, kitendo cha kula mayai asubuhi badala ya mkate kiliwaongezea hisia za kujisikia kutosheka na hivyo moja kwa moja (automatically) wakafanikiwa kuwa wanakula chakula kiasi kwa masaa 36 yaliyofuata.
Katika jaribio lingine, kitendo cha kubadili kula mayai badala ya mkate katika mlo wa asubuhi kilisababisha kupungua uzito kwa haraka ndani ya kipindi cha majuma 8 tu.
NAMNA YA KUJUWA IWAPO MAYAI NI FRESHI AU LA
Utajuwaje k**a haya mayai ni freshi au ni mapya kwamba yatakuwa hayajaharibika ndani yake?
Fanya hivi; weka maji ndani ya kindoo kidogo au hata katika bakuli kubwa, tumbukiza yai, ikiwa yai litakwenda moja kwa moja chini hilo ni yai zuri, ikiwa linaelea katikati ya maji hilo ni zuri lakini linatakiwa litumike haraka na ikiwa linaelea tu hapo juu ya maji hilo ni la kutupwa tu tayari limeshakuwa bovu.
UJUMBE MHIMU KUHUSU ULAJI MAYAI
Tafiti zinaonyesha ulaji wa mayai hadi matatu kwa siku ni salama kabisa kwa afya.
Hakuna ushahidi kwamba kula kwa kiasi hicho ni vibaya. Mimi binafsi ninakula wastani wa mayai 3 hadi 6 kwa siku na afya yangu ipo safi kabisa.
Ndiyo … mayai ni chakula cha asili ambacho ni safi kabisa.
Zaidi ya yote, mayai pia yanauzwa bei rahisi, ni rahisi kuyapika na yanaweza kulika karibu na kila chakula na yana ladha ya kipekee yawapo mdomoni.
Mayai mazuri, safi na salama kwa afya yataendelea kuwa ni mayai ya kuku wa kienyeji, yaani hawa kuku wetu wa kitanzania, wa asili.

16/07/2017

HAYA NDIYO MAAJABU 24 YA ASALI YENYE MDALASINI ULIKUWA HUYAJUWI BADO
Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali k**a tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kwa kutumia asali.
Inapotokea dawa za asili mbili zinachanganywa pamoja katika uwiano fulani, hutokea kuundwa dawa nyingine nzuri ambayo ni tiba kwa maradhi mengi sana. Moja kati ya muunganiko wa dawa hizo za kushangaza ni pale asali inapochanganywa na mdalasini.
Muunganiko huu umekuwa ukitumika kwa karne nyingi kutibu magonjwa mengi mwilini na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Watu wengi wanakiri maajabu yaliyomo kwenye hii dawa asili ASALI YENYE MDALASINI.
Dawa hii ya asili ni maarufu kwa maelfu ya miaka katika tiba asili za China (Traditional Chinese Medicine - TCM), Ugiriki (Unani Medicine), India (ayurvedic) na Mashariki ya kati (The science of medicines based on natural treatment in the East - Tibb).
Kwa mjibu wa wataalamu wa tiba asili nchini China, mdalasini huongeza joto mwilini. Mdalasini hutengeneza joto mwilini lijulikanalo kwa kichina k**a “yang”. Yang hutibu “yin” (yin kwa kichina humaanisha baridi). Wakati asali yenyewe kwa asili huweka sawa usawa wa joto na baridi mwilini.
Haya ndiyo maajabu 24 ya asali yenye mdalasini ulikuwa huyajuwi bado
1. HUUA BAKTERIA
Asali ina sifa ya kudhibiti bakteria. Nadharia hii inathibitishwa na tafiti nyingi kadhaa. Asali hupigana dhidi ya maambukizi ya ndani na ya nje. Mdalasini pia una sifa ya kuondoa vivimbe, pia huondoa sumu mwilini. Vinapoungana vitu hivi viwili vya asili vinatengeneza muungano mmoja mhimu wa dawa dhidi ya maambukizi ya nje.
2. NZURI KWA UGONJWA WA MOYO
Chakula sahihi, mazoezi ya viungo, na kuepuka kukaa kwenye kiti masaa mengi ni mhimu kwa ajili ya kuwa na afya nzuri ya moyo.
Kunywa kinywaji chenye asali yenye mdalasini mara kwa mara kunaweza kusaidia kuepuka ugonjwa wa moyo kwa kuzuia kuzibika kwa ateri.
3. INATIBU MAAMBUKIZI KWENYE KIBOFU CHA MKOJO
Asali yenye mdalasini ni dawa bora sana kwa kutibu maambukizi kwenye kibofu cha mkojo na bakteria wowote wanaoweza kushambulia kibofu cha mkojo.
