01goodhealth

01goodhealth Sehemu pekee inayotoa suluhisho na thamani ya afya yako • BORESHA AFYA YAKO KILA SIKU

MYCHOCO ni mchanganyiko wa Virutubisho lishe mbalimbali ambavyo ni MUHIMU kwa afya ya mtoto wako & afya ya Mjamzito .  F...
22/03/2023

MYCHOCO ni mchanganyiko wa Virutubisho lishe mbalimbali ambavyo ni MUHIMU kwa afya ya mtoto wako & afya ya Mjamzito . FAIDA KUU ZA MYCHOCO NI

* Kuongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha kwaajili ya mtoto wako*
*Husaidia katika ukuaji wa ubongo wa mtoto aliye tumboni kwani ina Virutubisho vya DHA * FATILIA FAIDA ZAIDI KATIKA PICHA HIZI

Tupigie kwa 0786016002 kwa mahitaji ya MYCHOCO & Ushauri

03/01/2023

Comment kutoka kwa ndugu yetu aliyetumia Tibalishe ya COMPLETE ❤️

02/12/2022
UGONJWA WA KISUKARI Uhonjwa huu una aina mbili *Kisukari aina ya 1 & Kisukari aina ya 2*  Katika ugonjwa wa Kisukari ain...
05/11/2022

UGONJWA WA KISUKARI
Uhonjwa huu una aina mbili *Kisukari aina ya 1 & Kisukari aina ya 2* Katika ugonjwa wa Kisukari aina ya pili seli za mwili haziathiriki na insulin inavyopaswa .Insulin ni homoni inayozalishwa na kongosho ili kuitayarisha sukari iliyopo kwenye damu kutumika k**a chanzo cha nguvu mwilini kupitia seli . Hivyo sukari iliyopo kwenye damu hushindwa kuingia kwenye seli na kufanya kiwango cha sukari kwenye damu kuwa juu na hii huwa ni HARARI⚠️ kwa binadamu

✅ DALILI kuwa mtu ana Kisukari aina ya 2 huwa ni Kuwa na mkojo mwingi pia kukojoa mara kwa mara , Uzito kupungua kwa kasi , Uchovu , kuwa na kiu kuliko kawaida ambayo huambatana na kunywa maji mengi , magonjwa ya kibofu , mwili kuwa na ganzi , Kuwa na uwezo hafifu wa kuona

📌MUHIMU .
Tafiti zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya watanzania wenye umri wa miaka 25 nakuendelea wana ugonjwa wa kisukari & Idadi hiyo inazidi kuwa kubwa kila siku

TIBA & KINGA
Kisukari aina ya 2 huweza kuzuiliwa kwa kula lishe nzuri kiafya, kufanya mazoezi mara kwa mara pia kwa usaidizi na elimu watu hujifunza kudhibiti kiwango cha sukari vizuri na kuepuka madhara zaidi

✅Hatua ya kwanza na ya kipekee katika kuzuia & kutibu Kisukari ni kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu kwa kuboresha ufanisi kazi wa KONGOSHO ambayo kazi yake kuu ni kuweka kiwango cha sukari kwenye damu sawa , Katika kutumia lishe bora & tibalishe bora ya C24/7 yenye uwezo na virutubisho bora vyenye uwezo wa kurejesha ubora wa KONGOSHO mwili . Kongosho inaporejea kufanya kazi yake kwa ufanisi basi changamoto ya sukari utaanza kuisikia kwa jirani ,Pia ikumbukwe pia unapozuia & kupona Kisukari unaondoka na mateso ya mwili kupata ganzi, changamoto za presha , magonjwa ya moyo , magonjwa ya uzazi n.k

*Tibalishe ya C24/7 ndio Suluhisho PEKEE kwa changamoto ya kisukari *

Wasiliana Nasi 0786016002
Better health, better smiles 01goodhealth

Katika maswala nyeti wakati huu hatuwezi kupuuzia swala la AFYA YA UZAZI .Asilimia kubwa ya watu(wanawake) wanasumbuliwa...
08/09/2022

Katika maswala nyeti wakati huu hatuwezi kupuuzia swala la AFYA YA UZAZI .Asilimia kubwa ya watu(wanawake) wanasumbuliwa sana na changamoto za Uzazi haswa changamoto ya mirija ya uzazi kuziba , kujaa maji , kutoboka na sababu kuu ni Maambukizi katika sehemu hizo ,ikichangiwa na magonjwa k**a UTI & PID sugu .Lakini kwa upande mwingine Wanawake baadhi wamekuwa wanufaika wakubwa baada ya kupata suluhisho juu ya changamoto hizo za afya zilizokuwa kero & zinazoleta fedheha zisizo na kikomo katika jamii kwani kero hiyo iliambatana na MIMBA KUHARIBIKA , UGUMBA , KUTOKWA NA HARUFU MBAYA CHANGAMOTO ZA HEDHI baada kutumia virutubisho lishe (CPE Dose) na changamoto zao kuisha

CPE Dose imekuwa Suluhisho PEKEE kwa Changamoto zoote za afya ya mwanamke, k**a unasumbuliwa Mimba kuharibika , MIRIJA ya uzazi kuziba & kujaa maji, PID sugu tiba hii itakusaidia Sana

Wasiliana Nasi kwa 0786016002
Kupata ushauri & tiba ya kipekee

Ushawahi kuskia Juu ya ( RESTO DIABETES) ambayo ni Suluhisho pekee kwa Changamoto za afya k**a vile Kisukari, magonjwa y...
18/07/2022

