02/03/2023
Wanaume wengi tumeishia kutokuona ubora wa wake zetu wakati wa tendo kwasababu ya ufinyu wa ufahamu kuhusu anayostahili kufanyiwa Mwanamke kabla ya tendo.
Yafuatayo unaweza kuyatumia kwa mwanamke wako ikiwa yatakusaidia basi ishi katika hayo.
1. Onyesha mapema dalili za kumhitaji kimapenzi.
Mwanaume anzia asbh kumuonyesha mkeo kuwa usiku wa siku hiyo utamhitaji kimapenzi, wanaume wengi tunafanya k**a dharura, unapanda kitandani na kuanzisha mada ya kutaka tendo, mwanamke hakujiandaa kwa hilo,
Asubuhi ukiaga ongea, ukiwa kazini chati naye (maneno ya kipuuzi) kuiweka akili yake katika uelekeo wa mapenzi.
2. Omba msamaha / Tafuta amani naye.
Ili mwanamke afunguke na akupe mapenzi ya moyoni lazima awe na amani nawe, k**a mlipishana kauli basi muhimu sana kuongea na kumaliza matatizo hayo, k**a ulimkosea basi kiri na omba radhi, hapo atakupa yote, mpaka kizazi utakigusa.
3. Mpe mahitaji yake.
Mwanaume wajibika kwa mkeo, tatua changamoto zake, k**a aliomba nguo, chakula fulani au mambo yake binafsi, basi tekeleza ili apate furaha, usimtake kimapenzi na mahitaji hujampa atahisi unajijali wewe tu, atakuwa na kinyongo.
4. Muandalie zawadi + Surprise
Pamoja na kumuandaa ajue unamhitaji usiku wa siku hiyo basi andaa zawadi yako special, unaweza kupitia dukani na kukinunua ambacho ulimsikia mara nyingi akisema anapenda kuwa nacho. Ukimpatia basi moyo wake unafunguka kwako.
5. Muandae kimwili na kisaikojia.
Hapa Mwanaume tenda mambo yanayoweza kujenga hisia zake na akafeel kupendwa, mlishe chakula, oga naye pamoja, mpake mafuta nk. Hayo yote yataamsha ashki zake na kujikuta akikupenda na kukuhitaji kimapenzi.
6. Ujuzi wa kumuandaa kabla ya tendo.
Mwanaume hata k**a hupendi kufundishwa vitu ila hii ni muhimu zaidi, fahamu unamuandaa vipi mwanamke wako kitandani awe tayari kwa tendo, muandae mpaka ifike mahali yeye kwa hiari yake aombe umpe mapenzi 😋
NB: Unaweza kufanya hayo mara 8 kwa mwezi mzima, itamarisha sana mahusiano ya mapenzi na hisia zenu.
Nashukuru kwa kusoma andiko hili, k**a una swali karibu kwenye kipengele cha comments
Karibu uendelee kujifunza masomo haya kupitia WhatsApp status bure 0622988689