14/09/2022
SULUHISHO MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA KWA NJIA YA ASILI. (0759420192)
ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA SULUHISHO LA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk
KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)
MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,
HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga (0759420192)