Ushawahi kuskia Juu ya ( RESTO DIABETES) ambayo ni Suluhisho pekee kwa Changamoto za afya k**a vile Kisukari, magonjwa ya moyo & figo n.k ?? Fatilia Zaidi 👇🏾

RESTO DIABETES ni Dose pekee kwa mgonjwa wa Kisukari , figo & Kisukari ambayo hufanya Kazi zifuatazo mwilini mwako,

Itakusaidia kutibu matatizo ya macho uliosababishwa na ugonjwa wa Kisukari kwa kurekebisha mishipa ya damu kwenye macho , Hivyo kurudisha uwezo wako wa kuona vizuri & kukuepusha na upofu ( PRESHA YA MACHO)

Itakusaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza mara dufu uwezo wa mwili kupona, hii itakufanya kukuepusha na magonjwa mbalimbali & pia uwezo wa mwili kupona haraka unapopatwa na vidonda

Itakusaidia kubiresha & kurejesha ufanisi wa KONGOSHA ambayo hufanya kazi ya kuweka sawa kiwango cha maji, sukari mwilini , hivyo kukuepusha na ukavu wa ngozi & magonjwa ya moyo (BP ) ,

Itakusaidia kukuepusha & kutibu magonjwa ya figo yaliyochangiwa na kuwa na sukari nyingi mwilini & maji ambayo inakufanya kukojoa mara kwa mara , na hivyo kukuboresha afya yako ya figo

✍🏾RESTO DIABETES ina virutubisho vya ANTI AGING & , ANTI INFLAMMATORY ambavyo vina sifa kuu ya kutibu & kuzuia vimbe mbalimbali mwilini, kuondoa mafuta mabaya mwilini & kurejesha upya ufanisi kazi wa KONGOSHO , FIGO , MISHIPA YA DAMU , hivyo kuimarisha afya yako ya Moyo , figo , macho

Tumia RESTO DIABETES Dose sasa, , Rejesha furaha yako , Kwa sasa tumepunguza gharama na utaipata RESTO DIABETES kwa Tsh 250,000 tuu badala ya Tsh 330,000 mpaka tarehe 30/7/2022

Wasiliana Nasi kwa 0786016002
01goodhealth

Katika post yangu ya mwisho nilikupa shuhuda iliyogusa maisha ya watu wengi & kuamini kuwa changamoto za figo zinaweza s...
05/07/2022

Katika post yangu ya mwisho nilikupa shuhuda iliyogusa maisha ya watu wengi & kuamini kuwa changamoto za figo zinaweza suluhishwa kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha na kwa kutumia Virutubisho tiba sahihi na hapo naongelea *CRC DOSE*

Leo tuone MATATIZO hatarishi yanayoambata na magonjwa ya figo & kuathiri maisha yako kiujumla

✍🏾Magonjwa ya moyo
Moja kati ya kazi za figo ni kukulinda na shinikizo la damu kwa kusawazisha maji , kemikali (SODIUM & POTASSIUM)& chumvi mwilini ambayo hufanya Kazi kwa kukupa msukumo bora damu hivyo figo ikishindwa fanya kazi yake huleta changamoto kubwa kwa ufanisi wa kazi ya moyo

✍🏾Kujaa kwa maji katika miguu, mikono, mapafu, na kufanya kuvimba kwa sehemu hizo kwa sababu figo imeshindwa kusawazisha kiwango cha maji & chumvi mwilini & kukupa changamoto katika kupumua & shughuli mbalimbali

✍🏾Huathiri mfumo wa neva ambayo husababishwa na kutopata hewa & damu ya kutosha kwa sababu ya mapafu kujaa maji & moyo kutosukuma damu kwa ufanisi , Changamoto hii husababisha kutokuwa na uwezo binafsi wa kufikiri

✍🏾 Huathiri & kushusha kinga yako ya mwili hivyo kukuweka katika hatari ya kupatwa na magonjwa mbalimbali kwa Unahisi

✍🏾Kwa wanaume Huathiri mfumo mzima wa uzazi kuanzia uwezo wa kujamiiana, kutungisha mimba (HUONDOA NGUVU ZA KIUME)

✍🏾Kwa wanawake Huathiri mfumo wako wa uzazi na kukupa changamoto mbalimbali za ujauzito & endapo utashika ujauzito kuna asilimia kubwa ya mimba kuharibika

✍🏾Figo zinaposhindwa kufanya Kazi yake kwa ufanisi huchangia kukua kwa ugonjwa wa KISUKARI (ugonjwa huu ni hatari zaidi) pia kwa asilimia kubwa ni chanzo cha magonjwa ya figo

*MUHIMU *
: Sababu zinazochochea magonjwa sugu ya figo

*Kisukari (Diabetes)
*Shinikizo la damu (High blood pressure)
*Uvutaji wa sigara
* Matumizi ya madawa yanayoathiri ufanisi kazi wa figo
*Uzee
* Magonjwa ya moyo
* Ulaji mbovu wa vyakula
* Matumizi ya Pombe

DONDOO ZA KUZINGATIA KWA AFYA BORA YA FIGO

01. Epuka matumizi makubwa na holela ya chumvi

02. Fanya mazoezi hii itakusaidia kuepuka shinikizo la damu

03. Zingatia unywa bora wa maji

Je Wewe ni mmoja wa watu ambao wanasumbuliwa na changamoto hii ,
PIGA 0786016002 kwa Tiba & Ushauri

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 01goodhealth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to 01goodhealth:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram