07/01/2023
Dr. Abdulkarim Mambo Saleh.
Al- Wastan Herbs ni watafiti na madaktari bingwa wa tiba asilia.
JE! NGOZI YAKO INA MATATIZO YA:-
Madoa meusi, Makunyanzi, Fangasi, Sunzua /Masundosundo (warts), Utango tango, Chunusi, Upele, Mba, Mapunye, Aleji, Miwasho, Ngozi iliyoungua na jua, Madhara ya kemikali kwenye ngozi au Mkorogo?
AL HIFADHAH LOTION NA SABUNI
zinalinda na kutibu magonjwa mengi ya ngozi na kufanya ngozi yako kuwa angavu, laini na kuvutia.
JE! NYWELE ZAKO ZINA MATATIZO YA:-
Kipara, Kupukutika au Kukatika, Mapunye (mashilingi), Mba na Miwasho?
AL HIFADHAH HAIR TONIC, SHAMPOO NA HAIR TREATMENT NI:-
Dawa za asili zenye uwezo mkubwa wa kukuza,kujaza na kutunza nywele,
Kuzuia kukatika kwa nywele pamoja na Kuondoa Mba na Miwasho.
Kwa Ushauri na Tiba salaama yenye uhakika fika kwenye kituo cha Dr. Abdulkarim Mambo Saleh, Kariakoo mtaa wa Mafia/Ukami , Dar es Salaam, Tanzania au Piga simu:- +255 787 111 990, +255 652 757 070,