Mwanapori

Mwanapori Tunatoa Tiba za Magonjwa Mbalimbali Kwa Kutumia Dawa za Mimea

Tunapatikana MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM.  Huwa tunatuma mikoa yote Tanzania ikiwemo na Zanzibar na unalipia baada ya ...
01/05/2024

Tunapatikana MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM. Huwa tunatuma mikoa yote Tanzania ikiwemo na Zanzibar na unalipia baada ya kupokea dawa yako.

Tupigie simu kwa Maelezo zaidi 0654 982 582 Au

WhatsApp link: wa.me/255654982582

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILIBawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na ku...
18/04/2024

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILI

Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.
Bawasiri husababishwa na; Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu, Kutokufanya mazoezi mara kwa mara, Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi, Vinasaba, Umri mkubwa, Kukaa kwa muda mrefu, Kikohozi cha muda mrefu, Unene/uzito wa mwili uliozidi, Ujauzito kwa wanawake.

Bawasiri imegawanyika katika aina mbili tofauti;
1. BAWASIRI YA NJE: Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika. Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.

2. BAWASIRI YA NDANI: Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
• Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
•.Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

Viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa Bawasiri ni; Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia, Kupata muwasho sehem ya haja kubwa, Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa, Haja kubwa kujitokea yenyewe muda wowote, Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne. Maumivu makali ya kiuno na mgongo, Tumbo kujaa gesi mara kwa mara, Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula, Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.

BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO; Haja kubwa (kinyesi) kutoka bila kujitambua, Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa, Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum, Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu, Kupata tatizo la kisaikolojai, Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea), Uchovu wa mara kwa mara.

NSELU ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) kwa uharaka zaidi bila upasuaji. Dawa hii haina madhara hasi (-ve) kwa mtumiaji.

Kwa Msaada zaidi Piga: +255654 982 582

Au Wasialiana nami WhatsApp kwa kubonyeza link: wa.me/255654982582

Dawa ya VIDONDA VYA TUMBO  iliyoboreshwa zaidi. Dawa hii ni boresho la toleo la kwanza la dawa za vidonda vya tumbo tuli...
08/05/2023

Dawa ya VIDONDA VYA TUMBO iliyoboreshwa zaidi. Dawa hii ni boresho la toleo la kwanza la dawa za vidonda vya tumbo tulizokuwa tukizitoa awali, yaani NALE na ZENATI ya kawaida.

ZENATI MAX imezingatia viwango vyote na ubora katika maeneo yote, Hii yote ni kuhakikisha tunampa mgonjwa wetu huduma iliyobora zaidi.

Tunaipa thamani afya yako na pesa yako pia. Kwa mwanapori ni kupona tu sio kusema unataka kujaribu. Hatufanyi majaribio kwenye afya yako bali TUNAKUTIBU. Ni Uhakika.

Afya yako, Uaminifu na Huduma bora ndio vipaumbele vyetu.

Tunapatikana MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM. Huwa tunatuma mikoa yote Tanzania ikiwemo na Zanzibar na unalipia baada ya kupokea dawa yako.

Karibu sana tukuhudumie.

Piga simu namba 0654 982 582 au
WhatsApp link: wa.me/255654982582

NSELU ni Jawabu la kweli kwa watu wanasumbuliwa na BAWASIRI (HEMORRHOIDS). Uaminifu na Tiba za kweli/sahihi ndio vipaumb...
10/04/2023

NSELU ni Jawabu la kweli kwa watu wanasumbuliwa na BAWASIRI (HEMORRHOIDS). Uaminifu na Tiba za kweli/sahihi ndio vipaumbele vyetu.

Tupigie simu sasa 0654 982 582 AU

WhatsApp link wa.me/255654982582

Mimea bahari (Sea Plants). Dawa ya kutibu changamoto mbalimbali za kiafya.Hakika dawa za kweli ni ngumu kuziandaa, Wacha...
27/01/2023

Mimea bahari (Sea Plants). Dawa ya kutibu changamoto mbalimbali za kiafya.

Hakika dawa za kweli ni ngumu kuziandaa, Wachache ndio tunaweza kujitoa kwa ajili ya kuwapatia wateja wetu Dawa za kweli, zinazotibu haswa.

