21/07/2020
KAA MBALI NA KUPIGA PUNYETO Unavyominya uume kwa nguvu kutafuta msisimko kwa viganja vyako vya mkono,unaua Neva,mishipa ya damu ambayo huingiza damu kwenye uume ,unaua misuli ya uume ndio Mana uume unakuwa Mwembamba na kuwa mdogo ,uume unajenga usugu kwenye ngozi yake.
Punyeto huwezi kufanya muda mrefu Ni sekunde tu tayari unamaliza shughuli yako ,Sasa mwili wako unazoea Hivyo (kuji--condition ).Siku ukifanya mapenzi halisi na Mwanamke unatumia sekunde hizo hizo ulizozoea Wakati wa kufanya Punyeto hutaweza kutembea zaidi ya hapo. Kwa hiyo tunaweza kuona Kwamba punyeto inafupisha muda wa kufanya tendo la ndoa .
Hii inapelekea mwenza unashiriki nae tendo la ndoa kutokuridhika ,unamuacha njia panda.
Pia kuchua uume kwa mkono husabisha uume kulegea Sana ,hata kupelekea kutoa shahawa bila kufanya tendo la ndoa .Utajikuta baada ya kusimamisha uume shahawa zinaanza kuvuja zenyewe.
Ukishikwa kidogo tu unasisimka haraka shahawa zinatoka ghafla,na uume unasinyaa .
Cha kufanya Epuka Kujichua .
Kuludisha mishipa sawa na misuli ya uume
Kwa elimu zaidi wasiliana nasi kupitia 0762700627