Mchanganyiko huu unasafisha kibofu na kukiacha safi hivyo kukupa mazingira ya kutokuumwa lolote katika kibofu chako cha mkojo.
4. TIBA YA BARIDI YABISI (Arthritis)
Watu wengi wanaripoti matokeo mazuri baada ya siku chache tu za kutumia kinywaji hiki chenye mchanganyiko wa asali yenye mdasini kutwa mara 2.
Ili kutibu baridi yabisi ongeza kijiko kidogo kimoja cha mdalasini ya unga na kijiko kikubwa kimoja cha asali mbichi ndani ya glasi 1 ya maji ya uvuguvugu na unywe nusu glasi kabla ya chakula cha asubuhi na nusu glasi nyingine kabla ya kwenda kulala.
Utafiti huo ulifanyika katika chuo kikuu cha Copenhagen ambako wanafunzi walipewa asali yenye mdalasini ili kutibu baridi yabisi. Baada ya wiki 1 iligundulika kuwa wanafunzi 73 kati ya 200 walikuwa hawaonyeshi dalili tena za ugonjwa huo. Baada ya mwezi mmoja kila mmoja alikuwa amepona na kuwa na uwezo wa kutembea na kufanya kazi.
5. HUTIBU FIZI KUTOA DAMU
Watafiti nchini New Zealand wamegundua kuwa asali mbichi ikichanganywa na mdalasini inaleta ufanisi mkubwa dhidi ya fizi kutokwa damu, kuuma fizi, ganzi kwenye meno na maambukizi mengine katika fizi.
Unaweza kupakaa kwenye mswaki na utumie k**a dawa yako ya kusafisha meno ili kupata faida hii.
6. INATIBU MENO YANAYOTOBOKA
Hii kidogo inashangaza. Watafiti katika jiji la New York nchini Marekani wanasema asali inaweza kusababisha meno kutoboka. Hata hivyo wanasayansi wengine nchini New Zealand wanasema asali inaweza kuwa msaada katika kuzuia meno kutoboka kutokana na sifa yake ya kuua bakteria mbalimbali.
Namna rahisi ni kutumia mchanganyiko wa asali yenye mdalasini k**a dawa yako ya meno utumie kusafisha meno yako ili kuepuka meno kutoboka na kuoza pia.
7. HUSAIDIA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA
Husafisha utumbo mpana kwa kuondoa sumu na taka nyingine. Husaidia uzalishwaji wa bakteria wazuri kwenye utumbo mpana na k**a matokeo yake huusadia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
8. HUONDOA GESI TUMBONI
Asali yenye mdalasini husaidia kulinda tumbo kwa kufunika kuta za tumbo. Kwa kusafisha mfumo wa bakteria wabaya huwa imesaidia kutibu maambukizi yoyote na hivyo kusaidia kutibu tatizo la tumbo kujaa gesi na asidi.
9. HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO
Kuna shuhuda nyingi zisizotiliwa shaka juu ya ufanisi wa asali yenye mdalasini katika kupunguza uzito. Asali na mdalasini vinapotumika pamoja, mchanganyiko huo huchoma mafuta kwa haraka sana.
Wakati huo huo mchanganyiko huu hushusha njaa na hivyo kumfanya mtu kujisikia ameshiba muda mrefu.
Angalizo hata hivyo, asali ni tamu na ina nguvu (kalori), hivyo ili kupunguza uzito unashauriwa usitumie zaidi ya vijiko vikubwa vitatu vya mchanganyiko huu ndani ya glasi moja ya maji ya uvuguvugu kwa siku, Ukizidisha tu unaweza kuongezeka uzito tena.
10. HUONGEZA AKILI
Watu wengi wanaripoti kuwa asali yenye mdalasini inawaongezea uwezo wao wa kukumbuka vitu. Asali yenye mdalasini hongeza uwezo wa ubungo kufanya kazi na kuongeza uwezo wa kumbukumbu.
11. HUTIBU KANSA
Ingawa bado haijathibitishwa kisayansi ni jinsi gani asali yenye mdalasini inatibu kansa lakini uwezo wake wa kuondoa sumu na vimelea vingine vya magonjwa (free radicals) kunaifanya kuwa na sifa hiyo ya kutibu kansa.
Baadhi ya watu wameripoti kupona kansa ya t**i na kansa ya utumbo mpana kwa kutumia asali yenye mdalasini.
12. INAONGEZA NGUVU YA MWILI
Asali ina madini na vitamini nyingi ndani yake, wakati mdalasini wenyewe una kalsiamu, chuma, vitamini C, vitamini K, manganizi na nyuzinyuzi (fiber).
Vinapoungana vitu hivi viwili hufanya dawa moja mhimu sana ya kuongeza kinga ya mwili. Kunywa chai yenye asali na mdalasini mara kwa mara kunaongeza kinga ya mwili, nguvu ya mwili na nguvu ya ubongo kwa pamoja.
13. HUTIBU CHUNUSI
Kupakaa asali yenye mdalasini kwenye ngozi yako yenye chunusi kutaondoa chunusi hizo bila kuchelewa. Asali hudhibiti bakteria na mdalasini hudhibiti maambukizi kwenye ngozi na huondoa sumu.
Mchanganganyiko huu husaidia asali kubaki juu ya ngozi kwa muda mrefu na hivyo kufanya uponyaji unaohitajika.
14. HUTIBU KIKOHOZI
Kuinywa asali yenye mdalasini ndani ya glasi ya maji ya uvuguvugu hupunguza vyote kikohozi na kikohozi kikavu. Husafisha msongamano kohoni na kutibu kikohozi cha kawaida na hata kile kikavu.
15. HUZUIA MADHARA YA KUNG'ATWA NA WADUDU
Ni nzuri kwa ajili ya uvimbe au kuondoa maumivu yatokanayo na kuumwa na wadudu. Chukua kijiko kidogo kimoja cha asali na uchanganye ndani ya vijiko vidogo viwili vya maji ongeza na mdalasini ya unga nusu kijiko cha chai na upake juu ya sehemu ulipong’atwa na mdudu.
Maumivu hayo yataondoka mara moja.
16. HUSAIDIA KUOTESHA NYWELE
Changanya kijiko kidogo kimoja cha asali ndani ya ujazo sawa wa mafuta ya zeituni na uongeze kijiko kidogo cha chai tena cha mdalasini ya unga kwenye huo mchanganyiko.
Pakaa mchanganyiko huo kichwani sehemu ambako nywele zimeanza kupotea na uache kwa dakika 15 kisha jisafishe na maji ya uvuguvugu na shampoo ya asili.
17. HUTIBU LEHEMU (Cholesterol)
Matumizi ya mara kwa mara ya asali yenye mdalasini husaidia kupunguza lehemu. Pia husaidia kushusha shinikizo la juu la damu na kusafisha ateri zinazoziba.
Pia kubadili matumizi ya mafuta mengine na kuamua kutumia mafuta ya zeituni kutarahisisha kuweka sawa kolesto yako kirahisi zaidi.
18. HUTIBU MAUMIVU YA JINO
Changanya kijiko kidogo kimoja cha chai cha mdalasini ya unga na vijiko vikubwa viwili vya asali mbichi na upake kidogo kidogo juu ya jino linalouma mara kadhaa kwa siku kila siku mpaka maumivu yatakapopotea.
19. HUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI
Changanya kijiko kikubwa kimoja cha asali na kiasi kingine sawa cha mdalasini ya unga ndani ya maji glasi moja ya uvuguvugu na unywe mara tu ukiamka asubuhi.
Hii itakutibu tatizo la harufu mbaya mdomoni na utapumua vizuri bila shida yoyote.
20. HUTIBU UANITHI NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Jaribu na uone tofauti! Changanya vijiko vikubwa vitatu vya asali yenye mdalasini ndani ya glasi moja ya maji ya uvuguvugu na uache mchanganyiko huo kwa dakika 15 hivi.
Kunywa nusu glasi asubuhi kabla ya chakula cha asubuhi na nusu nyingine kabla ya kwenda kula kwa siku kadhaa hata wiki kadhaa.
21. HUONGEZA KINGA YA MWILI
Ongeza kinga yako ya mwili na magonjwa hayatakugusa. Vyote asali na mdalasini hupigana dhidi ya bakteria na virusi na hivyo kufanya dawa nzuri ya kupigana na kuua bakteria wabaya na virusi.
Asali pia ina madini na vitamini mhimu nyingi hivyo kuupa mwili viinilishe mhimu unaovihitaji.
22. HUTIBU MAFUA
Tumia mchanganyiko wa kijiko 1 cha chakula cha asali yenye mdalasini ndani ya glasi moja ya maji ya uvuguvgugu kutwa mara moja kila siku kuondoa chafya na kuvimba koo.
23. HUTIBU UGUMBA
Asali inaaminika kuamsha hamu ya mapenzi. Wapenzi wa jinsia zote wanashauriwa kunywa walau vijiko viwili vya chakula kila siku kabla ya kwenda kulala kila siku.
Mdalasini umetumika miaka mingi katika dawa za kichina na kihindi kuongeza uwezo wa uzazi kwa akina mama wenye kuhitaji kuzaa.