Karibuni sana.
MWANAPORI: Piga 0654 982 582 au

WhatsApp: wa.me/255654982582

ZINGATIA YAFUATAYO KATIKA KULA KWAKO ILI KUIMARISHA AFYA YAKO.1. Kula vyakula vyenye asili ya kamba kamba (fibres) mara ...
11/12/2022

ZINGATIA YAFUATAYO KATIKA KULA KWAKO ILI KUIMARISHA AFYA YAKO.

1. Kula vyakula vyenye asili ya kamba kamba (fibres) mara kwa mara, kula wanga kwa wingi

2. Kula Matunda na Mboga za majani kwa wingi.

3. Kula Samaki kwa wingi, na oily fish mara kwa mara.

4. Punguza kula vyakula vyenye mafuta na sukari kwa wingi.

5. Epula matumizi ya chumvi nyingi kwa siku. Tumia walau 6g za chumvi kwa siku.

6. Jitaidi kurekebisha hali ya uzito wa mwili (Mazoezi ni muhimu hapa).

7. Epuka kuwa na kiu kwa muda mrefu. Jitaidi kunywa maji mara kwa mara.

8. Usiache kunywa kifungua kinywa (breakfast).

U.T.I SUGU NA KUPONA KWAKE U.T.I ni kifupi cha maneno “Urinary Tract Infection”, ikimaanisha ni maambukizi katika njia y...
09/09/2022

U.T.I SUGU NA KUPONA KWAKE

U.T.I ni kifupi cha maneno “Urinary Tract Infection”, ikimaanisha ni maambukizi katika njia ya mkojo. Maambukizi huweza kuwa kwenye mirija ya mkojo, kibofu, na ikiwa sugu zaidi huweza kuathiri mirija ya juu ya figo na figo zenyewe.

Viashiria vinavyoonyesha uwepo wa maambukizi ni; Maumivu makali wakati wa kukojoa, Kujisikia hali ya kuchomachoma kwenye kibofu wakati wa kukojoa, Kujisikia kukojoa mara kwa mara na kutoa mkojo mdogo sana, Maumivu ya misuli, maumivu chini ya tumbo (Chini ya kitovu), Mkojo kuwa mwekundu au wa pink (dalili ya damu kwenye mkojo) na unaonuka harufu kali, Maumivu ya nyonga kwa wanawake na wakati mwingine kushindwa kujizuia mkojo, Maumivu ya mgongo wa chini, Homa kali na uchovu, Mwili kutetemeka na kutapika, Kusikia kichefu chefu na kupatika, Maumivu ya kiuno, Kuwashwa sehemu za siri, Kuhisi maumivu wakati wa tendo na kusikia kuwa moto baada ya tendo, Kupata vidonda sehemu za siri, Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa nje wa sehemu za siri, Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

Visababishi vya U.T.I; Pamoja na kwamba bacteria aina ya E.coli na baadhi virusi na fangasi ndio husababisha U.T.I lakini visababishi vingine ni; Ni Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito na kukoma kwa hedhi, Upungifu wa kinga mwilini, Kukosa usingizi (stress), Vidonda sehemu za siri, Kuweka marashi sehemu za siri, Watu wanaougua kisukari, Mazingira ya joto na kuvaa nguo nzito za ndani (Hutengeneza mazingira ya fangasi kuzaliana).

ATHARI KUU za U.T.I ni; Kupatwa kwa ugonjwa wa P.I.D, maambukizi katika via na kupelekea ugumba. Kwa hiyo ipo haja ya kuchukua hatua za maksudi ili kudhibiti U.T.I na athari zake.

MWANAPORI tunayo dawa ya mimea iliyofanyiwa utafiti na kuthibitika kutibu U.T.I ya kawaida na U.T.I sugu kwa siku tatu.

LEPO ni dawa ya mimea asilia inayoua bacteria wanaosababisha U.T.I na kuponyesha kabisa, pamoja na changamoto zinazosababishwa na UTI ikiwemo fangasi kutoka usaha sehemu ya siri n.k. Na haina madhara kwa mtumiaji. UKIPONA UMEPONA, Ni Uhakika.

PIA TUNAYO DAWA YA KUTIBU MALARIA SUGU.

MAWASILIANO: piga 0654 982 582 au

WhatsApp link: wa.me/255654982582

03/08/2022

Address

Tambaza Street
Dar Es Salaam
14101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanapori posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanapori:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram