13/10/2021
FAHAMU MAFINDOFINDO(TONSILS) NI NINI?
Je, umewahi kufikiria ukajua nini kinachokuwa nyuma ya koo lako? Mbali na kilimi kinachoning’inia kwa juu nyuma ya koo lako, kwa pembeni huwa kuna tishu mbili zimetuna pembeni mwa koo lako ambazo kitaalamu tunaita mafindofindo au “Tonsils”.
NUKUU: Kazi zake mara nyingi huwa ni kuzuia vimelea k**a vile bakteria pamoja na virusi. Mafindofindo yanaweza yakapata maambukizi na yakawa mekundu na hata kuvimba kabisa. Hali hii inapojitokeza ndio hujulikana k**a “tonsillitis”.
Je, Nini Husababisha Mafindofindo Kuvimba?
Mafindofindo yanaweza kuathiriwa na virusi, bakteria au ulaji au unywaji wa vitu vibaya. Na mara nyingi virusi ndio hushambulia sana kuliko bakteria. Kwa kawaida madhara ya mafindofindo hutokana na mambo yafuatayo:
Ulaji wa pilipili na vitu vikali k**a vile embe bichi, limau, nk.
Kunywa vinywaji vya baridi k**a vile maji, soda, juisi, barafu au ice-cream,nk
Kisonono(Gonorrhea)
Maambuki ya HIV
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Dalili za mafindofindo zinaweza zikatofautiana kutokana na vimelea au aina za bakteria au virusi waliosababisha maambukizi au vyakula na vinywaji ulivyokuwa ukitumia, lakini mara nyingi sana mgonjwa hulalamika koo linauma. Dalili zinaweza kuanza kujitokeza taratibu au haraka na zinaweza zisiwe mbaya sana au zikawa za kawaida tu. Dalili hizi huwa k**a ifuatavyo:
Vidonda kwenye koo
Kushindwa kumeza chakula
Sauti kukwama
Kuvimba kwa matezi shingoni
Koo kuwa jekundu
Kutokwa na usaha au vitu vyeupe kwenye mafindofindo(tonsils)
Homa
Kukosa hamu ya kula
Kuhisi kichefuchefu
Kutapika
Kuhisi maumivu ya tumbo.
MATIBABU YAKE
tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya uvimbe na maumivu ya ugonjwa wa mafindofindo(tonsillitis), kwa watu wakubwa na watoto pia, nayo ni Refined yunzhi na Pure And broken
MAWASILIANO 0782556677 AU 0745885588