24. FAIDA NYINGINE LUKUKI
Kumbuka asali ni dawa karibu kwa kila ugonjwa na watu wamekuwa wakiitumia kutibu magonjwa mengine mengi bila idadi ikiwemo matatizo ya kisukari, kukak**aa kwa miguu na mikono, udhaifu wa jumla wa mwili, kuongeza kumbukumbu, vidonda vya tumbo, kutibu majeraha nk nk
NAMNA YA KUANDAA NA KUITUMIA ASALI YENYE MDALASINI
Kwenye lita 1 ya asali ongeza vijiko vikubwa vitano vya mdalasini ya unga na ukoroge vizuri kabla ya kuutumia. Uhifadhi mchanganyiko huu kwenye bakuli kubwa ili iwe rahisi kuukoroga tena vizuri kila unapotaka kuutumia.
Unaweza kuutumia katika maji au wenyewe k**a ulivyo ukipaka juu ya ngozi au ukitumia kwenye vyakula k**a mkate na kadharika. K**a utakunywa basi vijiko vikubwa vitatu ndani ya maji ya uvuguvugu glasi moja kwa siku inatosha.
ANGALIZO KUHUSU MDALASINI FEKI:
Kabla sijakuacha, ni mhimu sana nikueleweshe juu ya mdalasini hasa ambao hutumika k**a dawa. Siyo kila mdalasini unaouona unaweza kukupa maajabu haya, mwingine ni sumu kabisa mwilini. Na watu wengi hawajuwi hili jambo.
Angalia picha zake hapa => goo.gl/6TND1N
(a) Ceylon cinnamon
Mdalasini ambao hutumika k**a dawa hujulikana kwa kitaalamu k**a ‘Ceylon cinnamon’ na kwa kawaida wenyewe huuzwa gharama sana. Huwa na radha tamu na harufu ya kuvutia zaidi, unatoka katika nchi ya Sri Lanka katika mmea ujulikanao k**a Cinnamon Zeylanicum. Hujulikana pia k**a mdalasini wa India.
Huwa na rangi ya kahawia (light brown), mwembamba na mlaini.
(b) Cassia cinnamon
Wakati ule ambao ni feki na ni sumu pia hujulikana k**a ‘Cassia cinnamon’ ni mdalasini huu ambao katika baadhi ya nchi umepigwa marufuku kutumika wala kuingizwa nchini mwao. Hujulikana pia k**a mdalasini wa China na wengine huuitwa Saigon.
Mdalasini huu unatoka katika nchi za China, Vietnam na Indonesia. Wenyewe huwa una joto zaidi na huwa na radha kali na ya kuwasha ukiutumia. Madhara yake ni pamoja na kudhuru Ini na figo ukitumika kwa kipindi kirefu.
Cassia cinnamon huuzwa bei rahisi sana na mwingi unaopatikana huko masokoni ni huu. Huwa na rangi inayokaribia na uweusi.
Kwa kawaida ni vigumu kutofautisha aina hizi mbili za mdalasini ukishakuwa tayari katika mfumo wa unga tofauti na ukiwa bado katika fimbo au magome. Mhimu ni ununuwe kutoka kwa mtu unayemuamini zaidi.
ANGALIZO KUHUSU ASALI FEKI:
Napenda kukufahamisha kuwa miaka ya karibuni kumejitokeza baadhi ya wafanyabiashara kutengeneza asali feki kwa kutumia maji ya miwa na sukari guru au kuongeza maji na vimiminika vingine ndani ya asali ili wajipatie faida kubwa, endapo utatumia asali ya namna hii basi utakuwa ukiihatarisha afya ya mwili zaidi badala ya kujitibu.
Zifuatazo ni mbinu za kuitambua asali ambayo ni salama kwa maana ya kwamba haijachakachuliwa:
* Weka maji kwenye glasi na kisha mimina asali ndani yake na kwamba ikikaa chini ya glasi bila kuchanganyana na maji basi hiyo ni asali asilia na inakuwa haijachanganywa na chochote.
* Njia ya pili ni kuiweka asali kwenye njiti ya kiberiti na kisha kuiwasha hiyo njiti ya kiberiti, ikiwa njiti hiyo itawaka basi asali haijachakachuliwa kwa kuchanganywa na chochote lakini njiti ya kiberiti isipowaka asali hiyo inakuwa ni feki.
* Njia nyingine ni kuionja bidhaa hiyo na kwamba iliyochakachuliwa kwa kuchemshwa hutoa harufu ya moshi tofauti na ambayo ni halisi (original).
Ikiwa utahitaji asali iliyochanganywa tayari na mdalasini, niachie ujumbe WhatsApp 0717926306/0744803587

HAYA NDIYO MAAJABU 24 YA ASALI YENYE MDALASINI ULIKUWA HUYAJUWI BADOAsali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya a...
13/06/2017

Address

Markaz
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haji TREVO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share